YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kuna sehemu huruhusiwi kupiga kelele Wala kufanya mimutano ya siasa nazo ni hospitali na mahakamani.Marufuku hata kupiga honi Sasa wao waanaenda kuimba kwaya mahakamani walitarajia Nini Ni kubughudhi mahakama pia Ni kuingilia uhuru wa majakama na kuitishia. Na kuokosesha isifanye kazi kwa utulivu .Utaendaje kuendesha mkutamo wa siasa na mibango mahakamani hivi hao chadema kichwani akili zimo?Polisi ni waoga sana yaani wananchi wapo mikono mitupu wao na mabunduki kama wapo Somalia vile.