Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

Salaam Wakuu,

Jeshi la Polisi linawashikilia Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA waliofika Mahakamani Kusikiliza kesi Mbowe.

Leo Kisutu ulinzi ni Mkali, Hawaruhusu watu kuingia, isipokua wachache tu kutokana na maradhi ya Corona. Hivyo Wanachama na Wafuasi wengi wa CHADEMA hawakufanikiwa kuingi.

Walipokua wengi Wakaanza kuimba Mbowe sio Gaidi, na kutoa Mabangu waliyokuwa wameficha ndani ya nguo.

Baada ya Robo saa, Polisi walikuja na Magari wakaanza kuwatawanya bila kupiga Mabomu.

Watu zaidi ya 20 Wamekamatwa na Wengine wamefanikiwa kukimbia
 
Sheria ipi aliyovunja Mbowe?

Viongozi wetu wanategemea sana mataifa ya nje hasa kiuchumi ivyo lazima waogope tu,na tutaendelea kuwachongea nje mpaka mfuate sheria na katiba,tunapiga panapouma!
 
Halafu huyo Mbowe wao alipokuwa Mwanza akamtukana DC wa Ilemela kwamba ni mjinga mjinga tu, halafu mtu huyo unayemtukana unatarajia akupe ulinzi, akunyenyekee, wewe nani?
Kwan DC hawezi kuwa mpuuzi? DC kutimiza majukumu yake ni favours? Rubbish kabisa
 
Kipao kinageuziwa maradhi ya CORONA, mbona wafungwa na mahabusu wanawalundika kwenye selo na hawazingatii uwepo wa CORONA!
 
Kuna watu mna akili kama za punda tuu
 
Kama chama kimeruhusiwa kumiliki jeshi la polisi kwa nini Chadema wasiwe na polisi wao?

CCM hawawezi kuondoka kwa kubembelezana .. lazima watu waingie msituni wapate mafunzo kama ilivyokuwa kumuondoa kaburu ndio inavyotakiwa kumuondoa ccm kwa sababu wanapenda sana faulu na rafu.
 
Halafu huyo Mbowe wao alipokuwa Mwanza akamtukana DC wa Ilemela kwamba ni mjinga mjinga tu, halafu mtu huyo unayemtukana unatarajia akupe ulinzi, akunyenyekee, wewe nani?
Mjinga sio tusi,acha kuonyesha ujinga wako jukwaani.
 
Roho mbaya mnayo nyie watumia viwembe

Lini mmepanga kumyoa mama kama mtangulizi wake!?
Nani Sasa kaongelea mambonya viwembe?

Usishabikie mateso ya mwingine kwa kuwa yanaweza kukupata pia.

Yaani wewe unaamini kabisa kuna mtu anaweza akaenda kumyoa mamam na kiwembe?
 
Mama n mcherengwa fani zao ni uvuvi,akili hawana yani pipa n mfuniko,kurembua ndio anaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…