Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

Haya ya kubambikwa kesi bado hayajathibitishwa na mahakama.
Ni mahakama ndio itatafsiri sheria kuonesha kama kabambikwa au ana hatia

Hakuna mahakama hapo bali kuna Makada wa ccm ndani ya Muhimili wa mahakama, wanaotumika kukomoa wakosoaji.
 
Heri ya mwaka mpya,asha sheria zichukue mkondo wake.Unataka na wewe nikuuzie mbunye?
 
Mnakurupuka sana
Magu ndie Hakimu
Huyo tu ndie alalie fiwa tu kwa wote waliopo Magerezani?
 
Yanayomsibu Kabendera wakati tupo shuleni tukisoma kuhusu harakati za ukombozi dhidi ya utawala wa kibaguzi wa Makaburu. Mzee Mandela ailifiwa na kijana wake wa kwanza. Mbali ya Mandela kuomba katika mamlaka husika by that time lakini ombi lake halikutiliwa maanani na hatimae kijana wake akazikwa pasi na yeye kuwepo.

Wakati ule mwalimu wetu wakati anaongelea kipengele hiki alikua na hisia sana na kutuonyesha jinsi gani kaburu alikua mkatili. Hata Edris Elba alikiri katika scene iliyomtia huzuni zaidi katika "Long Walk To Freedom" filamu inayohusu maisha ya Mandeka, japo alikua anaigiza alipata simanzi zaidi alipopata habari za msiba kuhusu kifo cha mwanae na kushindwa kwenda kuzika.

Fast forward leo Kabendera same scenario imejirudia. Najiuliza sijui walimu wa historia watakua na hisia kama za mwalimu wangu au ndugu Ananias Edgar anapohadithia udhalimu wa makaburu kwa waafrika?

Historia ya baadae itaandikwaje au tutafanya kama haikutokea?
 
CCM mwaka huu sijui watawaambia kitu gani raia ili wawaelewe, japo wanatuona watanzania hatuna akili ila mtanange watauona. Na njia watakayotumia ya "Diamond + Harmonize" ili wakusanye vijiji ndio muendelezo wa kutuchukulia watanzania maboya.

#2020 Kazi Na Bata, hata Mh Magufuli ameiunga mkono kauli hii baada ya kukaa ofisni muda mrefu akaamua Mwaka Mpya ale BATA.
 
Kama kweli Mungu wetu ni Mungu aliye hai na mwenye Haki ..basi kuna mijitu Italia na kusaga meno wakati sisi wengine tukinyakuliwa...
 
Heri ya mwaka mpya,asha sheria zichukue mkondo wake.Unataka na wewe nikuuzie mbunye?

Hamna mtu anataka hicho kipochi manyoya chako chenye mvi. Pelekea wazee wa kule Mbagala waliopoteza ramani. Acha kushabikia matumizi mabaya ya madaraka kwa kukomoana kwa kujifanya unasimamia sheria. Tuna akili timamu, hivyo tunajua ipi ni sheria na ipi ni kukomoana.
 
Magu kapakimbia Ikulu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnakurupuka sana
Magu ndie Hakimu
Huyo tu ndie alalie fiwa tu kwa wote waliopo Magerezani?

Sasa hivi yeye ndio jaji mkuu, spika wa bunge na kila cheo yeye ndio anakiagiza kutekeleza matakwa yake. Yeye hana kosa bali kabambikiwa kesi ili kukomolewa maana ameaanika madhambi ya jiwe hadharani.
 
Sasa matusi ya nini kwanini usijenge hoja tu?!! Au amekuzidi hoja!
 
Hakuna mtu anaekomolewa hapa,ukiwa unaipinga serikali hakikisha wewe ni msafi,ukiwa na makando kando ndo haya Eric yamemkuta,asingelipwa madola kinyemela nani angemshitaki?Eric hakuwa smart kabisa.
 
Reactions: UCD
Sasa hivi yeye ndio jaji mkuu, spika wa bunge na kila cheo yeye ndio anakiagiza kutekeleza matakwa yake. Yeye hana kosa bali kabambikiwa kesi ili kukomolewa maana ameaanika madhambi ya jiwe hadharani.
Utanyooka tu wewe!! Umebaki na stress zako tu hapa JF lakini huwezi fanya lolote na wakikutaka vile vile uwezo wa kukunyonga kabisa wanao!
 
Huyu bwana magufuli hana tofauti kabisa na Nduli Idd Amin Dadaa. Tuna utawala DHALIMU, KATILI NA WAKISHENZI kabisa, kupata kutokea hapa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…