Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

Huu ujinga bado unaendelezwa? Mama sasa hasomeki.
Acha upumbavu wako, huyo sethi kachukua pesa za wananchi na bado tanesco wanadaiwa mabilioni kwa sababu ya huyo sethi na wenzake
Sasa unataka aachiwe bulr alafu hiyo pesa utailipa weww kwa hiyo benki ya china?
Mue mnatoa mawazo mkijua mnachangia nini na sio kukurupuka

Tanesco bado wanadaiwa zaidi ya billion mia tatu hadi 400 wewe unataka waachiwe ukipandishiwa bei ya umeme utakubali?
 
DPP Sylvester Mwakitalu leo amemuachia huru mfanyabiashara Herbinder Seth baada ya kukiri makosa na kulipa faini.

Mzee Ruge bado amekomaa, tusubiri tuone nini kinaendelea.

Source: Darmpya Blog
Huyu Dpp yuko powa!! Ana piga kazi. Sio yule alie jaza watu magereza kwa kesi za kugushi, na kujifungulia akaunti BOT.
 
Singa singa intown....sasa ile mitambo pale pameota nyasi....yale ma HOF engines yatahitaji mpunga ww kutosha kuyaamsha na kuyawasha au kuyauza ... Kuna hatari ya kesi inakuja kati ya GOVT na SETH + RUGE na hichi ndicho yule jamaa alikikwepa akaamua kuwahifadhi akiamini kwa mateso na kukosa uhuru natural death itasema nao...
Kama amekiri makosa ataishitakije serikari?
 
Mama hana Chuki na Wafanyabiashara sio kama yule Aliyepita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najua hapa unajiuliza uunge mkono au upinge!
Maana ukipinga, kwa akili zako unahisi unawapa ujiko wafuasi wa jiwe, ukiuunga mkono unajiuliza mbona haya maamuzi yapo kama ya DPP wa jiwe aliepita?


Yani sasa hivi mnapigwa kote kote na mmepoteana kichizi. Na bado!
 
Hao waliwekwa ndani sababu walimgomea jiwe kuichukua kampuni ya IPTL na sio kwa sababu ya ishu ya escrow ilikuwa geresha tu.
 
Ni sawa tu kuwa katili kwa majizi Kama hayo, jitu linaiba mabilioni ya fedha unataka aonewe huruma? China wana sheria Kali Sana za uhujumu uchumi, bora hapa wanaonewa huruma.
 
Kama shida yao ilikuwa wanataka pesa si wangesema tu kuliko kumpotezea mtu mda ndani miaka 6.Kuzunguka kote huko kinachotakiwa kumbe ni pesa tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najua hapa unajiuliza uunge mkono au upinge!
Maana ukipinga, kwa akili zako unahisi unawapa ujiko wafuasi wa jiwe, ukiuunga mkono unajiuliza mbona haya maamuzi yapo kama ya DPP wa jiwe aliepita?


Yani sasa hivi mnapigwa kote kote na mmepoteana kichizi. Na bado!
Mimi nilikuwa Kiherehere wa CCM kabla yako kwa taarifa yako KAMWE! sintorudi CCM
 
Mimi naamini kabisa hawako innocent moja kwa moja ndio maana ikapatikana sababu ya wao kukamatwa.
Kama kusingekua na kosa kidogo sababu ya kukamatwa ingekosena.
Kule kukiri Mimi naona Ni Bora Kama nafasi imepatikana kuliko kukaa hapo rumande miaka yote hio na Hali wakijua serikali ilioyaweka hapo Ina njia nyingi ya kuonyesha walikua sahihi kuwakamata .
Lakini pia sio tegemeo serikali kukiri kwamba ilikosea, Bali kujishusha kwao ndio kungelikua Bora kwao kuliko kukomalia hiko walikokamalia.
Hongera kwa huyo alietoka , na tunamtakia wepesi aliebaki. Lakini heri kutenda haki iwe raia au serikali maana Haki ina mazao mema mengi kwa leo kesho na daima.
 
Napongeza juhudi hizi,

Ni mwanzo mzuri Sana kuyafikia maridhiano kwa mustakhbali mzima was ustawi taifa letu.

Mwendazake alkua Ni mtu katili Sana,
Militaka afanye nini, uibiwe halafu kwa kuwa ni pesa za Tanesco ?, haha aaahaa nchi hii kazi kweli kweli.

Nilihusika na financial review of this escrow account, the government in any decision they take they will loose money .

They used Lawyers to falsify documents and high court Judge to bless it in legalising theft. Is this the kind of business we want to welcome or close our eyes and allows such blantant theft to continue?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ni yale yale
Endeleeni kupiga makofi
 
Huu ujinga bado unaendelezwa? Mama sasa hasomeki.
Ujinga gani na wewe! ?Haya ni makubaliano ya kisheria na ameachiwa baada ya pande zote mbili kukubaliana; hivyo ni sawa kwa pande zote husika. Herbinder alikomaa mwanzoni lakini baada ya kuuelewa ukweli basi kakubali yaishe - atoke mahabusu na Serikali irudishe alichoiba.
 
Eee..!.Mungu Baba Mwenyezi twakuomba uliepushe taifa letu lisije tena likapata watawala dhalimu kama jiwe milele na milele sio leo,kesho na hata vizazi vyetu vijavyo.Nafunga katika Jina la YESU jina kuu kuliko majina yote.

Nikiomba na kuamini hakika hakuna kiongozi dhalimu tena ataketokea katika taifa hili katika Jina la YESU Kristo ulie hai.! Nateketeza kwa moto ulao! roho zote chafu za viongozi kama Sabaya bashite zisiinuke tena katika taifa hili milele na milele.

Tukiomba na kuamini na kila mmoja na aseme.Amee...ni !
 
Back
Top Bottom