Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

KESI IMEFIKA PATAMU, SASA DUNIA YOTE ILIYOKUWA HAIFAHAMU MATENDO YA CCM YA AWAMU YA 5 NA YA SASA YA AWAMU YA 6 YATAANIKWA NA KUFAHAMIKA KINAGA UBAGA

Kesi hii ya Mbowe itakuwa ktk vitabu kama kesi ya serikali ya makaburu dhidi ya Nelson Mandela. Kesi hii itasomwa ktk historia baada ya CCM kungolewa kutoka madarakani kwa kupitia uchaguzi huru kama kesi ya : Mpinzani Freeman Mbowe ndani ya 'mahakama' za CCM. ifahamike katika mabano neno 'mahakama' ni kuwa CCM inataka kuburuza Mahakama zitumike vibaya pamoja na mfumo wa kusimamia / kuchunguza za jinai (criminal justice system) nzima, lakini imani yetu bado ipo kuwa Mahakama hapa bila "mabano" ni mhimili huru na itatenda haki na kukataa mbinyo wa aina yoyote ile toka upande wowote.

Historia inasema makaburu waliokuwa ktk serikali ya kibaguzi ya Afrika ya Kusini iliona waAfrika raia wengine waliokuwa wanadai kuwa watu-uhuru, kutaka demokrasia shirikishi na Marndeleo ya watu wote walikuwa ni hatari na wangeweza kuchelewesha maendeleo ya vitu kama madaraja, reli, flyovers pamoja ni miradi mingine mikubwa iliyokuwa ya mfano barani Afrika. Madai hayo ya serikali ya kibaguzi ya wachache ya miaka hii yanarudiwa na CCM miaka hii ya 2015 - 2025. Na CCM pamoja na serikali yake kudai wapinzani ni watu hatari wasio na uzalendo na wasioitakia Tanzania maendeleo.

Soma utetezi wa Nelson Mandela alipofikishwa mbele ya korti na utetezi huo wa Nelson Mandela kuenziwa na watu wote duniani na taasisi kubwa za kimataifa na vyuo vikuu vijana kufunguliwa macho juu ya tawala kandamizi za kibaguzi, katili na vinazokandamiza utu wa watu na haki zao kwa kisingizio cha kujenga uchumi, madaraja, flyovers, mabwawa ya umeme n.k
 
Hebu tuiweke sawa hii. Hawa wazungu wamekuja mahakamani siku ya leo ambapo yule profesa alipopata stage fright?
Halafu waziri wa ulinzi alikufa wakati waziri wa marekani alipokuja Tanzania. Na alipokufa waziri Kwandikwa,pia akafa kaka uake DG wa TISS,yaani kaka yake Diwani.
Can you blame us for being schizophrenic and conspiracy theorists? Unataka watu wangapi wafe kabla hujamwachia huru Mbowe?
 
Na kama kweli Hakimu anaumwa unataka aje tu?
POLE MGONJWA wa magonjwa mengi,
Ni wazi kuwa hii ni kesi ya kubumba baada ya kumtafuta Mbowe kwa kipindi kirefu, ili kuiua CHADEMA, kupitia ushetani wote na KUISHIA kushindwa vibaya.
KWA hili nalo watamaliza vitimbi na visingizio vyote LAKINI hatima yake watakuja shindwa tena kwa aibu kubwa itakayoshuhudiwa na DUNIA NZIMA. AMEN
 
Kwa kuongezea kuhusu mazingira ya kesi hii ya Freeman Mbowe na wenzie.

Kama kesi hii ikiendeshwa kwa uwazi "live" na pia waandishi nguli wa habari za kimahakama kuruhusiwa kuwepo ndani ya korti basi mheshimiwa Freeman Mbowe 'angeweza' bila shaka kuuvaa uhusika wa Nelson Mandela ktk zama za 2021.



Nitoe rai kwa vyombo vyote vyenye maslahi mapana na Kesi hii vijitayarishe kuwepo, kufuatilia na kuripoti bila chenga na kuomba wasiwekewe zuio la aina yoyote ili umma waTanzania ktk ujumla wao wapate haki ya kupata habari sahihi juu ya mwenendo mzima wa kesi toka siku ya mwanzo mpaka hitimisho lake.

Kwa kufanya hivyo kutakuwa hakuna haja ya watu kujazana Mahakama Kuu kwani watakuwa wanafuatilia toka maeneo ya maskani zao na pia vyombo vya usalama kutopata kazi kubwa wa kuwepo kwa wingi mahakama kuu kufanya kazi za ziada za kiusalama.

