Hakuna cha kazi yeyote hapa, ziko wapi trilion 2.5 Mkuu? Hata Nduli Idd Amin Dadaa alijitambulisha kama mchapa kazi kweli kweli, katika utawala wake uliogubikwa mauaji ya kikatili, uvunjifu wa haki za binadamu na mazongwe mengine mengi tu.Ni kweli mimi ni Bwege ila matusi hayasaidii chochote ungekuwa nauwezo ungenifuata ili uje unile nyama kabisa. Pole kunywa maji upunguze stress utakufa mapema. Hapa Kazi Tu. Ukileta cha kuleta unanyolewa bila wembe dogo.
Mkuu umesema kweli kabisa, ingawa najua wapo wengi watakutukana.Kwani alizaliwa peke yake? Lini mshitakiwa aliwahi ruhusiwa kwenda kwenye mazishi? Au hii iwe special kwa huyu, mwandishi habari? Wakulima je? Wafugaji je?
Tusiishie kusikitika, tuepuke kujiingiza kwenye mambo ya kujitakia. Kulikuwa na kila njia ya kuachana na hayo lakini naona alijivunia ushujaa.
Ndiyo hoja zako za Nduli Idd Amin? Basi endelea kusubiri..Hakuna cha kazi yeyote hapa, ziko wapi trilion 2.5 Mkuu? Hata Nduli Idd Amin Dadaa alijitambulisha kama mchapa kazi kweli kweli, katika utawala wake uliogubikwa mauaji ya kikatili, uvunjifu wa haki za binadamu na mazongwe mengine mengi tu.
Kwanini isiwe Chadema mkuu?
Mnasema kabambikiwa kesi wakati hata huyo Kabendera mlikuwa hamumjui hadi ziliposambazwa taarifa kuwa katekwa. Watanzania tuna ujuaji mwingi sana halafu wa kishamba. Hamjui hata dark life ya huyo mtu halafu mnatokwa na mapovu yote hapa. Iacheni mahakama ifanye kazi yake. Mnapoambiwa sheria ni msumeno huwa hamuelewi? Tangu lini sheria ikawa na huruma? Mahakama haifanyi kazi kwa kuonea watu huruma bali inafanya kazi kwa kuangalia sheria inataka nini. Mnataka utawala wa sheria halafu mnalialia zinapowabana, mtatukana sana ila dawa ni kufuata sheria na si kutokwa na mapovu.Mama huyu amekufa kutokana uonevu na kubambikiwa kesi kwa mwanaye. Hata hivyo bado na mambo hayo mabaya kutendeka, bado hata huruma kwa Kabendera haipatikani busara ya kwenda kumuaga mama yake mzazi. Huruma ipo kwa wabakaji, watuhumiwa wa uhujumu uchumi, majangili, wauwaji na wala si wabambikiwaji wa kesi za kisiasa kwa sura ya utakatishaji wa fedha.
Watesi na wadhulumaji wa haki za msingi wapo katika mikono salama ya Ibilisi. Kwa kuwa;
1. They are used already
2. They are misused by evil powers
3. They start to be abused
4. Indeed, they will end up be confused and perish to hell.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, ngoja Watawala hawa wa ki-IMLA "watakufuzia Inzi kwenye chakula chako" Mkuu.Ndiyo hoja zako za Nduli Idd Amin? Basi endelea kusubiri..
Haki za Binadamu huzijui wewe. Kwa taarifa yako Kabendera amerudishwa Mahabusu na hakuna cha kuaga wa kuzika. Tunaenda sisi wanachadema kuaga na kuzika. Full Stop!
Yes one day yes!! All wasiliti will be fixed!
Sisi tunachapa kazi na dawa! Wasaliti wote lazima wakione cha mtema kuni.Ok, ngoja Watawala hawa wa ki-IMLA "watakufuzia Inzi kwenye chakula chako" Mkuu.
Kwahiyo yupo huyo tuKama aliweza kumuomba DPP awasamehe wahujumu uchumi ambao wapo tayari kurudisha hela, anaweza pia kusema inatosha pia kwa wale ambao ushahidi wa kesi zao aukamiliki waachiwe.
Mpumbavu mmoja Alisema tokea Ufipani kwa VibenderaSasa hivi yeye ndio jaji mkuu, spika wa bunge na kila cheo yeye ndio anakiagiza kutekeleza matakwa yake. Yeye hana kosa bali kabambikiwa kesi ili kukomolewa maana ameaanika madhambi ya jiwe hadharani.
Never! Never Ever!! We are now extremly vigilant with wasaliti and ....!!
Sasa matusi ya nini kwanini usijenge hoja tu?!! Au amekuzidi hoja!
Hakuna mtu anaekomolewa hapa,ukiwa unaipinga serikali hakikisha wewe ni msafi,ukiwa na makando kando ndo haya Eric yamemkuta,asingelipwa madola kinyemela nani angemshitaki?Eric hakuwa smart kabisa.
Mkuu Kabendera karudishwa mahabusu hakuna kuaga wala kuzika. Tutaaga na kuzika sisi wanasaccos ya Chadema!Tulia ww mjuba, hayakuhusu.
Utanyooka tu wewe!! Umebaki na stress zako tu hapa JF lakini huwezi fanya lolote na wakikutaka vile vile uwezo wa kukunyonga kabisa wanao!
Mkuu Kabendera karudishwa mahabusu hakuna kuaga wala kuzika. Tutaaga na kuzika sisi wanasaccos ya Chadema!
Wewe ni zaidi. Ndiyo mliokuwa mnapata pesa toka kwa mabeberu kupitia kwa Kabendera. Pole kunywa maji upunguze stress Kabendera karudishwa mahabusu hakuna cha kuaga wala kuzika. Mwakilishe mkuu!Mashtaka ya kushinikiza...Jiwe ana roho mbaya hakuna mfano!