Kwa nature ya maisha kila utakalolifanya ni lazima uwe unasaliti upande mwingine, na hii ni kwa nia njema ili maisha yaendelee. Ndio maana waliobadili dini na kuamua kushika dini za 'kistaarabu' walionekana wakisaliti tamaduni zao, walioamua kuhamia mijini kutafuta maisha walionekana kusaliti walikozaliwa. Na hata walioavutiwa na sera za vyama fulani na kuhamia vingine walionekana wamesaliti walikokuwa.
Hii imepelekea wajuzi wa mambo ya kijamii kuja na wazo la uhuru wa kuishi na kuamua (liberty) ili watu fulani wasiishi juu ya mawazo ya wengine.
Picha ya leo anaonekana ni Mtu mwenye kutia Huruma, Kujutia Jambo fulani, hajapata Usingizi mzuri, alikuwa hapumziki, ana Maumivu ya jumla jumla ( Watu wa Medani hapa najua mtakuwa mmenielewa ) lakini kubwa ni mwenye mawazo mengi ndani yake. Hata hivyo bado nawasubiria Wanasaikolojia Wabobezi / Wabobevu wa JamiiForums ili wao ndiyo wanielimishe vizuri zaidi hasa juu ya Picha zake pamoja na Mwonekano wake wa leo pale Mahakamani. Bila shaka Sisi ambao hatujawahi Kukamatwa ( Kusumbuliwa ) na Mamlaka ila tunapiga mno Makelele Mitandaoni kuna la Kujifunza na kuwa nalo Makini.
Na akome na hiyo miwani yake,siyo lazima kukosowa.Unitukane harafu uegemeee kwenye korido la democracia na haki za binadamuTaasisi hizi hazijawahi kusifia ujenzi wa reli ya kisasa,ununuzi wa ndege,ujenzi wa bwawa la kufua umeme na mengine mengi lkn kwa mambo ambayo hayalete maendeleo niwakanza kutowa matamko
sasa kwanini wanasema upepelezi haujakamilika, mie najua wanapomkamata wanakuwa wana kila kitu washakamilisha, sasa unamkamata mtu ndio unaanza upepelezi, nchi yetu hii bana, ni kama mwalimu amchape mwanafunzi kisha amtafutie sababu baadae

Sana ni wewe Kijana wao mpendwa ,hata Hoja yako uliielekeza hivyo kuwaogopesha wengine.Unacho kisahau kupinga/kukosoa ni Asili ya Binadamu hasa anae fikiri sawa sawa.
Watamzungusha miezi kadhaa alafu watamuachia baada ya kukosa evidence, ndiyo utawala chini ya jembe ulivyo. Hataki kukufunga, anataka akusumbue tu utishike na wengine wakuone uogope. Stupid
Kwahiyo wewe mwenye AKILI TIMAMU unakubali vipi kuongozwa na WAJINGA?Huoni hao unaowaona WAJINGA ni wanaakili na ndio maana saiz uko nyuma ya keyboard na fake ID unatema pumba ukiogopa kudakwa?
Hicho kinywa chako kichafu hata kiropoke nini haitakusaidia. Lugha unayo tumia unaona umeendelea maana umesikia inasemwa na gredi ya watu wa hali ya chini waliokataliwa na jamii ya watu wastaarabu huko maremani! Huku
Tanzania lugha hiyo unajidhalilisha mwenyewe,maana watanzania wanaoishi humu nchini (Tanzania) ni wastaarabu wamelelewa kwa maadili mazuri kama ya wafalme wa uingereza. Lugha kama hii yako waTanzania hawaithamini. Gredi yako ni ya chini sana ndiyo maana wachache wamekujibu. Mimi nimekujibu kwasababu kutokana na lugha yako nimejua unaishi na watu wahali gani. Pole sana.
Wakili Mwandamizi wa Serikali, Wankyo Simon ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera bado haujakamilika
Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi kiasi cha Tsh. Milioni 173,247,047.02, Utakatishaji Fedha na kujihusisha na genge la uhalifu Makosa ambayo yote hayana dhamana
Kabla ya kushtakiwa kwa Makosa tajwa hapo juu, Kabendera alihojiwa na Jeshi la Polisi kwa kuwa na mashaka juu ya uraia wake na baadaye kudaiwa kukiuka sheria ya Makosa mtandaoni (Cyber Crimes Act) hadi aliposomewa mashitaka ya uhujumu uchumi
Mwandishi huyo wa kujitegemea ambaye amekuwa akichapisha habari zake katika vyombo mbalimbali nchini na ulimwenguni alikamatwa nyumbani kwake Mbweni, mnamo Julai 29, 2019
Hawa watu are so stupid Kukwepa kodi, polisi ndiyo wanakwenda kumkamata kwa kuvizia na kuzima simu zake Hopeless Kabisa hii mikitu Tena wakiwa na mitutu zaidi ya saba wakati kamtu kenyewe ni kamoja tena hakana silaha yoyote. Halafu kesi si ilikuwa uhamiaji? Mara hii imeenda polisi tena kwa...
mambo ya ajabu sana haya. unakamata kisha unapeleleza utadhani HAINI kwamba angeachwa nje angepindua nchi. intelijensia hii inayonusa mikutano ya kisiasa tu na kushindwa hata kujua tishio la mlipuko kule morogoro
Picha ya leo anaonekana ni Mtu mwenye kutia Huruma, Kujutia Jambo fulani, hajapata Usingizi mzuri, alikuwa hapumziki, ana Maumivu ya jumla jumla ( Watu wa Medani hapa najua mtakuwa mmenielewa ) lakini kubwa ni mwenye mawazo mengi ndani yake. Hata hivyo bado nawasubiria Wanasaikolojia Wabobezi / Wabobevu wa JamiiForums ili wao ndiyo wanielimishe vizuri zaidi hasa juu ya Picha zake pamoja na Mwonekano wake wa leo pale Mahakamani. Bila shaka Sisi ambao hatujawahi Kukamatwa ( Kusumbuliwa ) na Mamlaka ila tunapiga mno Makelele Mitandaoni kuna la Kujifunza na kuwa nalo Makini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.