Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Kupokea miamala kwa siri toka jarida la Economist
Kutoilipia kodi miamala hiyo ya siri
Hapo tayari umeshatakatisha
Polisi wamepukua wamekuta bank statement za miamala,nyumbu mnalazimisha apewe kesi ya uraia!
Ni jukumu la utetezi sasa kusema hiyo mialmala haikutoka ECONOMIST na kodi ililipwa
 
A
UONEVU MKUU DHIDI YA MWANDISHI = ERICK KABENDERA.
"
Mwandishi wa habari nchini Tanzania Erick Kabendera Jumatatu, amepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka mapya ya uhujumu uchumi baada ya kuzuiliwa na polisi kwa zaidi ya siku saba.
Mashtaka mapya yanamtuhumu kwa kujihusisha na genge la uhalifu na uhujumu uchumi nchini na kukwepa kulipa kodi ya zaidi ya Sh. milioni mia moja za Kitanzania.
Kosa jingine ni la utakatishaji fedha zenye thamani ya zaidi ya Sh. millioni mia moja na sabini.
=================
UPDATE
"
Erick kabendera alikamatwa na police kwa tuhuma za Utata wa uraia wake ambazo zilithibitishwa na serikali kupitia Idara ya uhamiaji.
"
SASA HAYO MAKOSA YA UHUJUMU UCHUMI YAMETOKA WAPI!!!?.

Mnaleta ukakasi kiasi kwamba tunaanza kuamini kitendo cha kukatwa kwake ni Failed Abduction PlanView attachment 1173315
N haki yake kupokea sawasawa na alichopanda
 
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
You're stupid, kesi yake aliyokamatiwa ya uraia na ikatumika nguvu kubwa kuaminisha umma ya kuwa si raia imeishia wapi?
 
UONEVU MKUU DHIDI YA MWANDISHI = ERICK KABENDERA.
"
Mwandishi wa habari nchini Tanzania Erick Kabendera Jumatatu, amepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka mapya ya uhujumu uchumi baada ya kuzuiliwa na polisi kwa zaidi ya siku saba.
Mashtaka mapya yanamtuhumu kwa kujihusisha na genge la uhalifu na uhujumu uchumi nchini na kukwepa kulipa kodi ya zaidi ya Sh. milioni mia moja za Kitanzania.
Kosa jingine ni la utakatishaji fedha zenye thamani ya zaidi ya Sh. millioni mia moja na sabini.
=================
UPDATE
"
Erick kabendera alikamatwa na police kwa tuhuma za Utata wa uraia wake ambazo zilithibitishwa na serikali kupitia Idara ya uhamiaji.
"
SASA HAYO MAKOSA YA UHUJUMU UCHUMI YAMETOKA WAPI!!!?.

Mnaleta ukakasi kiasi kwamba tunaanza kuamini kitendo cha kukatwa kwake ni Failed Abduction PlanView attachment 1173315
Ndio tumeshampoteza hivyo... Tuhuma za makosa ya uhujumu uchumi hazina dhamana
 
Tusishangae sana ,shetani anazidi kumpa kiburi bwana yule na wapambe wake.Ili kukuche giza halina budi kutamalaki.
Kukichwa kutapambazuka... Lakini kabla jua halijachomoza kiza huwa kinene
 
Kwa hiyo wamemshitaki kwa hilo kosa la utakatishaji fedha ili akose dhamana?

Halafu utakatishaji fedha si kosa baya kihivyo mpaka lisiwe na dhamana.

Sheria ya kipumbavu kabisa hiyo.
Ndiyo hayo hua unashabikiaga humu. Nawe leo uone aina yake
 
Mkutano wa SADC summit 2019 ukiisha, atakuwa mtaani. Nakumbuka miaka ya nyuma, (1980s -1990s) kama kuna ziara ya kiongozi mkubwa wa serikali mahali, wanakamatwa wale wanaopenda kuhoji mambo mbalimbali.
 
