Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

vip mzee, ulitaka singasinga afie jela, si bora ametoa ayo mabilioni Kama Faini
Wakati mnamuweka jela miaka yote hiyo bila kumfikisha mahakamani nakuhukumiwa hamkujua anaweza kufia jela?.
 
Mhindi kumbe ana pumzi haswa! 26B siyo mchezo
Pesa chache sana kwake maana yeye alikuwa analipwa capacity charge milioni 400 kila siku na kwa mwaka ni bilioni 146 wakati akizalisha umeme kutoka kwenye mitambo yake ya IPTL.
 
Hawa mazuzu wanajifanya wanajua kuliko team nzima serikalini
Serikali gani unayoizungumzia hapa?.Maana viongozi wa serikali hii hii ya ccm ndo waliogawana pesa za escrow alafu wakaanza kupiga ngonjera zakitoto.
 
Tanesco bado wanalipa bei gani kwa IPTL kwa siku ( Capacity charge) as on now ? na lile deni tuliloamuliwa kulipa tushalilipa?

"Kutokana na mgogoro uliopo kati ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na kampuni ya IPTL, mahakama ya migogoro ya kimataifa (ICSID) imeiamuru Serikali ya Tanzania kulipa Dola 185.4 milioni (zaidi ya Sh426 bilioni) kwa kukiuka mkataba"
 
Acha upumbavu wako, huyo sethi kachukua pesa za wananchi na bado tanesco wanadaiwa mabilioni kwa sababu ya huyo sethi na wenzake
Sasa unataka aachiwe bulr alafu hiyo pesa utailipa weww kwa hiyo benki ya china?
Mue mnatoa mawazo mkijua mnachangia nini na sio kukurupuka

Tanesco bado wanadaiwa zaidi ya billion mia tatu hadi 400 wewe unataka waachiwe ukipandishiwa bei ya umeme utakubali?
Huu ujinga waulize viongoz wako uko kwenye chama chako.
 
Kwaiyo Bora angeachwa afie jela??? We una akili kuliko team nzima serikalini?!
Serikali gani unaongelea? Hii hii ambayo prof. Assad anasema 75% ya watendaji wake hawana sifa.

Usiamini Sana watu wa serikalini. Ni washenzi tu. Remember: the crown does not change the mind.
 
sema damu nyeupe ni damu nyeupe tu - ukizubaa lazima akugonge..

Halafu wanafanya makubwa viwanda, mitambo ya kufua umeme, logistics malori mengi n.k mpaka Zambia wanajiuliza hawa waTanzania malori yote pesa wanatoa wapi kumbe ni kujua tu namna ya kuzifanyia matumizi chanya pesa hizi kwa kuajiri watu, kulipa kodi n.k
 

HERBINDER SETH ATOA KAULI MAHAKAMANI "TUKUTANE KWA MKAPA"


Aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Kufua Umeme (IPTL), Herbinder Seth amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya shauri linalomkabili. Akiwa ndani ya chumba cha Mahakama Seth ambaye ameingia makubaliano na Mkurugenzi Mkuu wa Mashitaka (DPP) alisikika akisema "Tukutane kwa Mkapa". Seth aliyasema hayo kabla ya Hakimu kuingia katika chumba cha Mahakama. Mbali na Seth na Makandege mshtakiwa mwingine ni mfanyabiashara James Rugemalira ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP, wanadaiwa kutenda makosa hayo katika Jiji la Dar es Salaam na nchi za Afrika Kusini, Kenya na India. Washtakiwa wanakabiliwa na mashtaka 12 yakiwemo ya utakatishaji fedha, miongoni mwa mashtaka hayo yapo ya kula njama, kujihusisha mtandao wa uhalifu, kughushi na kutoa nyaraka za kughushi na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, kutakatisha fedha na kusababisha hasara ya Dola za Marekani 22,198,544.60 na Sh 309,461,300,158.27.
 
Singa singa Leo ataoga masaa mawili, mswaki nusu saa, Kisha kujipuliza dawa ya chawa na kunguni ndio awapokee ndugu wanafiki watakaokuja kumpa hi.
 
Napongeza juhudi hizi,

Ni mwanzo mzuri Sana kuyafikia maridhiano kwa mustakhbali mzima was ustawi taifa letu.

Mwendazake alkua Ni mtu katili Sana, sidhan Kama aliweza kukaa Kwenye tumbo la mwanamke kwa miez 9.
Yaani ulitaka afanye maridhiano na wezi. Wahujumu wa taifa. Uzalendo wako uko wapi?
 
Back
Top Bottom