Kuna sehemu huruhusiwi kupiga kelele Wala kufanya mimutano ya siasa nazo ni hospitali na mahakamani.Marufuku hata kupiga honi Sasa wao waanaenda kuimba kwaya mahakamani walitarajia Nini Ni kubughudhi mahakama pia Ni kuingilia uhuru wa majakama na kuitishia. Na kuokosesha isifanye kazi kwa utulivu .Utaendaje kuendesha mkutamo wa siasa na mibango mahakamani hivi hao chadema kichwani akili zimo?Polisi ni waoga sana yaani wananchi wapo mikono mitupu wao na mabunduki kama wapo Somalia vile.
punguza jazba dadaKikundi cha watu 50 wanataka kuleta vurugu, peleka ndani wakalale na kunguni wakitoka j3 waende kuwasimulia wenzao vizuri Clubhouse na Maria Space.
Ameimba taarabu.Akikujibu huyo dada nitag
Hawakuingia ndani ya viwanja vya mahakama bali mita kadhaa nje ya mahakama mkuu.Kuna sehemu huruhusiwi kupiga kelele Wala kufanya mimutano ya siasa nazo ni hospitali na mahakamani.Marufuku hata kupiga honi Sasa wao eanaenda kuomba kwaya majakamani walitarajia Nini Ni kubughudhi mahakama pia Ni kuingilia uhuru wa majakama na kuitishia.Utaendaje kue desha mkutamo wa siasa na mibango mahakamani hivi hao chadema kichwani akili zimo?
Hii kwa Tanzania is not easy KutokeaMambo yanaanzaga hivi hivi mdogo mdogo mwishowe inashindikana kuzuia yanatokea kama tunavyoshuhudia kwingineko.
Usidharau nguvu ya umma kabisa mkuu.
Ulitamani maandamano yawe ya vurugu ili kuhalalisha kwamba Mbowe ni gaidi? Wana chadema wana akili sana wanajua mitego yote.Hii kwa Tanzania is not easy Kutokea
Hayawani kweli wewe! Hujui ni ujinga askari wote unaenda kuwalundika Kisutu na kama kulikuwa na njama kubwa ya uporaji lets say Airport nani ataweza kukabili hayo wakati resources zote mmepeleka Kisutu?Wewe mpuuzi kweli, polisi ndiyo kazi yao. Kuzuia, kukamata na kushitaki. Hapo wanakuwa wanazuia
Hizo kelele za nyimbo zilikuwa hazifiki viwanja vya mahakama? Na kukusanyika kwao kulikuwa na kibali Cha polisi? Na kibali Cha mwenye eneo hilo walilokusanyika?Hawakuingia ndani ya viwanja vya mahakama bali mita kadhaa nje ya mahakama mkuu.
Ndo hivyo licha ya mikwara mbuzi ya IGP kwamba atakayesogea atakiona cha mtema kuni lakini watu wamefika kwa wingi hawajali kauli ya sirro wala nani.Hii kwa Tanzania is not easy Kutokea
Tuliza mihemko uandike kitu kinachoeleweka wewe msukule.Kuna sehemu huruhusiwi kupiga kelele Wala kufanya mimutano ya siasa nazo ni hospitali na mahakamani.Marufuku hata kupiga honi Sasa wao eanaenda kuomba kwaya majakamani walitarajia Nini Ni kubughudhi mahakama pia Ni kuingilia uhuru wa majakama na kuitishia. Na kuokosesha isifanye kazi kwa utulivu .Utaendaje kuendesha mkutamo wa siasa na mibango mahakamani hivi hao chadema kichwani akili zimo?
Ulivyo na ubongo mchafu sikufikiri unajua ata Maria space!Kikundi cha watu 50 wanataka kuleta vurugu, peleka ndani wakalale na kunguni wakitoka j3 waende kuwasimulia wenzao vizuri Clubhouse na Maria Space.
Hakuna polis atakayetoa kibali hata kiwe cha mkusanyiko wa amani isipokuwa ccm wanaweza kukusanyika popote pasipo kibali cha polisi wala nani na hakuna wa kuwafanya kitu.Hizo kelele za nyimbo zilikuwa hazifiki viwanja vya mahakama? Na kukusanyika kwao kulikuwa na kibali Cha polisi? Na kibali Cha mwenye eneo hill walilokusanyika?