Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

Nawaza Erick huko aliko peke ake mahabusu
Huu usiku ni mchungu Sana kuliko hata usiku wa siku yake ya kwanza mahabusu
Mpaka nimewaza kwanini tu na yeye asimfate mama yake..Mungu anisamehe naweza nikawa nakufuru
 
Yani kuna watanzania in wajinga sana hivi Leo hii USA au UK ikitaka Tanzania iwe down ni kitu cha sekunde,sasa hayo mataifa yatumie watu kudhoofisha nchi ili iweje??

Kuna nchi kama Russia,china, Irani ndio nchi za magharibi zinaweza tumia watu kudhoofisha utawala uliopo.

Sasa kwa nchi za kiafrika kama Tanzania ambao vidonge vya watu wetu tunasubiri kupewa ndio tuwaangaishe hao mabeberu.kweli???
 
Mkuu issue yangu siyo ruhusa ya kwenda kwenye mazishi. Nilichikuwa najaribu kusema.... Umeandika mengi mazuri ya awamu Hii. Je, yote ya awamu Hii ni mazuri tu.....!!?
 
Nachukia wanasiasa na siasa kwa ujumla...watu wengine wanaishi tu kwa kuwa ni haki kuishi ila ingekuwa kinyume chake kuna watu hawakustahili kuwepo kwenye sayari hii
 
Masanjaone,
ungerudi shule ukajifunza kuandika. aibu tupu kwako na kwa jf bila ya kutaja gt. roho mbaya inakupelekesha na kukuguna. heri maiti kuliko wewe na mawazo yako na uandishi wako. kichefuchefu balaa!
 
Kuna watakaohoji kwanini mama hakusubiri hukumu ya mwanawe ila all in all kila nafsi iliyo hai itaonja mauti..kwamba lini,wapi,nani atafuata na kwanini swali hili sina mamlaka ya kulijibu na jibu lake halikatiwi rufaa popote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…