Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Relax,ongeza siku za kuishi.Much love to you.Gifted Fool
Idiotness is inherited from Parents
Daughter like mother
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Relax,ongeza siku za kuishi.Much love to you.Gifted Fool
Idiotness is inherited from Parents
Daughter like mother
Mpumbavu na punguani,Sio kila kitu kilichofika polisi kitawekwa hadharani hadi uchunguzi utakapo kamilika, kesi ikisha fika mahkamani ndio sababu zite za mtuhumiwa zunapotoka, ni hili wengi wanakifahamu lakini watanzania wamezoea kupiga makelele.
Kama suala la uchuni au kutakatisha fedha lilo anza hapo zamani ni suala kingine hilo, serikali iliopoita na iliokuwepo sio sawa na ya sasa hivi hilo kila mtu alalijua lakini mnajitoa tu akili na kupiga makelele...
Victoire kwa kauli kama hizo naamini hata in case same incidence ikiwatokea Kina Max Melo (Mungu aepushie mbali) utasema hivyo kwamba yanampata hayo kwa kuwa Ametupa Platform hii ya JF ambayo Wengine huitumia kuikosoa na kuisema vibaya serikali na amegoma kutoa taarifa zetu watumiaji, maana kwa kufanya hivyo "anawaweka wanae kwenye hatari" right? Au utasema Bora angekimbia nchi kwa kua utawala huu hautabiriki?
Mmeishiwa na sera na mjadala hatimaye mmebaki na mtusi. HahahahaaaaMpi
Mpumbavu na punguani,
Kuisifia serikali ndio kuficha uovu, sio kuikosoa.Ndiyo maana alikuwa anaichafua serikali ili afiche uovu wake.
Umesoma ili uelewe kilichoandikwa au umesoma ili ujibu tu?Usimfananishe Maxence Melo na waandishi uchwara kama Kabendera.
Max anaendesha JF na imesimama kwelikwekli na kila mara yupo tayari kukabiliana na misukosuko yoyote ile.
Kama Kabendera angakuwa mwandishi makini na anaejiamini basi asingetumiwa na watu kama Zitto na hilo Jarida la "The Economist".
Kuwa mwandishi makini ni pamoja na kuwa na vyanzo vya habari zako na vigezo au facts zote ili siku ys siku uwe tayari kupambana hoja kwa hoja facts kwa facts.
Wengine wamegusia kwamba pia usiwe na makandokando maana kuna watanzania wengi tu wanabeba pasi za kusafiria za nchi zingine ilhali wana pasi za kitanzania.
Erick Kabendera kwa sasa ni mtuhumiwa ambae anakabiliana na kesi ngumu sana itayomweka ndani kwa muda mrefu kidogo, kutokana na ujinga wake wa kutumika na hata maadui wa nje wa serikali ya awamu ya tano.
Watu wa aina ya Kabendera wanaishusha sana hadhi ya uandishi wa habari khasa zile za kiuchunguzi kwa kuendekeza bahasha za haki au "Chequebook Journalism."
Mtu mzima na akili yako tena una familia na wategemezi wengi bado unakuwa waendekeza ubahau bila kufikiri kwanza madhara ya matendo yako.
Now, he has to face the consequences of his actions.
Thubutu yake !Bongo maendeleo mtayasubiri sana. Jiwe analazimisha kila mtu amwabudu.
Shujaa? Unaelewa maana ya shujaa ni nini? Kaleta mabadiliko gani?Wewe Ndiyo mjinga aka stupid kwa kuandika mbupu! MTU shujaa huyu.
Umeandika uharo tupuUsimfananishe Maxence Melo na waandishi uchwara kama Kabendera.
Max anaendesha JF na imesimama kwelikwekli na kila mara yupo tayari kukabiliana na misukosuko yoyote ile.
Kama Kabendera angakuwa mwandishi makini na anaejiamini basi asingetumiwa na watu kama Zitto na hilo Jarida la "The Economist".
Kuwa mwandishi makini ni pamoja na kuwa na vyanzo vya habari zako na vigezo au facts zote ili siku ys siku uwe tayari kupambana hoja kwa hoja facts kwa facts.
Wengine wamegusia kwamba pia usiwe na makandokando maana kuna watanzania wengi tu wanabeba pasi za kusafiria za nchi zingine ilhali wana pasi za kitanzania.
Erick Kabendera kwa sasa ni mtuhumiwa ambae anakabiliana na kesi ngumu sana itayomweka ndani kwa muda mrefu kidogo, kutokana na ujinga wake wa kutumika na hata maadui wa nje wa serikali ya awamu ya tano.
Watu wa aina ya Kabendera wanaishusha sana hadhi ya uandishi wa habari khasa zile za kiuchunguzi kwa kuendekeza bahasha za haki au "Chequebook Journalism."
Mtu mzima na akili yako tena una familia na wategemezi wengi bado unakuwa waendekeza ubahau bila kufikiri kwanza madhara ya matendo yako.
Now, he has to face the consequences of his actions.
Wewe ni mnufaika wa huu ukatiliUsimfananishe Maxence Melo na waandishi uchwara kama Kabendera.

Sasa wewe ndugu yangu, hao polisi wasiyoeleweka una uhakika gani watamtendea haki Erick. Walitoa taarifa wenyewe kwamba aliitwa ili aojiwe utata wa uraia wake, akakaaa ndiyo maana wakaende kumkamata wakiwa sita tena bila uniform na gari la kawaida siyo gari lenye identification ya polisi kama tulivyozoea! Kwa kosa la uraia iweje polisi wanajihami hivyo kama hawakuwa na nia ovu? Watu pia wakaoji uhamiaji kazi yao nini? Wakaona isiwe shida watu wa uhamiaji nao wakasema wamemchukua na kumuoji. Sasa wanatoka na mashitaka ya mambo mengine kabisa ila wewe unakuwa mwepesi kuwa-support!. Hii sinema yote kwa mwenye akili kidogo lazima ujue ni kesi ya uongo. Pia mazingira waliyotumia kumkamata na uongo uongo wa kuzusha visababusababu visivyo eleweka ni ishara kwamba walikuwa na nia ovu zaidi kwa Erick ila Mungu amemsaidia. Wakaona wamtengenezee kesi ngumu ili kumtesa yeye na familia yake.Hapana mkulu unanionea bure.
Hakuna sehemu ambayo nimeshabikia hili. Ukifuatilia nilichoandika ni kuwa mimi pamoja na wengine ambao hatuna taarifa kamili kuhusu hili tusijielekeze kulaumu Bali tujipe Muda ili haki itendeke.