Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

Kutuhumiwa na kufikishwa mahakamani yote ni michakato ya kutimiza sheria
Hao wazungu wamekuja kuona kama haki inaonekana inatendeka katika michakato hiyo,hawana uwezo wowote wa kubadili mashitaka
Wekeni nguvu katika kupangua mashitaka kisheria
Sawa, ila maccm na mapolisi mmeingiwa kiwewe mkatia mpira kwapani kama Utopolo Mzee Mpili Fc!
 
Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo.

Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao, maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi.

UGAIDI ilikuwa ni lazima kuattract attention kutoka mataifa mengine maana ni kati ya vitu vinavyopigwa sana vita duniani. Hii inaweza kuchafua taswira ya nchi pakubwa na hata kupelekea athari kiuchumi. Sishangai kwa ufuatiliaji huu maana ni lazima na muhimu.wajiridhishe
 
Halafu wanaambiwa Mbowe hajafikishwa mahakamani kwa sababu hakuna gari la kumpeleka huko, naamini kuanzia hapo hao maofisa wataona hii serikali yetu ina matatizo kichwani, haiwezekani Sabaya kila siku anapelekwa mahakamani halafu Mbowe wa kila baada ya wiki anakosa gari.
Kwa kweli inasikitisha sana kwa sababu hii iliyotolewa, eti idara ya jeshi la magereza kukosa gari la kubebea mtuhumiwa kwenda mahakamani na eti mahakama kirahisi tu ikaikubali sababu hii bila hata kutoa karipio kwa waendesha mashtaka na magereza kwa kuchelewesha kesi na kutesa mtuhumiwa kwa sababu ambazo ni wazi kabisa ni kisingizio tu...

Huu ni uthibitisho mwingine tena kuwa, haya mashtaka ni bosheni tu bali shida yao ni kudhibiti kasi ya CHADEMA chini ya Freeman Mbowe...

Na mimi naanza kuitilia shaka mahakama kuwa kuna uwezekano nayo inashiriki kwenye mkakati huu mwovu dhidi ya CHADEMA na m/kiti wao Freeman Mbowe....!!
 
Halafu wanaambiwa Mbowe hajafikishwa mahakamani kwa sababu hakuna gari la kumpeleka huko, naamini kuanzia hapo hao maofisa wataona hii serikali yetu ina matatizo kichwani, haiwezekani Sabaya kila siku anapelekwa mahakamani halafu Mbowe wa kila baada ya wiki anakosa gari.
Tuliwaambia msimfanqnishe magufuli na mambo ya kipumbavu ssh mkabisha ,sasa hakuna cha maana kinacho endelea nchi zaidi ya chanjo na ugaidi
 
Wawakilishi toka nchi zinazoongozwa na waiba kura na madikteta hutawaona hapo. Wapi wa Kenya, Uganda, Rwanda, burundi, shit, Zambia, toilet, mozambiq na Somalia.
 
Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo.

Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao, maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi.

Kigagula anaharibu nchi
 
Huyu mama na hao kina diwani, siro wanafanya wasichokielewa ni hatari Sana uwezo wa hao jamaa ni mdogo sana
 
13 August 2021
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu
Kisutu
Dar es Salaam, Tanzania

Wadau wa nje na ndani wafika mahakamani kufuatilia kesi ya Mbowe

Source : Mwanzo TV
 
Back
Top Bottom