Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo .
Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao , maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi
View attachment 1890840View attachment 1890841View attachment 1890842
WanaLumumba walisema huku wakishangilia bila kuelewa majibu ya awali ya twitter ya mh. Balozi wa Marekani yalimaanisha nini
Majibu ya Ubalozi wa Marekani kwa BAWACHA baada ya kushinikiza Freeman Mbowe kuachiwa huru
Wanaukumbi. Baada ya Bawacha kufanya maandamano kwenye Ubalozi wa Marekani wakishinikiza Mbowe, aachiwe na kutuma Tamko lao Ubalozini, majibu ya Balozi wa Marekani haya hapo chini.
Leo UVCCM na wazee wao wamepata ujumbe kamili kuwa wapinzani hawajatoswa na wadau wa maendeleo ya Tanzania.
Sasa UVCCM hawashangilii maofisa wa ubalozi kuwepo mahakamani kuhakikisha haki inatendeka ktk mwenendo mzima wa kesi ya jinai, wanaLumumba washaanza kubeza ni ubeberu, ukoloni mamboleo n.k