Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

Salaam Wakuu,

Jeshi la Polisi linawashikilia Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA waliofika Mahakamani Kusikiliza kesi Mbowe.

Leo Kisutu ulinzi ni Mkali, Hawaruhusu watu kuingia, isipokua wachache tu kutokana na maradhi ya Corona. Hivyo Wanachama na Wafuasi wengi wa CHADEMA hawakufanikiwa kuingi.

Walipokua wengi Wakaanza kuimba Mbowe sio Gaidi, na kutoa Mabangu waliyokuwa wameficha ndani ya nguo.

Baada ya Robo saa, Polisi walikuja na Magari wakaanza kuwatawanya bila kupiga Mabomu.

Watu zaidi ya 20 Wamekamatwa na Wengine wamefanikiwa kukimbia
View attachment 1880581View attachment 1880582View attachment 1880583View attachment 1880585View attachment 1880586View attachment 1880587View attachment 1880588View attachment 1880590
Tunajua Nulad yupo! Wakati wa Euromaidan alikuwepo.
=====
Hivi hawa wamekuja kusikiliza kesi ama wamekuja kuingilia uhuru wa mahakama katika kesi hii?. Hii wapi karama ya watu hawa juu ya kuhimiza serikali ifuate sheria kwa mujibu wa katiba yao na Ilani zao zauchaguzi?
 
Polisi ni waoga sana yaani wananchi wapo mikono mitupu wao na mabunduki kama wapo Somalia vile.
Hahaa kazi hizi za kutumwa nalaani asije katk ukoo wangu akaelekea huko.
 
Polisi ni waoga sana yaani wananchi wapo mikono mitupu wao na mabunduki kama wapo Somalia vile.
Kama Daudi na Goliath
1628148351573.png
 
Ndo hivyo licha ya mikwara mbuzi ya IGP kwamba atakayesogea atakiona cha mtema kuni lakini watu wamefika kwa wingi hawajali kauli ya sirro wala nani.

Hadi hapo hujagundua kwamba watu hawana uoga tena?
Bado sijaona,

Labda tungojee muda useme.
 
Yaani kila mtu ametoka nyumbani kwake kwa nia yakuhudhuria kesi halafu wakakutana eneo moja waende waombe kibali?
Kama kila mmoja alitoka nyumbani kivyake ilikuwaje wakafika na kuanxa kuimba wimbo mmoja wenye maneno yaleyale na wakiwa na mabango? Yenye ujumbe uleule?

Waligeuza mahakamani kituo Chao Cha kukutania kuendesha siasa
 
Ulitamani maandamano yawe ya vurugu ili kuhalalisha kwamba Mbowe ni gaidi? Wana chadema wana akili sana wanajua mitego yote.
Yeah afu yawe non stop.

Hata chama kikufutwa lakini haki ipatikane.

Tatizo wanasiasa wanatanguliza mbele maslahi yao. Sio nnchi
 
Mbona hatukuona huo msimamo wao kwenye masheikh wa uamsho?
Unaonaje mama alivyo siyo dhalimu.,!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anawakomesha mataga, sukuma gang na kufuta legacy

Anafungua nchi

Anamwaga hela mtaani tuwe tunaziokota!
 
Hayawani kweli wewe! Hujui ni ujinga askari wote unaenda kuwalundika Kisutu na kama kulikuwa na njama kubwa ya uporaji lets say Airport nani ataweza kukabili hayo wakati resources zote mmepeleka Kisutu?
Kama huna akili kiasi hicho kaa jikoni umpikie shemeji yako. Ebo
Midomo yenu inaponza watoto wewe ona hapa chini
 

Attachments

  • Chanjo.mp4
    7.2 MB
Back
Top Bottom