Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Wakili Mwandamizi wa Serikali, Wankyo Simon ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera bado haujakamilika
Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi kiasi cha Tsh. Milioni 173,247,047.02, Utakatishaji Fedha na kujihusisha na genge la uhalifu Makosa ambayo yote hayana dhamana
Kabla ya kushtakiwa kwa Makosa tajwa hapo juu, Kabendera alihojiwa na Jeshi la Polisi kwa kuwa na mashaka juu ya uraia wake na baadaye kudaiwa kukiuka sheria ya Makosa mtandaoni (Cyber Crimes Act) hadi aliposomewa mashitaka ya uhujumu uchumi
Mwandishi huyo wa kujitegemea ambaye amekuwa akichapisha habari zake katika vyombo mbalimbali nchini na ulimwenguni alikamatwa nyumbani kwake Mbweni, mnamo Julai 29, 2019
Pia soma
www.jamiiforums.com

Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu
Hawa watu are so stupid Kukwepa kodi, polisi ndiyo wanakwenda kumkamata kwa kuvizia na kuzima simu zake Hopeless Kabisa hii mikitu Tena wakiwa na mitutu zaidi ya saba wakati kamtu kenyewe ni kamoja tena hakana silaha yoyote. Halafu kesi si ilikuwa uhamiaji? Mara hii imeenda polisi tena kwa...
Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka
Wakuu, Huenda Kabendera akawa huru leo baada ya Hati ya Mashtaka kufanyiwa marekebisho. Baada ya Erick Kabendera kukubali makosa, Upande wa Serikali wamemsomea Mashtaka Rasmi. Mashtaka hayo ni pamoja na Uhujumu Uchumi pamoja na Kukwepa Kodi baada ya kosa la kuongoza Genge la Uhalifu...