Kisutu: Erick Kabendera afikishwa mahakamani, upelelezi dhidi yake haujakamilika

Kisutu: Erick Kabendera afikishwa mahakamani, upelelezi dhidi yake haujakamilika

Wakili Mwandamizi wa Serikali, Wankyo Simon ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera bado haujakamilika

Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi kiasi cha Tsh. Milioni 173,247,047.02, Utakatishaji Fedha na kujihusisha na genge la uhalifu Makosa ambayo yote hayana dhamana

Kabla ya kushtakiwa kwa Makosa tajwa hapo juu, Kabendera alihojiwa na Jeshi la Polisi kwa kuwa na mashaka juu ya uraia wake na baadaye kudaiwa kukiuka sheria ya Makosa mtandaoni (Cyber Crimes Act) hadi aliposomewa mashitaka ya uhujumu uchumi

Mwandishi huyo wa kujitegemea ambaye amekuwa akichapisha habari zake katika vyombo mbalimbali nchini na ulimwenguni alikamatwa nyumbani kwake Mbweni, mnamo Julai 29, 2019

Lumumba hebu tusaidieni hilo genge la uhalifu alioshirikiana nao wako wapi? Mbona hajapandishwa nao kizimbani? Kesi za kijinga kabisa zinazoipotezea serikali pesa za walipa kodi, bila sababu za msingi.
 
Ukidonyoa lazima udonyolewe,ngoma mbichi ,kwa sasa asiwaze uraini,atajiumiza,ngomeni kwasasa ndio eneo lake maalum.
Jela zilianza enzi za mitume

Hilo halina shida maana hata Elbashir aliwafunga wengi kwa uonevu hivi hivi. Ila hata leo naye ni mfungwa humo humo na aliowafunga kwa uonevu.
 
Mnaojua Saikolojia vyema naomba mtusaidie mkimuona Mtu ambaye mwanzoni alikuwa akionyesha ama Jeuri fulani hivi au akijiamini sana au haogopi chochote hasa akiwa Mahakamani halafu ghafla baada ya Wiki moja baadae anaonekana Mahakamani akiwa Mpole, Mtiifu na mwenye Kutia Huruma hapa huwa kunakuwa na nini labda kimetokea au kimemtokea? Nitakuwa ni mwenye furaha Kubwa nikielimishwa juu ya nilichokiuliza na Wataalam mbalimbali wa Saikolojia hasa waliopo hapa JamiiForums.

Sioni uoga wowote kwake, labda kama unataka tuone kaingia woga. Lengo hasa ni kumtia woga, sasa wanapima upepo kama kaogopa. Hana lolote la kuogopa maana anajua ni mashitaka ya kubumba, sana sana ni kupotezeana muda.
 
Hakuna kesi iliyotakiwa kuwa publicised kama ya Kabendera. Huyo kiumbe ni mdau wa habari raia wa kawaida watalaumu matendo ovu ya kiserikari lakini wanahitaji kuhamasishwa, vinginevyo hakuna atakaeendelea kufuatilia issue yake baada ya muda.

Kama jukwaa la wahariri wao wenyewe wanashindwa pressure tactics katika kumsimamia mdau wa habari na wao ndio wenye platform ya kuwakumbusha wananchi udhalimi uliofanywa na serikari kitu gani kitabadilika.

Hawa watu ata simple tactic ya kusema kila siku fulani ya wiki tuweke picha ya Kabendera ili asisahaulike awawezi, hakuna ata jitihada za kutafuta kesi zisizo na dhamana nyingine zenye utata na hiyo sheria kandamizi waziendike kwenye jitihada za kuwaelimisha wananchi juu ya ukandamizaji wa haki.

Ni hivi watu wataendeleza utaratibu wao wa kunyanyasa raia na kukandamiza haki kama stakeholders wenyewe awachukui hatua au kubuni njia za kuipa serikari pressure kwenye kusimamia maslahi yao.

Hao wadau wa sheria ndio very selfish group of people hawana umoja na wala kujali ku challenge sheria za ovyo, juzi kati nilimsikia yule mwanasheria wa mchungaji anaeshikiliwa kwa uonevu nae akifikiria kuwafungulia kesi polisi na uhamiaji but after that no other assisted pressure kutoka TLS na wadau wengine.

Katika mazingira hayo kutendewa haki ya haraka kwa mtu kama Kabendera inataka miujiza ya mungu au huruma ya mtu alietaka afungwe.
 
Ni kuwa na sheria mbovu tu kwanini isiwepo sheria kuwa endapo unakamatwa halafu unakutwa huna hatia ulipwe gharama zote za usumbufu pamoja na hasara uliyoipata ikiwa hivo polisi watakuwa hawakamati watuhumiwa kwa nia ya kuwashikilia na baadae kuwaachia sababu wangekuwa wanawatengenezea utajirj. Bila hivyo uonezi wa dola hauwezi kwisha. Angalia mfano wale mashehe miaka 6 upelelezi haujakamilika kama kungekuwa na sheria ya fidia si wangelipwa mabilioni. Wanasheria watusaidie kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo.
 
Kimekufurahisha kitu gani hapo? Angalia akiwamaliza wa nje, atawageukia wa ndani.
Ukidonyoa lazima udonyolewe,ngoma mbichi ,kwa sasa asiwaze uraini,atajiumiza,ngomeni kwasasa ndio eneo lake maalum.
Jela zilianza enzi za mitume
 
Saliti la taifa lipi?

Kasaliti kwa kuandika ukweli unaondelea humu?

Makala ya The Economics kuna uongo gani mle?

Mbuzi nyie!

Punguani kabisa!

Taifa ni Jiwe?Hivi tangu lini Jiwe kawa Taifa?

Taifa ni serikali ya CCM tangu lini?

Fvck you,your maker and everybody in your camp put together!

Showing that all of you are pussies mnamjengea makosa ya kutunga!

Y’all motherfuckers are pussies!

Fvxk outta here you ugly Jiwe blowjob givers!

Get on yo’ knees,I pull my dick in public,suck it you fags!
We ni pumbavu na kilugha chako hicho umeona umetukanaaaaaa!!
Unatafuta matusi ya kila lugha watu wajibu mapigo?
 
Ameiona rangi halisi ya dunia ambayo alikuwa hajawai kuifikiria kama ipo kweli.
Mnaojua Saikolojia vyema naomba mtusaidie mkimuona Mtu ambaye mwanzoni alikuwa akionyesha ama Jeuri fulani hivi au akijiamini sana au haogopi chochote hasa akiwa Mahakamani halafu ghafla baada ya Wiki moja baadae anaonekana Mahakamani akiwa Mpole, Mtiifu na mwenye Kutia Huruma hapa huwa kunakuwa na nini labda kimetokea au kimemtokea? Nitakuwa ni mwenye furaha Kubwa nikielimishwa juu ya nilichokiuliza na Wataalam mbalimbali wa Saikolojia hasa waliopo hapa JamiiForums.
 
Back
Top Bottom