Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Kwa nini nisupport vitu ambavyo mimi mwenyewe nimejificha kwa ID fake. Mtu anafanya kitu cha hatari. Kama kweli unamsupport speak out openly siyo kujificha kwenye jina fake. Unafki tu. Mtu upo na ID fake then unamwambia well done unampamp aendelee. Kama upo serious muunge mkono asilimia mia kwa kuisema serikali ukiwa unafahamika.
....ni hivi sikila mtu ana ujasiri wakupinga gywe ila wengi hawaridhishwi nagywe so ikiwa una Support matendo maovu sawa Ila kama hutaki na huna ujasiri wakusema hadharani hata nyuma ya keyboard sawa tu! hivi mmewahi kujiuliza kwanini Mandela alikubali kukaa Jela miaka 27!! kwenye tawala dhalimu obvious wahanga hawakosekanagi nina chosikitika baadhi yenu kusupport mambo maovu yanayoendelea! ujue baadhi ya Mambo watawala wanapaswa kusikia kauli moja tu! kwamba huu ni ujinga acha mara moja lkn hii kupongeza lazima anajua yuko sawa ni hatari
 
Unapoandika against serikali hakikisha upo safi,maana lazima wakutafute kwenye udhaifu wako wakutie nyavuni. Sasa anaandika against Rais,huku yeye mwenyewe anafinance uhalifu,halipi kodi na anatakatisha pesa. Poor him.

Kwani Mahakama imeshathibitisha kuwa hizo tuhuma ni za kweli kwa ushahidi usiyo shaka?
 
Gazeti lilikuwa linatumia lugha kali dhidi ya Magu kuna makala moja aliitwa foolish, pamoja na lugha nyingine kali tu, sasa huwezi andika vile halafu ukabaki salama mkuu, jamaa alikuwa mjinga hata kama alikua akikosoa kitu sahihi
Foolish ni mpumbavu na Magufuli mwenyewe anawaita mawaziri wake hivyo akiwepo yule prof kutoka jalalani. Tatizo liko wapi? CCM wanamwita Magufuli tinga tinga na tinga tinga ni bulldozer tatizo liko wapi? Kwa hiyo lugha inakuwa kali kwa wengine kuitumia lugha ile ile anayoitumia rais lakini ikitumika kwake ndiyo inageuka kuwa kali?
 
Duuh wanamuundia kesi isiyo na dhamana...Halafu haiwezekani mashtaka yote yaanzie 2015 hadi 2019.. Kwani enzi za JK alikuwa wapi? Hayo mashtaka ni ya kupika! Halafu mbona hakuna uchochezi badala yake amehusishwa na magenge ya kihalifu? Hao wenzake mbona hawajakamatwa kama wamejiridhisha kuwapo hayo magenge?
Kusoma ujui hata picha. Wenzake ni January Na Mzee wa bao la mkono hapo maana yke wafunge mdomo au waseme Suuu waone kilichomtoa kanga Manyoya...
 
Foolish ni mpumbavu na Magufuli mwenyewe anawaita mawaziri wake hivyo akiwepo yule prof kutoka jalalani. Tatizo liko wapi? CCM wanamwita Magufuli tinga tinga na tinga tinga ni bulldozer tatizo liko wapi? Kwa hiyo lugha inakuwa kali kwa wengine kuitumia lugha ile ile anayoitumia rais lakini ikitumika kwake ndiyo inageuka kuwa kali?
Yeye ni Magufuli ana dola na ni dikteta, hapo ndio tatizo linapoanza
Mimi simkosoi kwa alichokua akikosoa au lugha, Kenyatta mwenyewe hapo Kenya anakosolewa kwa lugha kali tu kuliko hiyo na wanatumia hizo lugha hawakamatwi
Ninachomkosoa ni yeye kutumia lugha kama hiyo huku akiishi hapa hapa kweupe kabisa na majina yake yote mawili kwenye makala na akijua mazingira ya Tz yalivyo kwa sasa
 
Kwa kawaida mimi ni mtu wa kupima mambo na kujidhibiti lkn kwa hali hii nataka kusema neno ambalo labda si sawa kuhusu namna hawa jamaa wanavyoendesha mambo yao na najua halita leta athari yoyote ila ni kipimo cha chuki dhidi yao tu , unajua nataka kusemaje ‘f.ck them ‘ so much injustices nowadays

Nchi yetu sote
 
Mimi sina mda wa kulamba viatu ni nyie na kundi lenu kutwa mwashinda kuwatafuta wazungu wa kuwalamba viatu.

Nina kazi yangu ya kujiajiri na yaniingizia mapato ya uhakika 24/7

Nina nina kipato kuliko wewe.
Wauni utawajua tu, na wewe ni mmojawapo. Una kipato kuliko mimi? Umenifahamuje mimi na kipato changu? Ndiyo maana nikakwambia uenda ukawa mchawi wewe maana ueleweki kabisa wewe mlamba viatu tu.
 

Mwandishi wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera amefikishwa Mahakama ya Kisutu leo

Anashtakiwa kwa makosa matatu chini ya sheria uhujumu Uchumi ambayo ni...

1. Kujihusisha na mtandao wa uharifu, 2015-2019 katika maeneo ya Dar Es Salaam aliongoza kundi la uhalifu kwa lengo la kupata faida au manufaa mengine

2. Kukwepa kulipa kodi. Katika tarehe tofauti kati ya 2015 hadi 2019 katika jiji la Dar es Salaam alikwepa kulipa kodi zaidi ya Tsh milioni 173

3. Kutakatisha fedha haramu.

View attachment 1172905
View attachment 1172906
View attachment 1172907
Wanaanza na uraia wakifeli uhujumu ama utakatishaji unafuatia ili dhamana ikosekane!!!
Tumuombe sana Mungu atuepushe na mengi yajayo kwa maana hakuna aijuae saa wala siku ambayo naye atatwaliwa na waungwana sana wenye uchungu na nchi kuliko wengine...
 
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Yakuambiwa ongeza na zako.
 
Je hali hiyo unaonaje?
Je inaridhisha?
Au kuna haja ya maboresho kufanyika ili maamuzi ya haki yafanyike kwa wakati?
Naamini katika prevention is better than cure. Kwa situation tuliyonayo sasa.
 
Back
Top Bottom