kuomboleza kwa huzuni Bibi kizee aliyetimiza umri wa kuishi ni janga la kusikitisha.
Makabila yetu hufanya sherehe na siyo kuhuzunika.
Teia hii ni sehemu ya ujinga usiyo wa kihaya labda kwa watu wa Dar..
Hakika simu ya kutoka juu itamuaa lakini sidhani kama maamuzi yake yatakuwa kama anavyofikiria mtu mwingineNgoja akapige Simu kwenda juu maana majibu yatapatikana kutoka juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli ametoa msamaha kwa Wahujumu Uchumi ..Kwamba wakiri kwa barua kisha walipeNon above the law ,hakuna cha umaarufu, kujulikana ,kuwa kiongozi wala mwanamziki jela ni jela na ukishajiingiza huko lazima utoke kama sheria inavyosema
Kama hamna hiyo precedence anakuwa ngumu sana, swali ulilouliza only smart people wanaweza jiuliza, Mimi pia nilikuwa nasoma comments nashangaa, of course ni kitu kinaumiza kutokwenda kumzika mama, ila precedence ikoje? Je kuna watu walisharuhusiwa kuzika ndugu zao wakiwa ndani? Kama wapo kwa vigezo vipi? Kama hawapo kwann kabendera a set precedence? Je mahakama ingewapa na wengine ruhusa hiyo kama kabendera angeruhusiwa? Tuiache mahakama ifanye kazi, si kila jambo ni Siasa mitandaoni.Ni mahabusu wangapi hufiwa na watoto,wake au wazazi wao wakiwa mahabusu? Je,hawa huruhusiwa kwenda kuwaaga/kuwazika ndugu zao ila Kabendera pekee akanyimwa haki hiyo kiuonevu? Kama sivyo basi,kwa nini mjadala usijikite kutafuta haki hii ya mahabusu kwa ujumla wao na sio Eric peke yake? Wasomi tuko sawa hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba nawe uwe mwandishi wa habari za kichunguzi ili umjibu kichunguzi? Alaaa kuuumbe ndo maana hata Mond akisutwa na Kiba huwa anamjibu kupitia muziki!..kwani Kabendera alikuwa akiwabambikia watu keso za uhujumu uchumi, kiasi kwamba leo iwe halali kulipiziwa na aliopata kuwatesa?
..Kabendera ni muandishi, anatumia kalamu. Kwa msingi huo yeyote anayetatizwa au kuchukizwa na anayoandika Kabendera anapaswa kumjibu au kumpinga kwa kalamu.
Ongelea mlichokiweka humu,hao wahujumu uchumi walisamehewa ili wakazike mama zao?mbona mnakuwa hamna akili jamani?Magufuli ametoa msamaha kwa Wahujumu Uchumi ..Kwamba wakiri kwa barua kisha walipe
Hivi sasa waliowengi wako huru..
Magu alitumia sheria gani kuwasamehe?
Hii ni zaidi ya ruhusa ya siku moja kuzika Mama mzazi.
Kaiombeni mahakama sasaMh Duni Haji akiwa mahabusu kwa kesi ya Uhaini Mahakama ilimruhusu aende nyumbani kwao akamzike mama yake mzazi.
Kosa lake ni lipi haswa? Kuhujumu uchumi au kuiambia dunia ujinga na uchafu unaoendelea hapa Tanzania?Kwani alizaliwa peke yake? Lini mshitakiwa aliwahi ruhusiwa kwenda kwenye mazishi? Au hii iwe special kwa huyu, mwandishi habari? Wakulima je? Wafugaji je?
Tusiishie kusikitika, tuepuke kujiingiza kwenye mambo ya kujitakia. Kulikuwa na kila njia ya kuachana na hayo lakini naona alijivunia ushujaa.
Kwa nini yeye ,unadhani wangapi yamewakuta tena zaidi ya haya na bado wako na hawajui kama wamefiwa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app