Unashtakiwa kwa kosa la "kujihusisha na mitandao ya kiharifu" au "ukwepaji kodi" na hela uliyokwepa wanadai kuifahamu mpaka thumni ya mwisho ila at the end of the day wanadai UCHUNGUZI HAUJAKAMILIKA. What is this? kwanini mnakamata mtu na kumtupa lupango kama hamna uhakika na kitu mnachokifanya? well, kila mtu anajua hii michezo ya kukomoana namna inavyochezwa
Hakuna kesi iliyotakiwa kuwa publicised kama ya Kabendera. Huyo kiumbe ni mdau wa habari raia wa kawaida watalaumu matendo ovu ya kiserikari lakini wanahitaji kuhamasishwa, vinginevyo hakuna atakaeendelea kufuatilia issue yake baada ya muda.
Kama jukwaa la wahariri wao wenyewe wanashindwa pressure tactics katika kumsimamia mdau wa habari na wao ndio wenye platform ya kuwakumbusha wananchi udhalimi uliofanywa na serikari kitu gani kitabadilika.
Hawa watu ata simple tactic ya kusema kila siku fulani ya wiki tuweke picha ya Kabendera ili asisahaulike awawezi, hakuna ata jitihada za kutafuta kesi zisizo na dhamana nyingine zenye utata na hiyo sheria kandamizi waziendike kwenye jitihada za kuwaelimisha wananchi juu ya ukandamizaji wa haki.
Ni hivi watu wataendeleza utaratibu wao wa kunyanyasa raia na kukandamiza haki kama stakeholders wenyewe awachukui hatua au kubuni njia za kuipa serikari pressure kwenye kusimamia maslahi yao.
Hao wadau wa sheria ndio very selfish group of people hawana umoja na wala kujali ku challenge sheria za ovyo, juzi kati nilimsikia yule mwanasheria wa mchungaji anaeshikiliwa kwa uonevu nae akifikiria kuwafungulia kesi polisi na uhamiaji but after that no other assisted pressure kutoka TLS na wadau wengine.
Katika mazingira hayo kutendewa haki ya haraka kwa mtu kama Kabendera inataka miujiza ya mungu au huruma ya mtu alietaka afungwe.
Upuuzi mtupu. Kama upelelezi haujakamilika, kwa nini umkamate mtu?
Sheria zetu ni lazima zibadilishwe. Hizi sheria zinazoruhusu mtu kukamatwa wakati hakuna uthibitisho wa uhalifu, zinatumiwa vibaya na madikteta. Kama upelelezi haujakamilika, mtuhumiwa aachwe huru mpaka siku upelelezi ukishakamilika.
Endelea kufurahia lakini kumbuka leo kwake kesho kwako.
Mchawi akimaliza kuroga mtaa mzima huhamia kwenye familia yake.
Nina uhakika wa 100% ipo siku utayakumbuka maneno haya. By then it would be too late, utabaki unajilaumu "I wish siku zile nami ningepaza sauti dhidi ya uonevu aliofanyiwa Eric Kabendera."
Wakili Mwandamizi wa Serikali, Wankyo Simon ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera bado haujakamilika
Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi kiasi cha Tsh. Milioni 173,247,047.02, Utakatishaji Fedha na kujihusisha na genge la uhalifu Makosa ambayo yote hayana dhamana
Kabla ya kushtakiwa kwa Makosa tajwa hapo juu, Kabendera alihojiwa na Jeshi la Polisi kwa kuwa na mashaka juu ya uraia wake na baadaye kudaiwa kukiuka sheria ya Makosa mtandaoni (Cyber Crimes Act) hadi aliposomewa mashitaka ya uhujumu uchumi
Mwandishi huyo wa kujitegemea ambaye amekuwa akichapisha habari zake katika vyombo mbalimbali nchini na ulimwenguni alikamatwa nyumbani kwake Mbweni, mnamo Julai 29, 2019
Hawa watu are so stupid Kukwepa kodi, polisi ndiyo wanakwenda kumkamata kwa kuvizia na kuzima simu zake Hopeless Kabisa hii mikitu Tena wakiwa na mitutu zaidi ya saba wakati kamtu kenyewe ni kamoja tena hakana silaha yoyote. Halafu kesi si ilikuwa uhamiaji? Mara hii imeenda polisi tena kwa...
There are is enough blame to be shared kati ya human right groups, media stakeholders and lawyers.
These proffesional bodies hazina jitihada zozote interms of pressuring the government towards social movement, protection of their interest and promoting their causes; and tactics are none existence to say the least.
Hakuna kitakachobadilika kwa kutegemea watu wengine haswa mabeberu ndio wawafanyie kazi ambazo wanatakiwa kuzifanya wao.
Tulia dawa iwaingie washenzi nyie, unaanzaje kumtukana mkuu wa nchi wakati unajua nje ya mipaka ya nchi ndiye alama/nembo ya Taifa, watoe pu.mbu kabisa mwehu uyo.
Shida ni aliyoandika,uraia au uhujumu uchumi?
Kwa michango ya wana Lumumba humu,ni wazi kuwa suala la uhujumu uchumi ni kesi ya kubambikiwa!Kalamu yake ndiyo iliyomponza,halafu kichaa mmoja anasikika aombewe,WTF?
Wakili Mwandamizi wa Serikali, Wankyo Simon ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera bado haujakamilika
Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi kiasi cha Tsh. Milioni 173,247,047.02, Utakatishaji Fedha na kujihusisha na genge la uhalifu Makosa ambayo yote hayana dhamana
Kabla ya kushtakiwa kwa Makosa tajwa hapo juu, Kabendera alihojiwa na Jeshi la Polisi kwa kuwa na mashaka juu ya uraia wake na baadaye kudaiwa kukiuka sheria ya Makosa mtandaoni (Cyber Crimes Act) hadi aliposomewa mashitaka ya uhujumu uchumi
Mwandishi huyo wa kujitegemea ambaye amekuwa akichapisha habari zake katika vyombo mbalimbali nchini na ulimwenguni alikamatwa nyumbani kwake Mbweni, mnamo Julai 29, 2019
Pia soma
Hawa watu are so stupid Kukwepa kodi, polisi ndiyo wanakwenda kumkamata kwa kuvizia na kuzima simu zake Hopeless Kabisa hii mikitu Tena wakiwa na mitutu zaidi ya saba wakati kamtu kenyewe ni kamoja tena hakana silaha yoyote. Halafu kesi si ilikuwa uhamiaji? Mara hii imeenda polisi tena kwa...
Unashtakiwa kwa kosa la "kujihusisha na mitandao ya kiharifu" au "ukwepaji kodi" na hela uliyokwepa wanadai kuifahamu mpaka thumni ya mwisho ila at the end of the day wanadai UCHUNGUZI HAUJAKAMILIKA. What is this? kwanini mnakamata mtu na kumtupa lupango kama hamna uhakika na kitu mnachokifanya? well, kila mtu anajua hii michezo ya kukomoana namna inavyochezwa
Watamzungusha miezi kadhaa alafu watamuachia baada ya kukosa evidence, ndiyo utawala chini ya jembe ulivyo. Hataki kukufunga, anataka akusumbue tu utishike na wengine wakuone uogope. Stupid
Tulia dawa iwaingie washenzi nyie, unaanzaje kumtukana mkuu wa nchi wakati unajua nje ya mipaka ya nchi ndiye alama/nembo ya Taifa, watoe pu.mbu kabisa mwehu uyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.