Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

Uzee dawa.

Mzee Mgaya jana aliwashauri wafuasi wa Chadema wasiende mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam kwa sababu kesi za Ugaidi huendeshwa kwa njia ya mtandao
Mzee Mgaya acha za kuleta, hii si kesi ya kwanza ya ugaidi kufunguliwa Tanzania na kama ilivyoanza na usiri na hukumu iliyotolewa na Sirro ndivyo itakavoendelea.
 
Km kweli amewahi kuuza madawa club akatuharibia mamia ya vijana basi yote kheri wakuadhibu waadhibu

Kwa hili la kuuza madawa club nitamtete Mbowe, sababu yeye alikua mmiliki wa night club na hajawahi kuwa muuza madawa ya kulevya. Labda useme tuu kama una ushahidi kwamba alijua wateja wake walikua wanafanya hiyo biashara ndani ya eneo lake la biashara na yeye akakaa kimya bila ku report

Btw wakati ule madawa yalikua yanauzwa mitaani kama njugu
 
Hivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
Mdude hakusamehewa bali alishinda kesi!
 
Kwahiyo mzee Mgaya ndio Jaji mkuu au mshauri wa kisheria wa Samia?

Kwa akili zake anaamini hapo kuna kesi hali au dubious charges?
 
Kuna watu wanasema hapo watu wameandamana 😂😂😂 wafuasi wa chadema Kusimama na vijibango ety ndo kuandamana 😂😂😂 Watu wenyewe hata hawajai kwenye difenda ya police.
 
Nimeona idadi kundi la kama wanachama 19 wa chadema hapo kisutu😂😂😂😂😂😂
Nakwambia ni vichekesho maana kila mkoa amewakilisha nusu ya mtu. Kwani Tanzania ina mikoa 30 na waliohudhuria ni 15. 15/30 =0.5. Nimemsaka rafiki yangu Erythrocyte naye hakukanyaga. Naona sasa niondoke hapa Kisutu.
 
Manual system zinatushinda.
Technical system tutaziweza ikiwa manual tunashindwa
 
Kweli wana chadema mna nguvu na mshikamano wa hali ya juu kabisa, nmemuona lissu na Lema na baadhi ya viongozi wa chadema wakiwa na familia zao mbele kabisa ya maandamano wakiwa wameshika mabango
 
Nakwambia ni vichekesho maana kila mkoa amewakilisha nusu ya mtu. Kwani Tanzania ina mikoa 30 na waliohudhuria ni 15. 15/30 =0.5. Nimemsaka rafiki yangu Erythrocyte naye hakukanyaga. Naona sasa niondoke hapa Kisutu

Kama na wewe upo hapo kisutu naomba nisahihishe idadi. Watakua 18 🤣🤣🤣
 
Hivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
Ukiona hiwezi kuvumilia maneno kama yale ya Mdude, utambue kuwa wewe huna sifa wala uwezo wa kuwa kiongozi.
 
Back
Top Bottom