Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Jamaa wanajimaliza wenyewe, na wala tatizo sio kazi yao, hapo tatizo lipo kwao wenyewe, wengi wao hawajijali.Nilikuwepo sio saa 4 ni saa 2 kasoro hivi boda boda ndio mwenye makosa hapo alifanya uzembe kidogo alitaka kuvuka tena kwa spidi bila kuangalia usalama kwenye barabara ya mwendo kasi.
Aisee ilikuwa mbaya dereva hakufika mbali akafa mwenzake alikiwa ni mhindi hivi nae akafa baadae kidogoJamaa wanajimaliza wenyewe, tatizo sio kazi yao tatizo lipo kwao wenyewe, wengi wao hawajijali.
Ila boda boda jamani, cjui hata akili zao zinafanyaje kazi, inashangaza na kuogopesha kwa kweli, lolNilikuwepo sio saa 4 ni saa 2 kasoro hivi boda boda ndio mwenye makosa hapo alifanya uzembe kidogo alitaka kuvuka tena kwa spidi bila kuangalia usalama kwenye barabara ya mwendo kasi.
Acha yafe tu,yanajitoaga ufahamu yakiwa barabaraniAjali hiyo imetokea katika eneo la Kisutu majira ya saa nne usiku jana 29/3/2024, ambapo Mwendokasi kutoka Kivukoni ikielekea Ubungo iligongana bodaboda iliyokuwa inakatisha kuelekea njia ya Kisutu.
Katika ajali hiyo kumetokea vifo viwili; dereva wa bodaboda na pamoja na abiria wake.
Aisee ilikuwa mbaya dereva hakufika mbali akafa mwenzake alikiwa ni mhindi hivi nae akafa baadae kidogo
Hiyo ambulance imempeleka huyo mswahili Muhimbili na yule mhindi katibiwa hospitali ya karibu tu na hapo inaitwa Ebrahim Haji,ndip maana wamejaa hapo na ambulance! angekuwa mswahili wasingehangaika
we si mpinzani warema namba moja .ndo ujue watu wenye mitazamo na kuona mbali athari zakeDuh !🙄 tunaisha tu
we si mpinzani warema namba moja .ndo ujue watu wenye mitazamo na kuona mbali athari zakeDuh !🙄 tunaisha tu