Rivonia Trial 1963 - 1964, the trial that changed South Africa


Shot of the Palace of Justice during a lunch recess, seen from the supporters’ point of view. Rivonia Trial. © PTA News LibrarySource: Pretoria

In the Rivonia Trial, the ‘accused’ addressed this problem by using the courts as a site of struggle. They argued that the law was drawn up without the consent of the majority; it was enforced to ensure the perpetuation of an unjust system, and therefore the struggle would be waged to establish a new system, including a legal system that would embody the values of a non-racial constitution that protected human rights.

For the accused, the courtroom became a new site of struggle. The defendants’ daily appearances in court drew large crowds that filled up the courtroom and streets outside the court. Many supporters were in violation of numerous influx control regulations, and the courts for them too, became new sites of struggle.

In presenting the prosecution’s case, Yutar claimed that the accused were all members of what he considered ‘a cabinet of the government soon after the overthrow of the state’. In this cabinet, Mandela was Deputy Minister and Minister of Defence, while Govan Mbeki was Minister of European Affairs. The rest of the accused each had a cabinet portfolio.




Often referred to as "the trial that changed South Africa,” in October 1963, ten leading opponents of apartheid went on trial for their lives on charges of sabotage.

READ MORE Rivonia Trial 1963 - 1964 | South African History Online

Nelson Mandela: The Rivonia Trial​

The story of Nelson Mandela and the other Rivonia Trialists, from the series "Have You Heard From Johannesburg."
Source : Clarity films
 
Gaidi kwisha habari yake, hata muibe pocha za wapi sijui waTz hatutaki ujinga. Gaidi aswekwe tu huko rumande...
 
Mzungu akisikia gaidi hachukulii kwa wepesi. Wamechapwa sana na ugaidi hawa jamaa. Hiyo kesi ni lazima wataifuatilia tu labda wapigwe marufuku.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
"Tanzania hatuwezi kuishi kama kisiwa. Tumeunda team ya wataalam, watajadili na kutupa mwongozo namna gani tufanye. Mara Pap!. "Mwongozo ni kwamba tumeagiza chanjo kutoka nchi za wenzetu nasi tutumie:.

Mara Mhhhhh! "Hatuwezi kuwa kisiwa, wanayofanya wenzetu, na sisi tufuate. Hatujawahi kuonja kesi za ugaidi, kwa hiyo tunajaribu kutafuta mtu au kundi linalostahili kufanyia majaribio ya kesi hizi". "Ila wale wazee wangu, tutawatoa kwa sababu, walishutumiwa wakati uliopita", sas tunaanza upya, tunahitaji mtu mpya hasa kutoka upande huu wa W.kst, ambao hata waanzilishi wa vita hivi hawajawahi kuwatuhumu. Bila shaka tutakuwa juu sana kimataifa, na wafadhili watatupenda kwa kufafanua ugaidi kwa upana zaidi"..


Kipindi cha jk kesi kubwa ubakaji !
Kipindi cha magufuli kesi kubwa hujumu uchumi !
Kipindi cha SSH kesi kubwa sasa ugaidi !

Hii nchi bwana
 
Mwaka huu utaangaika sana na kujaribu kila neno unalofikiri linavuta attention ya watu, lakini ni kujilisha upepo. Watanzania tunapuuza sana mambo ya Chadema na pia tunakupuuza sana posts unazoleta humu.
 
Basi kile chama kikiona hivyo kinajaa kichwaaa kumbe ni utaratibu wa mahakama raia wa kawaida anaruhusiwa kuhudhuria pale kusikiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole ya nini?
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Aisee ?!

Mwenyezi Mungu mwenye haki ataingilia kati haraka!
 
Kutuhumiwa na kufikishwa mahakamani yote ni michakato ya kutimiza sheria
Hao wazungu wamekuja kuona kama haki inaonekana inatendeka katika michakato hiyo,hawana uwezo wowote wa kubadili mashitaka
Wekeni nguvu katika kupangua mashitaka kisheria
Pamoja na yote, hii kesi ni miscalculation kubwa na aibu kwa serikali. Siamini kwamba kulikuwa na desperation ya kiasi hicho. Wanaweza kumfunga Mbowe kwa kulazimisha sana mchakato wa kisheria lakini wajiandae kwa consequences na fallout - ndani na nje.

Na safari hii serikali/CCM haina daredevil bravado leadership ya JPM. Hata yeye JPM mwenyewe naamini jeuri yake ilikuwa inaelekea ukingoni. Ironically, very ironically I dare say, he was “saved by the bell”.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…