Intimidation ni Moja Kati ya njia ya wadhaifu ktk kulinda maslahi yao, uyo mwandishi nafikiri lengo likikuwa kumpoteza bt CCTV zikawaumbua wakaaamua kufubricate wanayoyajua wao
 
Mkutano wa SADC summit 2019 ukiisha, atakuwa mtaani. Nakumbuka miaka ya nyuma, (1980s -1990s) kama kuna ziara ya kiongozi mkubwa wa serikali mahali, wanakamatwa wale wanaopenda kuhoji mambo mbalimbali.
Hapana kapewa kesi ya uhujumu uchumi HATOKI
 
Jumapili utawakuta makanisani wakisali na KUABUDU huku mikono YAO imejaa damu na maonevu

Kweni huko kanisani watu huwa hawaoni kuwa kuna wenzao wametapakaa damu?
 
Kwa kweli hapo wamefeli.wametudanganya.
Wakituambia wana ugomvi mwingine nje ya uraia wake hapo Sawa.
 
Kupokea miamala kwa siri toka jarida la Economist
Kutoilipia kodi miamala hiyo ya siri
Hapo tayari umeshatakatisha
Polisi wamepukua wamekuta bank statement za miamala,nyumbu mnalazimisha apewe kesi ya uraia!
Ni jukumu la utetezi sasa kusema hiyo mialmala haikutoka ECONOMIST na kodi ililipwa
Kubambikizia watu kesi!shame
 
Tusijipe mzigo wa kutafakari maswali mengi, acha tuache vyombo vifanye kazi, tutajua ukweli ni upi.
Vyombo vyenyewe haviaminiki, hivi mtu kama Mambosasa unaanzia wapi kumuamini? wakati kila issue anayojihusisha nayo ni magumashi
 
Kubambikizia watu kesi!shame
Polisi wanaweza kuja kukupekua bangi wakakuta kichwa cha mtu ni.dhahiri utapewa kesi ya murder na si bangi
Huyo.bwana walienda kupekua uraia wake kama wanaweza kupata nyaraka zozote,si ndio wakakuta nyaraka za miamala ya siri!lahaulaaa
Ukipanda maharage utavuna maharage tu,iachene mahkama iamue
 
You're stupid, kesi yake aliyokamatiwa ya uraia na ikatumika nguvu kubwa kuaminisha umma ya kuwa si raia imeishia wapi?

Unavyonitukana kosa langu ni lipi?
Yaani kuwapa ushauri wa kuwa mimi pamoja na wengine ambao hatuna taarifa kamili kuhusu hili tusijielekeze kulaumu Bali tujipe Muda ili haki itendeke.
 
Polisi wanaweza kuja kukupekua bangi wakakuta kichwa cha mtu ni.dhahiri utapewa kesi ya murder na si bangi
Huyo.bwana walienda kupekua uraia wake kama wanaweza kupata nyaraka zozote,si ndio wakakuta nyaraka za miamala ya siri!lahaulaaa
Ukipanda maharage utavuna maharage tu,iachene mahkama iamue
Wale mliowatoa butimba kwa uonezi waliukumiwa na Mama yako au mahakama hizi?. Mahakama washajichafua kitakachoamua ni karma tu.
 
Polisi wanaweza kuja kukupekua bangi wakakuta kichwa cha mtu ni.dhahiri utapewa kesi ya murder na si bangi
Huyo.bwana walienda kupekua uraia wake kama wanaweza kupata nyaraka zozote,si ndio wakakuta nyaraka za miamala ya siri!lahaulaaa
Ukipanda maharage utavuna maharage tu,iachene mahkama iamue
Kabanbikiwa kesi,hilo liko wazi!!!!
Aliksmatwa kuhusu uraia
Akajojiwa kuhusu cyber crimes
Ameshtakiwa kwa uhujumu uchumi

Only in Tz ndio upumbab wa hvyo unaweza fanyika
 
Back
Top Bottom