HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hivi mtu akikaa gerezani unafaidika na nini?Duuuu, kumbe mambo bado ni yale yale tu.
Je mtu akilipa faini na kuachiwa huoni hilo ni bora zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mtu akikaa gerezani unafaidika na nini?Duuuu, kumbe mambo bado ni yale yale tu.
Naunga mkono hoja. Mtu akiiba kwa kutumia udhaifu wa sheria ni ngumu kumshinda, labda nguvu itumike.Singa singa intown....sasa ile mitambo pale pameota nyasi....yale ma HOF engines yatahitaji mpunga ww kutosha kuyaamsha na kuyawasha au kuyauza ... Kuna hatari ya kesi inakuja kati ya GOVT na SETH + RUGE na hichi ndicho yule jamaa alikikwepa akaamua kuwahifadhi akiamini kwa mateso na kukosa uhuru natural death itasema nao...
Mhindi hawezi kuvumilai mateso gerezaniDPP Sylvester Mwakitalu leo amemuachia huru mfanyabiashara Herbinder Seth baada ya kukiri makosa na kulipa faini.
Mzee Ruge bado amekomaa, tusubiri tuone nini kinaendelea.
Source: Darmpya Blog
Ruge hataki kutema mzigoAmekiri kitu gani, kwamba zile pesa za mgao wa mboga zilikuwa za sirikali na siyo eskrow........mzee ruge yeye anasemaje!
ametulipa bei gani mh. Di pi pii ?DPP Sylvester Mwakitalu leo amemuachia huru mfanyabiashara Herbinder Seth baada ya kukiri makosa na kulipa faini.
Mzee Ruge bado amekomaa, tusubiri tuone nini kinaendelea.
Source: Darmpya Blog
aliwaambia wamwachie kwanza ili awape ramani nzima - wakamgomea... Mzee kichwa sana yule.Ruge hataki kutema mzigo
JK : Pesa siyo za ummaMilitaka afanye nini, uibiwe halafu kwa kuwa ni pesa za Tanesco ?, haha aaahaa nchi hii kazi kweli kweli....
Ni mfumo mzuri??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dada huu ni mfumo wa ccm uliokuwa unamuongoza Magu na Samia pia anaongozwa nao huo huo
Mimi sinunuliwa kama MtumwaNi maamuzi yako ndio uhuru huo!
Kwani DPP wajinga, hapo kaandika na kukiri kosa, hawezi enda popote pale kufungua kesiHiyo Singasinga atahama nchi na kufungua kesi ya madai. Tofauti na hapo wasainiane makubaliano kuwa hakuna upande utafungua kesi dhidhi ya mwenzake Kwa yeye au ndugu au rafiki n.k.
Kama ameshakiri makosa na kulipa faini, hatakuwa na nguvu tena ya kisheria ya kutaka kulipwa fidia!Eeh Kesi ipo na serikali lazma ipigwe mipunga kama Legal system itaachwa ifanye kazi bila kuingiliwa