Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato!

Yani wewe hujui shughuli za selikali zinaendeshwaje mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Infwact kuna article moja ya Dereva wake au Msaidizi wake alielezea Mwl alikuwa anafanyia kazi Msasani, zile issue za ikulu kukiwa na specific issue kama kupokea mabalozi na kuapisha viongozi.
 
Nafikiri hoja ya msingi ni kutekeleza majukumu yake akiwa mahala popote. Ndio maana hata akisimamishwa kwenye ziara zake na wananchi papo kwa papo anaweza kutumbua na kuteua.
 
We understand,he is teleworking,yaani watumishi wengine wa umma anawahiza wapige kazi but yeye anapiga kazi from home,Kama huu si ubinafsi ni nini basi?
 
ajili ya kukomboa uchumi/afya za wananchi wake hasa katika kipindi hiki cha hili janga.Angali Rais wa SA anavyowafariji wananchi wake katika kipindi hiki cha hili jang
Kama una akili safi huwezi kusema habari ya kukomboa uchumi wakati waGONJWA wamejaa Magufuli hostel , Uwanja wa sabasaba ndio quarantine centre. Makonda mwenywe KWA KINYWA CHAKE amesema kuwa WATU WASIJE DAR MAANA DAR WATU WANAPUKUTIKA!
 
Hivi amekula chaki miaka mingapi? Au hizi akili zimemrudia baada ya kusukumiziwa ikulu na Lubuva?
 
Malegendary wa utangazaji wakiwa studio R.T.D enzi hizo kutoka kushoto ni P.Mayalla a.k.a Njaa, Swedi Mwinyi na Aboubakari Liongo.
 

Attachments

  • Screenshot_20200416-141933.jpg
    76.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…