Kisutu: Erick Kabendera afikishwa mahakamani, upelelezi dhidi yake haujakamilika

Kisutu: Erick Kabendera afikishwa mahakamani, upelelezi dhidi yake haujakamilika

Kama upelelezi haujakamilika kwanini walimkamata? Wenye ufahamu juu ya taratibu za kuendeshaji mashtaka msaada tafadhali kwa jukwaa
 
Mwandishi wa habari ni mtu mwenye nguvu kuliko mtu mwenye bunduki mkononi.

Huwezi kumuita mnyonge hasie na nguvu.
Huyo anaweza kusababisha vifo au maendeleo chanya kwa maandishi yake tu.

Nazungumzia kwa lens ya state apparatus!

Majamaa ya serikali yana power ila hua hayana akili kabisa!

Kama hii kesi hata mtoto mdogo anaona waziwazi haya majitu ni majinga!

Vita ya ukweli huwezi pambana nayo kwa kesi za kutunga na kuwaweka watu vizuizini namna hii!

Makala inajibiwa kwa makala,weka ukweli!

Sijui lini tutakuja kua kama mataifa yalioendelea!!!

Sijui
 
Wakili Mwandamizi wa Serikali, Wankyo Simon ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera bado haujakamilika

Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi kiasi cha Tsh. Milioni 173,247,047.02, Utakatishaji Fedha na kujihusisha na genge la uhalifu Makosa ambayo yote hayana dhamana

Kabla ya kushtakiwa kwa Makosa tajwa hapo juu, Kabendera alihojiwa na Jeshi la Polisi kwa kuwa na mashaka juu ya uraia wake na baadaye kudaiwa kukiuka sheria ya Makosa mtandaoni (Cyber Crimes Act) hadi aliposomewa mashitaka ya uhujumu uchumi

Mwandishi huyo wa kujitegemea ambaye amekuwa akichapisha habari zake katika vyombo mbalimbali nchini na ulimwenguni alikamatwa nyumbani kwake Mbweni, mnamo Julai 29, 2019

Badala ya kuwalinda RAIA mmeamua kuwatesa na kuwanyanyasa.
 
Mwandishi wa habari Erick Kabendera arudishwa rumande kwa siku 12
Monday August 19 2019
Kesi inayomkabili mwandishi wa habari za uchunguzi nchini Tanzania, Erick Kabendera imeahirishwa hadi Agosti 30, 2019 itakapotajwa tena kutokana na hakimu mkazi mwandamizi, Augustine Rwizile kupata udhuru.
Ngoma mbichi,anatakiwa azoee,kusaliti nchi si jambo dogo
 
Acha matusi basi maana wote ni watanzania.
Kama katukana leta ushahidi, kama hujuma ya uchumi kesi hiyo mahakamani.
Acha vitisho na maonevu kwa wanyonge kisa wasiseme wakae kimya!!
 
Nazungumzia kwa lens ya state apparatus!

Majamaa ya serikali yana power ila hua hayana akili kabisa!

Kama hii kesi hata mtoto mdogo anaona waziwazi haya majitu ni majinga!

Vita ya ukweli huwezi pambana nayo kwa kesi za kutunga na kuwaweka watu vizuizini namna hii!

Makala inajibiwa kwa makala,weka ukweli!

Sijui lini tutakuja kua kama mataifa yalioendelea!!!

Sijui
Hata huko kina Snowden na Assange wanaipata vilivyo,kalagha bhaho!
 
Hata huko kina Snowden na Assange wanaipata vilivyo,kalagha bhaho!

Unafananisha makosa ya Snowden na Kabendera?

Ndio maana nasema nyie kunguni wa CCM ni majinga ya mwisho kabisa!

Hakuna mwananchi wa nchi hii ambae amesoma akawahi kua wa nafasi ya kumi kwenda juu darasani yupo CCM!

No!

Wote mliopo humo ni mapunguani mentally disabled clowns!
 
[emoji1787]
Saliti la taifa lipi?

Kasaliti kwa kuandika ukweli unaondelea humu?

Makala ya The Economics kuna uongo gani mle?

Mbuzi nyie!

Punguani kabisa!

Taifa ni Jiwe?Hivi tangu lini Jiwe kawa Taifa?

Taifa ni serikali ya CCM tangu lini?

Fvck you,your maker and everybody in you camp put together!

Showing that all of you are pussies mnamjengea makosa ya kutunga!

Y’all motherfuckers are pussies!

Fvxk outta here you ugly Jiwe blowjob givers!

Get on yo’ knees,I pull my dick in public,suck it you fags!
 
Back
Top Bottom