Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

hao ndio wajinga kweli.
unakuta mtoto wa mbowe na familia yake mida hii wamekaa kwenye sofa wanaangalia tv wewe mlala hoi Zuzu unachezea kichapo na kuishia mahabusu.

akili ndogo sana , wanatumiwa bila kujitambua, wamejazwa upepo, hapo huwezi kumkuta mke wa Myika wala mke wa mrema,
kuweni na akili acheni kutumiwa.
 
Kiongozi, Mdude alisamehewa na nani na alisamehewa kutoka katika hatia ipi? Kwa lugha hii, unamaanisha kwamba Mbowe anashikiliwa kama kisasi kwa maneno ya mdude? Utekelezaji wa azma hii ni kifungu namba ngapi cha katiba?...
Unatetea nini sasa, Hivi hii serikali ya ccm wewe unaijua vizuri au unaisikia tu!!
 
Tusimame kama taifa moja kupinga huu uhuni wa vyombo vya dola kubambikizia watu kesi!FreeFreemanMbowe
 
Ilitakiwa ifanyike kwa njia ya mtandao hivyo mtandao umegoma.
Kesi itasikilizwa kesho saa 3 namtuhumiwa atapelekwa mahakamani.
Source Radio one

NB Hiyo ni chenga tu,Kesha mtasikia mitambo imekaa sawa na kusikiliza kwa njia ya mtandao
 
Bila shaka bado wanambembeleza Mbowe mambo yameharibika huku tutakuachia lakini katiba mpya usidai. Mwamba bado anakataa.
Kama makaburu walivyomfanyia Mandela.
 
Kuna sehemu huruhusiwi kupiga kelele Wala kufanya mimutano ya siasa nazo ni hospitali na mahakamani.Marufuku hata kupiga honi Sasa wao waanaenda kuimba kwaya mahakamani walitarajia Nini Ni kubughudhi mahakama pia Ni kuingilia uhuru wa majakama na kuitishia. Na kuokosesha isifanye kazi kwa utulivu .Utaendaje kuendesha mkutamo wa siasa na mibango mahakamani hivi hao chadema kichwani akili zimo?
Mbona hamuishiwi maneno,mwanzoni mlisema hakuna mwanachama wa CDM atakeyethubutu kuhudhuria na kwamba ni kelele za mitandaoni-Wamekuja alafu sasa unaanza kuleta mambo ya excuse kupitia taratibu? CCM ni hopeless.
 
Ilitakiwa ifanyike kwa njia ya mtandao hivyo mtandao umegoma.
Kesi itasikilizwa kesho saa 3 namtuhumiwa atapelekwa mahakamani.
Source Radio one

NB Hiyo ni chenga tu,Kesha mtasikia mitambo imekaa sawa na kusikiliza kwa njia ya mtandao
Tumeisha tia Tim, tutasubili hata wahirishe mpaka mwakani,
 
Unadhani hiki unachoandika hapa kitafuta udhalimu wa yule ibilisi aliyeko motoni? Hata huyu mama wa kambo aaue wapinzani wote hapo uwanja wa taifa, bado lile takataka lilikuwa ni janga kwa nchi hii. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika.
Kwahiyo Mungu katuletea mama?
 
Viwembe sio mateso ya wengine?

Segerea ni sehemu ambayo yoyote anaweza ingia kama anastahili

Kama mmesema wenyewe kwanini tusiamini? Tatizo lenu huwa mnajisahau sana
Ok. Wewe Mama D Kama Mama D mtazamo wako kuhusu katiba Ni upi?

Je ni (a)unaunga mkono kuwa tunaihitaji katiba mpya au ni (b) Hauungi mkono uhitaji wa katiba mpya.

Jibu fupi fupi tu.(a) au (b).
 
ccm wametumia nguvu kubwa sana leo kulikuwa na police zaidi ya 500
 
Mtu alikuwa hajui Lugha na maradhi ya moyo hawezi kusafiri safari ndefu. Hasa kiingreza
 
Kikundi cha watu 50 wanataka kuleta vurugu, peleka ndani wakalale na kunguni wakitoka j3 waende kuwasimulia wenzao vizuri Clubhouse na Maria Space.
Dunia hii mtu anaeonekana ni mjinga kuliko wote ni yule anaeamini kuwa ni haki kudhuriwa, kuteswa kufungwa au kuuwawa mtu anaetafuta haki kwa njia ya amani.
 
Ok. Wewe Mama D Kama Mama D mtazamo wako kuhusu katiba Ni upi?

Je ni (a)unaunga mkono kuwa tunaihitaji katiba mpya au ni (b) Hauungi mkono uhitaji wa katiba mpya.

Jibu fupi fupi tu.(a) au (b).
Mama D tuna kesi yake ICC, mmoja alisha ikimbia sio KWa kutaka, ila KWa mapenzi , ya Mungu ila sio mda viongo wa juu wa vyombo vya ulinzi ukimto Mabeyo, tutawaunganisha
 
Back
Top Bottom