Sauti ya Mamlaka
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,601
- 2,354
Ww ni mpumbavu kuliko wapumbavu wote unaweka politics kwnye inshu serios kama msiba...f**k u
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu gan ww huna hata ubinadam kweli mwisho wa dunia umefika maana watu watakuwa ni wenye kuzipenda nafsi zao na kuwaacha wengne wakitaabikaWw ni mpumbavu kuliko wapumbavu wote unaweka politics kwnye inshu serios kama msiba...f**k u
Sent using Jamii Forums mobile app
kWA HIYO!
Are you sureAngekuwa anampenda sana mama yake basi asingefanya uhalifu!
Ikumbukwe sijawahi na sitawahi kumuonea huruma mhalifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Lwajabe alikuwa anafanya kazi wizara ya fedha sasa nyaraka zake na kabendera ni nini!Usishadadie vitu usivyo vijua, Kabendera anapata misukosuko kwasababu ya nyaraka alizopewa na marehemu Lwajabe kabla ya umauti haujamkuta
Ndo ujue hivyo sasa, wahusika wanujua alichonacho Kabendera kutokea kwa marehemuLwajabe alikuwa anafanya kazi wizara ya fedha sasa nyaraka zake na kabendera ni nini!
Swali zuriLwajabe alikuwa anafanya kazi wizara ya fedha sasa nyaraka zake na kabendera ni nini!
Mawakili ni wajinga kwa kiasi hicho kweli wapeleke maombi mahakamani huku wakijua kisheria haiwezekani!!Mjibu vizuri alichosema, je kuna utaratibu wa kisheria kwa mfungwa au mahabusu wa kutolewa gerezani na kwenda kushiriki msiba au tukio lolote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu issue yangu siyo ruhusa ya kwenda kwenye mazishi. Nilichikuwa najaribu kusema.... Umeandika mengi mazuri ya awamu Hii. Je, yote ya awamu Hii ni mazuri tu.....!!?Usiandike kutoka kwenye hisia tu. Hivi, mnajua kuna Watanzania wangapi wako rumande au jela na wamepoteza wapendwa wao? Suala hapa lilitakiwa kuulizwa (badala ya kuomba) ni utaratibu gani uliopo kisheria wa mfungwa au mshtakiwa aliye rumande anapopata msiba? Na je utaratibu huo kwanini usitumike (kama upo) kwa Eric Kabendera? Hili ndilo swali langu badala ya kutoa lawama tu. Maana binadamu wote ni sawa. Ila kama huwa hawaruhusiwi kwenda kwenye misiba hata kama ni wa baba au mama, au mtoto, kwanini iwe tofauti kwa Kabendera? Tuwe na ubinadamu, mwenzetu kafiwa na Mungu ampe faraja sana lakini tusije tukajiona miungu wa kudhania tunajua majibu ya maswali ya umilele.
Niwakati wao wa kufurahi unakuja ule wa kusaga meno karma ipo mkuu.Binadamu gan ww huna hata ubinadam kweli mwisho wa dunia umefika maana watu watakuwa ni wenye kuzipenda nafsi zao na kuwaacha wengne wakitaabika
Sent using Jamii Forums mobile app