Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

Huu upuuzi wa kukiri makosa ulitakiwa uende zake
Yaani kama alivyoenda mwendazake
Huyu seth hata kama alikua amekiri kipindi kile maana mashauri hua yanachukua muda mrefu
Lakini mama angeyafutilia mbali huko
Mi nimshauri tu
Asipende kusikia watu wamekiri makosa mahakamani
Huko ni kudanganywa na washauri wake
Ni jana tu alidanganywa kua nusrati hanje anawakilisha bavicha kwenye mkutano wake na vijana na ionekane mkutano wake ulikua umehudhuriwa na vyama vingine au haukua wa kiitikadi ya vyama au dini au kabila
Pole yake!
Sisi wenye akili tunajua uliongea na vijana wa sisiemu ambao hawana shida ndio maana uliona hawajakuambia chochote zaidi ya kusifia tu
 
Eeh Kesi ipo na serikali lazma ipigwe mipunga kama Legal system itaachwa ifanye kazi bila kuingiliwa
 
Hawezi kufungua kesi tena huyu mhindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…