Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Wapo walio fight colonialism bila kukamatwa wakiwa uhamishoni na colonialism wakaimaliza, wasingehama wangeishia kuuawa tu na ukoloni ukaendelea

Sipingi watu wanaopinga ukandamizaji, pinga ukandamizaji lakini kuwa smart, epuka kukamatwa kama kunaepukika
Sasa case ya Kabendera alikuwa anaweza kuepuka kukamatwa, sasa sijui ni confidence au ali under estimate serikali sijui
 
Jinga sana wewe
 
Mbona ishu rahisi sana hapo.
Siku ya kesi:
Jaji: Kati ya january 2015 hadi julai 2019 katika maeneo ya Dar ulijihusisha na uundaji wa genge la uhalifu?

Kabendera: Hapana

Jaji: Ilikuwaje?

Kabendera: Mimi nilitumwa na mabosi zangu?

Jaji: Mabosi zako akina nani?

Kabendera: Makonda, Musiba, Muro na Mutuz.

Jaji: Una uhakika?

Kabendera: Ndiyo asilimia mia.

Jaji: Kesi imeahirishwa ili kukamilisha uchunguzi.

Kesho yake! "Kabendera aachiwa huru kwani mahakama imejiridhisha hana kesi ya kujibu"

Baada ya siku kadhaa.

"KABENDERA YUKO ZAKE UK"

NDO DAWA YA WAOVU
 
Ushabiki mwingine unapitiliza mipaka,serikali sio wajinga kama wengi wetu humu tunavyotoa mapovu,wacha mahakama ndio iamue,kuna siku mtamtetea mlipuaji mabomu ambaye kaja kuwalipua na baadae mtalalamikia serikali kwa kutofanya kazi zake.Humu wote tunabwabwaje tu na hakuna anayejua Kabendera kama ana makosa au la,wengi tumekimbilia kuwa ah kwa kuwa anaikosoa serikali basi ndio anaandamwa,wangapi wanaikosoa serikali na wapo tu?
 
Wewe utakuwa mmoja wapo wa wale waliokuwa wameagizwa kwenda kumteka. Haya matapishi uliyotapika hapa yanaonyesha hasira uliyonayo baada ya Mungu kuwaumbua na kazi hiyo kuwashinda. Unabahati hatuonani, ningekuwa nakuona ningekutemea hata mate, maana unatia kinyaa. Hivi kwa akili yako hiyo hiyo uliyonayo ya kuazima, unaona Erick anakosa gani kwa aliyo yaandika? Ebu tuwekee hapa uchambuzi wako ukituonyesha makosa yanayopatikana katika machapisho yake.
 

Hapa mtu lazima utumie general rule...Kama unashutumu wengine wewe mwenyewe you have to be clean..yaani unalazimika kuwa msafi....makosa ya crime hayana muda maalum, kama ulifanya kosa mmwaka 1990 unaweza ukashitakiwa sasa (labda mjuzi wa sheria anisahihishe hapa)....Halafu inawezekana makosa ya uchochezi yakafuatia baadaye baada ya uchunguzi kukamilika..ila sasa mhusika bila shaka anashitakiwa kwa makosa au tuseme tuhuma ambazo upelelezi wake umekamilika...Hilo la uchochezi litafuatia ...Ushauri wangu kwa wanaJF wenzangu ..don't play na dola...State ni kitu kingine kabisa...Sijui mnaojidanganya na the so called freedom of expression/opinion...there is no absolute freedom of the press or freedom of expression/opinion anywhere in this planet/world....Hata Marekani au Uingereza au kokote kule ukiichezea dola utashughulikiwa tu...
 
Unazungumzia serikali ipi hiyo?

Hii hii inayowashtaki wakina Melo kisa tu wamegoma kutoa taarifa za Siri ambazo zingewatia matatizoni baadhi ya member humu JF?
 

Ukifuatilia kuanzia kukamatwa, taarifa za vyombo vya ulinzi na usalama na mkanganyiko uliogubika hili tukio unaona kuna hoja hapo?
 

Kwa hiyo,

1. Umesoma matapishi yangu na umeamua kujibu.
2. Ungenitemea mate eti natia kinyaa.
3. Nina akili ya kuazima

🙂🙂

Halafu, mimi ungefahamu si mtu wa kuagizwaagizwa tu ila nna uwezo wa hata kukuagiza wewe na ukatekeleza agizo langu.

Huna haja ya kutoa povu jingi kiasi hicho, mimi nimeandika maoni yangu ambayo wewe kama walivyo wengine unakimbilia kutukana.

Sitegemei binti mzuri kama weye kutoa povu jingi kiasi hichi kwa ajili tu ya mtu aitwae Kabendera.
 
Hii mbinu anaitumia MO sasa amekuwa huru zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…