Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,928
- 2,867
Robert ni mchafu sana na ni mpigaji hodari!Halafu nashangaa wamempeleka mahakamani haraka, no one around in the court room.
Mradi wa huyu jamaa ndio tatizo, siku zote naamini hana kosa; najua kuna mafisadi wengi walikuwa wakiutolea macho, wanataka kumpoteza kabisa wajipigie kwa uhakika.