chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Wapo walio fight colonialism bila kukamatwa wakiwa uhamishoni na colonialism wakaimaliza, wasingehama wangeishia kuuawa tu na ukoloni ukaendeleaWell people like him are the reason why colonialism ended, they stood up without fear. Sawa shit happens, na anatafutiwa kesi kijinga, its ok, at the end of the day the story is out. Unaweza tumia nguvu ila at the end of the day you can't kill the idea, ikishatoka imetoka. In the end the truth wins no matter the cost.
Sipingi watu wanaopinga ukandamizaji, pinga ukandamizaji lakini kuwa smart, epuka kukamatwa kama kunaepukika
Sasa case ya Kabendera alikuwa anaweza kuepuka kukamatwa, sasa sijui ni confidence au ali under estimate serikali sijui