Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo .

Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao , maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi

View attachment 1890840View attachment 1890841View attachment 1890842

WanaLumumba walisema huku wakishangilia bila kuelewa majibu ya awali ya twitter ya mh. Balozi wa Marekani yalimaanisha nini

Leo UVCCM na wazee wao wamepata ujumbe kamili kuwa wapinzani hawajatoswa na wadau wa maendeleo ya Tanzania.

Sasa UVCCM hawashangilii maofisa wa ubalozi kuwepo mahakamani kuhakikisha haki inatendeka ktk mwenendo mzima wa kesi ya jinai, wanaLumumba washaanza kubeza ni ubeberu, ukoloni mamboleo n.k
 
Kipindi cha jk kesi kubwa ubakaji !
Kipindi cha magufuli kesi kubwa hujumu uchumi !
Kipindi cha SSH kesi kubwa sasa ugaidi !

Hii nchi bwana
Ikulu inapwaya hakuna kichwa pale bali boya
 
Hao wazungu hawatasaidia kitu. Wakati chuma kiko Ikulu walikuwa hawafurukuti sasa yupo SSH wanachomoza kama uyoga. SSH asipoangalia hatamaliza muda wake vizuri, bado malalamiko ya miamala yako pale pale Watanzania hatujasahau.

Ndio wengi wafahamu nchi yetu ni tajiri sana na hizi nchi zote mate yapo midomoni kutaka kuja kuchuma vya bure kwa sababu wanafikiri Watanzania bado wamelala.
 
Maoni yenu tafadhali,naona kama wangepotezea tu,kwa sababu uwekezaji wao mkubwa upo chadema
 
Kwa hiyo?

mtoke madarakani nchi inaongozwa na mazezeta wanachama mazezeta sirro zezeta mwengine baada ya kufa ndo mkaja kutuambia kuwa alikuwa na cheti cha uchizi pale milembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mtoke madarakani nchi inaongozwa na mazezeta wanachama mazezeta sirro zezeta mwengine baada ya kufa ndo mkaja kutuambia kuwa alikuwa na cheti cha uchizi pale milembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Upuuzi mtupu.
 
Serikali yetu sijui kamainqhafhiyakuitwa Serikali.

Hapa ndipo inaonekana huko serikalini kuna watu za namna gani! Hivi kweli unaweza kujitetea kwa maelezo kuwa gari ya kumpeleka mtuhumiwa ni mbovu, halafu na wewe kwa ujinga wako ukaamini umetumbia mbinu ya maana sana?
 
Dah yaani gari liwe bovu,,, ina maana gereza zima kuna gari moja tu,,, walishindwa hata kuchukua magari ya gereza la jirani hehehe...

Ila wangejaa watu wa chadema low class gari za polisi zingekuja za kutosha.
 
Mabeberu wamekusaidia haya..

1. Chanjo ya korona. Kama sio wao wewe na mchepuko wako msinge chanjwa.

2. Barabara

3. Reli.

5. Stigla goji

6. Misaada ya elimu..

7. Ujenzi wa vyoo mashuleni baada ya kuona serikali ya ccm haina uwezo.

8. Bajeti ya serikali inawategemea mabeberu.

9. Buku 7 mnazo lipwa pale lumumba zimetoka kwao..

10. Nk nk nk...
Na sasa hayakopesheki yameingia kwenye tozo!!!!
 
Kuna kitu mnasahau kukifatila,mmesha onana na polisi wa ROCK CITY walotumwa kumkamata na kuwahoji sababu ya kumkamata?.
Ukweli wote wanao,kati ya sababu nilotonywa hiyo ya ugaidi haimo.
mwishoni atashinda na mda wake utakuwa umepotea.
 
Back
Top Bottom