Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na yeye hayo pia ni mawazo yake bwashee, yaheshimu arifu.Hili ni Jukwaa huru bwashee!
Mawazo ya kila mmoja wetu yanaheshimiwa!
Unajua Paskali watu wengine hawajauelewa ule ujumbe wa COVID-19: #Stay Home and #Stay safe and spend your time creatively at home.Wanabodi,
Kiukweli baadhi ya Watanzania ni walalamishi mpaka basi, baada ya rais Magufuli kushinda urais wa Tanzania katika uchaguzi huru, wa haki na wa kidemokrasia, na serikali ikaamua kujenga uwanja wa ndege Chato, kuna watu humu walipinga sana ujenzi wa uwanja huo, mimi ni miongoni mwa wachache tuliounga mkono ujenzi wa uwanja huo
Naunga Mkono Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika! - JamiiForums
Sasa rais Magufuli yuko Chato, watu humu wanaanza tena kupiga kelele, kwanini rais yuko Chato muda mrefu?.
Japo Kiswahili ndio lugha yetu ya taifa, lakini kiukweli Kiswahili ni kigumu hata kwa baadhi ya Waswahili wenyewe, hivyo kwa vile ni mmoja wa Watanzania tuliobahatika kuzaliwa mjini, kukulia mjini, kusomea mjini na sasa tunaishi mjini, Kiswahili ndio lugha yetu kuu, tunakimanya vilivyo.
Wengi wasiojua Kiswahili barabara, wanadhani Ikulu ni eneo rasmi specific la makazi ya rais kuishi na kufanyia shughuli zake kama ilivyo Ikulu ya Magogoni au Ikulu ya Chamwino, kumaanisha rais asipokuwa Ikulu ya Magogoni au Chamwino, akiwa pengine popote, anakuwa hayuko kazini, hivyo huku kwenye mitandao ya kijamii sasa kuna kelele za watu kutaka kulazimisha lazima wamuone rais Magufuli na kumsikia akitokea ama Ikulu ya Magogoni, au Ikulu ya Chamwino.
Ikulu sio eneo lolote specific, bali eneo lolote la makazi rasmi ya rais ambapo anaweza kutimiza majukumu yake ya urais, hivyo kwa Tanzania tuna ikulu ya Magogoni, Ikulu ya Chamwino, Ikulu ndogo ya Lushoto na karibu kila mkoa kuna Ikulu ndogo kama ya Arusha, Tanga, Morogoro, Mishi, Iringa, etc.
Enzi za Nyerere aliamua yeye hakai Ikulu bali aliishi Msasani, kama angeamua kufanyia kazi zozote za urais hapo Msasani, then pangekuwa ni ikulu ya Msasani. Mwalimu Nyerere alikuwa anakwenda likizo Butiama, wakati akiwa Butiama, akiamua kufanya majukumu yoyote ya kirais, then hapo Butiama panakuwa ni Ikulu ya Butiama.
Kwa muda sasa rais Magufuli yuko kijijini kwake Chato, kwa vile huko Chato anatimiza majukumu yake yote ya urais, then hapo Chato ni ikulu ya Chato, as long as mambo yote yanakwenda, hizi kelele za watu kutaka kumuona rais Magufuli akiwa ikulu ya Magogoni au ikulu ya Chamwino za nini?.
Hii ni press release ya leo
View attachment 1426440
Hitimisho.
Watanzania wazalendo watapenda kumuona rais wao akitimiza majukumu yake ya urais akiwa popote na tungependa rais wetu awe free kukaa mahali popote anapopenda as long as it takes.
Kuna watu wenye akili fupi wanadhani uwepo wa rais Magufuli Chato ni kuikimbia Corona, it's not!, kwa sisi ambao ka Corona ni kaugonjwa kadogo ambacho hakatishi na tusitishane, hatuwezi kukuambia ka Corona!.
Tupunguzeni kulalamika!
Paskali
Rejea
Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike - JamiiForums
Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!. - JamiiForums
Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri, pia tupongeze!. - JamiiForums
Paschal Mayalla: Acheni kulalamika, kubalini mafanikio ya Serikali - JamiiForums
Hata hayo ya kumpuuza ni mawazo,yaheshimiwe pia!Hili ni Jukwaa huru bwashee!
Mawazo ya kila mmoja wetu yanaheshimiwa!
Nadhani umekosea kuutaja huo ugonjwa: Huo ni "kaugonjwa kadogo kadogo sana kanaitwa KOLONA"Wanabodi,

Jamaa anasema kaugonjwa kadogo tusitishike halafu yeye kalala mbele,hapana!Hapa ndipo watu wanamkumbusha kurudi ikulu kupiga kazi!Wapinzani wa magufuli sio wanataka rais awepo ikulu ila wanataka tu aongee ili nao wapate hoja za kuongea.
Maana kwa kutoongea magufuli wanajiona kama wamepigwa lockdown ya kisiasa. Wanakosa hoja. Wanajua akiongea maneno mia hawatakosa hata mawili ya kukosoa.
Hivyo kuwafanya waendelee kuwa hewani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba mwenye picha ikulu ya chattle"Wengine tuliposema kuna Ikulu chato kuna wengine walijitokeza kupinga kusema hapana so mkija tena kuthibitisha kwamba ipo ndio tutashangaa zaidi"
Katoka nduki hatari kwenda kujificha!Halafu alivyo mnafiki anasema tupige kazi kwamba Corona ni kaugonjwa kadogo,aje tupige kazi wote!Kwa nini yupo Chato ?Ama kweli hata Trump angeamua kweda Florida? basi Florida ingekuwa ikulu 🗣.
Ila Coronavirus ni mwanaume bwana katudhibitishia kuwa Rais wetu ni mwepesi kama karatasi,hana ujasiri wa kufront line mapambano.
Majaliwa Oyeeeeeeh.
Jiwe ziiii. Jiwe mdomoni tu,mbele ya Covid 19 hakuna cha jiwe.
Asante China.