Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Empty headed kijaniEmpty headed....
Wanajua ni propaganda as usual, kwani mahabusu waliopelekwa mahakamani leo, walipelekwa na ungo?Je, walisemaje walipoambiwa haletwi Leo mahakamani kwa sababu magari ni mabovu?
Sawa, ila maccm na mapolisi mmeingiwa kiwewe mkatia mpira kwapani kama Utopolo Mzee Mpili Fc!Kutuhumiwa na kufikishwa mahakamani yote ni michakato ya kutimiza sheria
Hao wazungu wamekuja kuona kama haki inaonekana inatendeka katika michakato hiyo,hawana uwezo wowote wa kubadili mashitaka
Wekeni nguvu katika kupangua mashitaka kisheria
UGAIDI ilikuwa ni lazima kuattract attention kutoka mataifa mengine maana ni kati ya vitu vinavyopigwa sana vita duniani. Hii inaweza kuchafua taswira ya nchi pakubwa na hata kupelekea athari kiuchumi. Sishangai kwa ufuatiliaji huu maana ni lazima na muhimu.wajiridhisheHivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo.
Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao, maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi.
Mr Agitator, don't agitate us pls...!!Hao mabeberu mnadhani watawasaidia? Mna matatizo Sana.
Kwa kweli inasikitisha sana kwa sababu hii iliyotolewa, eti idara ya jeshi la magereza kukosa gari la kubebea mtuhumiwa kwenda mahakamani na eti mahakama kirahisi tu ikaikubali sababu hii bila hata kutoa karipio kwa waendesha mashtaka na magereza kwa kuchelewesha kesi na kutesa mtuhumiwa kwa sababu ambazo ni wazi kabisa ni kisingizio tu...Halafu wanaambiwa Mbowe hajafikishwa mahakamani kwa sababu hakuna gari la kumpeleka huko, naamini kuanzia hapo hao maofisa wataona hii serikali yetu ina matatizo kichwani, haiwezekani Sabaya kila siku anapelekwa mahakamani halafu Mbowe wa kila baada ya wiki anakosa gari.
Tuliwaambia msimfanqnishe magufuli na mambo ya kipumbavu ssh mkabisha ,sasa hakuna cha maana kinacho endelea nchi zaidi ya chanjo na ugaidiHalafu wanaambiwa Mbowe hajafikishwa mahakamani kwa sababu hakuna gari la kumpeleka huko, naamini kuanzia hapo hao maofisa wataona hii serikali yetu ina matatizo kichwani, haiwezekani Sabaya kila siku anapelekwa mahakamani halafu Mbowe wa kila baada ya wiki anakosa gari.
Watasaidia kama wanavyosaidia ujenzi wa vyoo mashukeni ambavyo hata Mtoto wako anakunya na kuharisha humoHao mabeberu mnadhani watawasaidia? Mna matatizo Sana.
Kigagula anaharibu nchiHivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo.
Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao, maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi.
Atavuna anachopandaKigagula anaharibu nchi
Mkuu mbona siwaelewi kuhusu rais ajae? Ebu tuambieni ni nani kati ya Askofu na Madilu?
Watavuna wanachopandaHuyu mama na hao kina diwani, siro wanafanya wasichokielewa ni hatari Sana uwezo wa hao jamaa ni mdogo sana