Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Sitaki kusoma JF, nataka kuwepo ktk vizimba vya mahakamani, nikirudi huku kijijini niwasimulie!
Teh Teh case inaondolewa siku ya maamuzi? hahahaha hapo hakuna case ya msingi ataendelea kupewa zile zile laki mbili........hahahahahahamisa ndo kaondoa kesi baada ya mond kuomba warudiane kama zamani
Diamond alisha limaliza ili swala lakini Hamisa akashauriwa na mshauri wa chadema kuwa aende mahakamani awe anapewa 5m hahahaha...Hivi kwa nn familia haimpost huyu mtoto? Kwa nn mtoto akulie kwny chuki... Kati ya upande wa diamond na hamisa? Mi naona wangekaa chin wajadl kifamilia... Na diamond anashindwa kusolve tatzo dogo kama hili mmmmh
ALIAMBIWA HAO MAWAKILI WATATAFUBA HELA YAKE BURETeh Teh case inaondolewa siku ya maamuzi? hahahaha hapo hakuna case ya msingi ataendelea kupewa zile zile laki mbili........hahahahaha
HAHAHAAAAA MANGE HUYODiamond alisha limaliza ili swala lakini Hamisa akashauriwa na mshauri wa chadema kuwa aende mahakamani awe anapewa 5m hahahaha...
Msije mkamsingizia bashite tena,,,,
Yani hata mama yake kwakias kikubwa anahusikajaman kweli nipo mbali na ulimwengu !kumbe wamefikishana mahakamani ?? yaan hamisa angekuwa mwanangu au mdogo wangu aisee sijui ningemfanyaje !argggggghhhhhhhh
Hapo kilichopo mtoto ataendelee kuwa na mama huku Mond akiendelea na huduma ambazo yeye anazimudu. Na siyo zile milioni 5 kwa mwezi.Kwahiyo huyo mtoto atatunzwa na nani mkuu?
Fidq inabid amtunze huyo mtoto
NI YEYE MWENYEWE PIA AKILI HANA NA MAMAKE PIAKuna watu wanamshauri vibaya huyo binti!
Masikini halafu hata yeye mwenyewe haoni...
Kweli binti mzuri sehemu zake za siri ndio zitakazoumia