Kisutu: Erick Kabendera afikishwa mahakamani, upelelezi dhidi yake haujakamilika

Kwahiyo Magufuli yuko sawa,hamtakiwi kukimbilia kwa mabeberu kushitaki
 

Kama nia ni kutisha Raia mmesha feli kwa Asilimia kubwa ,tafuteni njia nyingine ya kuendelea kutawala ila upo Mwisho wenu tu.
 
Ukidonyoa lazima udonyolewe,ngoma mbichi ,kwa sasa asiwaze uraiani,atajiumiza,ngomeni kwasasa ndio eneo lake maalum.
Jela zilianza enzi za mitume
Na akome na hiyo miwani yake,siyo lazima kukosowa.Unitukane harafu uegemeee kwenye korido la democracia na haki za binadamuTaasisi hizi hazijawahi kusifia ujenzi wa reli ya kisasa,ununuzi wa ndege,ujenzi wa bwawa la kufua umeme na mengine mengi lkn kwa mambo ambayo hayalete maendeleo niwakanza kutowa matamko
 
Leo yupo peke yake!wamemtumia wamemuacha anataabika sasa
 
Siku wakiacha kujipendekeza kwenye mataifa yaliyoendelea (mabeberu)
 
kama ni kweli AFUNGWE
sasa kwanini wanasema upepelezi haujakamilika, mie najua wanapomkamata wanakuwa wana kila kitu washakamilisha, sasa unamkamata mtu ndio unaanza upepelezi, nchi yetu hii bana, ni kama mwalimu amchape mwanafunzi kisha amtafutie sababu baadae
 
Hapa unaniambia Mimi au Wao Kiongozi?

Sana ni wewe Kijana wao mpendwa ,hata Hoja yako uliielekeza hivyo kuwaogopesha wengine.Unacho kisahau kupinga/kukosoa ni Asili ya Binadamu hasa anae fikiri sawa sawa.
 
Evidence zipo
Sema hawana haraka naye sana
Lengo ni aombe poo
Watamzungusha miezi kadhaa alafu watamuachia baada ya kukosa evidence, ndiyo utawala chini ya jembe ulivyo. Hataki kukufunga, anataka akusumbue tu utishike na wengine wakuone uogope. Stupid
 
Kwahiyo wewe mwenye AKILI TIMAMU unakubali vipi kuongozwa na WAJINGA?Huoni hao unaowaona WAJINGA ni wanaakili na ndio maana saiz uko nyuma ya keyboard na fake ID unatema pumba ukiogopa kudakwa?

Na wewe ndio huna fake ID?

Identity yangu inakusaidia wewe kua na akili?

Jinga ni jinga tu!

And it is your own fault not mine wewe kua jinga!

Jilaumu pekee yako huko!

Wewe kua madarakani ndio kwamba unaniongoza mimi personally?

Are you on crack cocaine?

I’m smarter than all of you put together!

Ndio maana nipo hapa anonymous,you cant catch me!

Na IP sijui nini na nini you cant catch me,njoo Maryland,Germantown utanipata.

And you see me when you see me nigga!

You motherfuckers think you control the world!

You control the world around your own shit pile!

Thank you!
 

Naongea nachojisikia!

Wewe kukasirika is not my problem,its your own problem!

I cant help you with that!

I’m sorry!

Pia jifunze kupangilia maandishi yako yasomeke kwa urahisi.Sijui lugha ulifaulu kiasi gani?!

Kiswahili hujui,Kiingereza hujui,lugha ya kijijini kwenu hujui,wewe ni pumbavu!

Naongea Kiingereza nachosikia,naongea cha mtaani ni acceptable!

Kuna Kiingereza cha mtaani na Kiingereza rasmi cha kitaaluma,kama ilivyo kwa Kiswahili rasmi na cha mtaani!

Kama hilo hulijui basi wewe ni kilaza!

Niko hapa tunaongea topic za mtaani na siwezi tumia Kingereza cha kitaaluma which is unnecessary!

Kama umekasirika sana nenda kawalilie serikalini wanitafute!

And we will see who sees who!
 
mambo ya ajabu sana haya. unakamata kisha unapeleleza utadhani HAINI kwamba angeachwa nje angepindua nchi. intelijensia hii inayonusa mikutano ya kisiasa tu na kushindwa hata kujua tishio la mlipuko kule morogoro
 
Refer - Halima Mdee - kinywa chake siku hizi anapiga mswaki! Siyo kichafu tena amejifunza adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…