Sandinistas
JF-Expert Member
- Jul 5, 2013
- 2,612
- 1,776
Wanamsubiri Da Mange..
ccm asilia wanatoa tamko kimoyomoyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamsubiri Da Mange..
Brave and patriotic? angeweza kuandika makala kama zile under a false ID, pia unaweza kufuatilia kila kitu bongo ukiwa nje, dunia ni kijiji hiki, zile makala zake zilikuwa zinachambua tu hotuba za magufuli, miradi anayoifanya na sera zake ambazo hata ukiwa Australia huko ukifuatilia utafahamu tu, au unaweza kuniambia ni vitu gani aliandika ambavyo mtu ukiwa nje huwezi kuvijua? vyote vipo wazi tu, sema yeye ameandika katika kuvikosoa
pia unaweza kuwa na watu wako bongo wanaokupa taarifa za ndani ambazo haziwekwi kwa waandishi, akina Mange kimambi, Ngurumo wanapata intel nzuri tu na wapo nje, hivyo ndivyo waandishi pragmatic, wanavyoishi kulingana na uhalisia wa hali, sio kujifanya unakufa kishujaa, kesho wanakusahau, unaacha familia inateseka na hakuna mabadiliko yoyote uliyofanikiwa kuyaleta sababu ulienda kiboya
Gazeti lilikuwa linatumia lugha kali dhidi ya Magu kuna makala moja aliitwa foolish, pamoja na lugha nyingine kali tu, sasa huwezi andika vile halafu ukabaki salama mkuu, jamaa alikuwa mjinga hata kama alikua akikosoa kitu sahihiSijasoma makala zake zote lakini zile nilizosoma niliona ni za kawaida tu ingawa ni critical kiasi. Labda tatizo lake ni kuandikia wasomaji wa nchi za nje!
Ok...sawa...Hapa kuna vyombo vvya dola vingi...Kuna usalama wa taifa, polisi, JW, Magereza na kadhalika...Through my experience naamini kuna chombo kilimkamata kisheria ingawa siyo Magereza...Soma sheria zinazoongoza vyombo hivi vya dola..Kwa mfano soma sheria ya TISS ya mwaka 1996..ACT No. 15 of 1996.
Kwa nini nisupport vitu ambavyo mimi mwenyewe nimejificha kwa ID fake. Mtu anafanya kitu cha hatari. Kama kweli unamsupport speak out openly siyo kujificha kwenye jina fake. Unafki tu. Mtu upo na ID fake then unamwambia well done unampamp aendelee. Kama upo serious muunge mkono asilimia mia kwa kuisema serikali ukiwa unafahamika.Kwa stament hii unaungana na wote wanaosema mliemchagua huyu mtu mmeiletea laana kubwa nchi hii kiasi kwamba vizazi vyenu vitaiishi hii dhambi so kwa mtazamo wako watu wawe wapole waunge juhudi za mateso Mimi nadhani ikiwa unakubali now tuna watawala dhalimu naww huna ujasiri wakusema kitu nivyema uka Support wenye huo ujasiri huo naww ubakie kwenye keyboard ukiamini iko siku dhulma itakoma bila kujali ni lini maana doctors wengi kutoka mamlakani nivile Mungu aamue refer hotuba ya uzinduzi wa Terminal 3
Sawa malaikaAgain that will never happen,positivity is my motto.Najiongelea mwenyewe.
Kuna umumihu wa ku-challenge haya mambo mahakamani, watupe constitutional review ya huu utaratibu. Nini ni special sana kuhusu kutakatisha pesa mpaka kumnyima mtu uhuru wake?Hatimaye, Erick Kabendera kukosa dhamana kwa kosa la kutakatisha fedha. Kisheria, kosa la utakatishaji fedha halina dhamana. Ni kusubiri kusikilizwa na kuamuliwa kwa kesi yake tu mahakamani. Yajayo yako vyema sana...
Umerudi tena love. Kubali unanipenda maana si kwa kunifuata namna hii.Halafu ww ajuza hii tabia yako ya kuparamia vijana itakutokea puani.
Ukiwa mpiganaji au mwanaharakati au yoyote unaefanya kazi ya hatari, first and most important ni kukwepa kukamatwa na unaowapigaKwahiyo Mandela alikuwa mjinga mpaka kuwekwa miaka 27 jela. Alitakiwa akimbie nchi yake!
Nakuonea huruma Erick
Wamekuweza na wamekupata
Lakini kwa hii dhuluma unayofanyiwa Mungu atakulipia.
Basi Richard hacha ukatili. Mwenzako anapoonewa au kuteseka usifurahie bali muonee huruma na umwombee faraja. Hivi kwa mazingira ya tangia kukamatwa kwa Erick, taarifa zote za polisi/uhamiaji za kimagumashi bado ujaona kama kuna uonevu wowote. Hata kama wakubwa hawakukipenda alichoandika Erick, basi wawe wawazi wamkamate kwa utaratibu unaotumiwa katika kukamata watu wengine wa kariba yake na waseme wanamkamata kwa kosa hili au lile. Siyo kutuletea maigizo wakati mwenzetu anateseka na familia yake inasoneneka. Halafu eti mtu kama wewe uoni tatizo unashangilia mwenzako kuteseka kwa kisingizio eti umetoa maoni. Hacha roho mbaya muonee binadamu mwenzako uruhuma anapoteseka/anapoonewa tafadhali.Mimi mtu poa sana na sina hayo unayofikiria.
Ila nasisitiza nimetoa maoniyangu na maoni yanaweza kuwa ya aina tofauti.
Haya tusiende mbali nje ya mada.
Hawa huitwa "auxiliary force" na hufanya kazi na wote TISS, Polisi na Uhamiaji.
Sisi twawaita "watu wasojulikana" na wengi tunao mitaani wakipewa taarifa za mlengwa basi hujiandaa kukuzungushia wigo.
Kama umemsikiliza kwa makini jamaa ya Uhamiaji amesema kwamba ilibidi wavae kiraia ili kuweza kumkamata mhusika.
Umerudi tena love. Kubali unanipenda maana si kwa kunifuata namna hii.
Utamsaidia kuitunza familia yake? Wewe shukaa mbona unajificha kwa ID fake
Ukiwa mpiganaji au mwanaharakati au yoyote unaefanya kazi ya hatari, first and most important ni kukwepa kukamatwa na unaowapiga
Ila kuna situation ambazo huwezi kukimbia, unaweza kuta lazima ubaki na wafuasi wako ili kuwahamasisha na kuendesha chama n.k hivyo inakulazimu kubaki
Lakini kwa case ya Kabendera ilikuwa tofauti, ni kitu kilichokua kinakwepeka kabisa, mfano angetumia tu hata fake ID ingemgharimu nini? Kuna waandishi wengi wanafanya hivyo
Matamko mengi wamefeliChadema toeni tamko.
Mchokozi kumbe wewe😍😍😍😍😍😘😘😘😘😘
kweli wewe iharoNimesoma comments zote ya maana ni hii tu wengine wote wanaropoka wasivyovijua na kuweka siasa mbele.