Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato!

Sijakubaliana na Pascal kabisa kwenye suala hili. Ikulu rasmi iko Chamwino Dodoma kwa sasa, ambapo hata ya Dar (mahame) ingeweza kutumika kuendeshea shughuli za umma. Chato ni NYUMBANI KWA RAISI, sio IKULU. Unataka kumaanisha kwamba iwapo mabalozi wana shida na raisi basi wamfuate Chato kuongea nae ana kwa ana? By the way na gonjwa hili la Corona lililopo sasa, nilitarajia angefika ikulu ya Dodoma kukutana na wadau ili kuangalia namna ya ku mobilize rasilimali za kupambana na gonjwa hili. Sijasikia serikali imetenga kiasi gani kukabili gonjwa hili, zaidi ya kupokea misaada toka kwa wadau. Raisi kuwa ikulu kwa wakati huu ni muhimu nadhani kuliko kuwa mahali pengine!
Yani wewe hujui shughuli za selikali zinaendeshwaje mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Kiukweli baadhi ya Watanzania ni walalamishi mpaka basi, baada ya rais Magufuli kushinda urais wa Tanzania katika uchaguzi huru, wa haki na wa kidemokrasia, na serikali ikaamua kujenga uwanja wa ndege Chato, kuna watu humu walipinga sana ujenzi wa uwanja huo, mimi ni miongoni mwa wachache tuliounga mkono ujenzi wa uwanja huo
Naunga Mkono Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika! - JamiiForums

Sasa rais Magufuli yuko Chato, watu humu wanaanza tena kupiga kelele, kwanini rais yuko Chato muda mrefu?.

Japo Kiswahili ndio lugha yetu ya taifa, lakini kiukweli Kiswahili ni kigumu hata kwa baadhi ya Waswahili wenyewe, hivyo kwa vile ni mmoja wa Watanzania tuliobahatika kuzaliwa mjini, kukulia mjini, kusomea mjini na sasa tunaishi mjini, Kiswahili ndio lugha yetu kuu, tunakimanya vilivyo.

Wengi wasiojua Kiswahili barabara, wanadhani Ikulu ni eneo rasmi specific la makazi ya rais kuishi na kufanyia shughuli zake kama ilivyo Ikulu ya Magogoni au Ikulu ya Chamwino, kumaanisha rais asipokuwa Ikulu ya Magogoni au Chamwino, akiwa pengine popote, anakuwa hayuko kazini, hivyo huku kwenye mitandao ya kijamii sasa kuna kelele za watu kutaka kulazimisha lazima wamuone rais Magufuli na kumsikia akitokea ama Ikulu ya Magogoni, au Ikulu ya Chamwino.

Ikulu sio eneo lolote specific, bali eneo lolote la makazi rasmi ya rais ambapo anaweza kutimiza majukumu yake ya urais, hivyo kwa Tanzania tuna ikulu ya Magogoni, Ikulu ya Chamwino, Ikulu ndogo ya Lushoto na karibu kila mkoa kuna Ikulu ndogo kama ya Arusha, Tanga, Morogoro, Mishi, Iringa, etc.

Enzi za Nyerere aliamua yeye hakai Ikulu bali aliishi Msasani, kama angeamua kufanyia kazi zozote za urais hapo Msasani, then pangekuwa ni ikulu ya Msasani. Mwalimu Nyerere alikuwa anakwenda likizo Butiama, wakati akiwa Butiama, akiamua kufanya majukumu yoyote ya kirais, then hapo Butiama panakuwa ni Ikulu ya Butiama.

Kwa muda sasa rais Magufuli yuko kijijini kwake Chato, kwa vile huko Chato anatimiza majukumu yake yote ya urais, then hapo Chato ni ikulu ya Chato, as long as mambo yote yanakwenda, hizi kelele za watu kutaka kumuona rais Magufuli akiwa ikulu ya Magogoni au ikulu ya Chamwino za nini?.

Hii ni press release ya leo
View attachment 1426440
Hitimisho.
Watanzania wazalendo watapenda kumuona rais wao akitimiza majukumu yake ya urais akiwa popote na tungependa rais wetu awe free kukaa mahali popote anapopenda as long as it takes.
Tupunguzeni kulalamika!

Paskali
Rejea
Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike - JamiiForums

Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!. - JamiiForums

Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri, pia tupongeze!. - JamiiForums

Paschal Mayalla: Acheni kulalamika, kubalini mafanikio ya Serikali - JamiiForums
Infwact kuna article moja ya Dereva wake au Msaidizi wake alielezea Mwl alikuwa anafanyia kazi Msasani, zile issue za ikulu kukiwa na specific issue kama kupokea mabalozi na kuapisha viongozi.
 
Sijakubaliana na Pascal kabisa kwenye suala hili. Ikulu rasmi iko Chamwino Dodoma kwa sasa, ambapo hata ya Dar (mahame) ingeweza kutumika kuendeshea shughuli za umma. Chato ni NYUMBANI KWA RAISI, sio IKULU. Unataka kumaanisha kwamba iwapo mabalozi wana shida na raisi basi wamfuate Chato kuongea nae ana kwa ana? By the way na gonjwa hili la Corona lililopo sasa, nilitarajia angefika ikulu ya Dodoma kukutana na wadau ili kuangalia namna ya ku mobilize rasilimali za kupambana na gonjwa hili. Sijasikia serikali imetenga kiasi gani kukabili gonjwa hili, zaidi ya kupokea misaada toka kwa wadau. Raisi kuwa ikulu kwa wakati huu ni muhimu nadhani kuliko kuwa mahali pengine!
Nafikiri hoja ya msingi ni kutekeleza majukumu yake akiwa mahala popote. Ndio maana hata akisimamishwa kwenye ziara zake na wananchi papo kwa papo anaweza kutumbua na kuteua.
 
Wanabodi,

Kiukweli baadhi ya Watanzania ni walalamishi mpaka basi, baada ya rais Magufuli kushinda urais wa Tanzania katika uchaguzi huru, wa haki na wa kidemokrasia, na serikali ikaamua kujenga uwanja wa ndege Chato, kuna watu humu walipinga sana ujenzi wa uwanja huo, mimi ni miongoni mwa wachache tuliounga mkono ujenzi wa uwanja huo
Naunga Mkono Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika! - JamiiForums

Sasa rais Magufuli yuko Chato, watu humu wanaanza tena kupiga kelele, kwanini rais yuko Chato muda mrefu?.

Japo Kiswahili ndio lugha yetu ya taifa, lakini kiukweli Kiswahili ni kigumu hata kwa baadhi ya Waswahili wenyewe, hivyo kwa vile ni mmoja wa Watanzania tuliobahatika kuzaliwa mjini, kukulia mjini, kusomea mjini na sasa tunaishi mjini, Kiswahili ndio lugha yetu kuu, tunakimanya vilivyo.

Wengi wasiojua Kiswahili barabara, wanadhani Ikulu ni eneo rasmi specific la makazi ya rais kuishi na kufanyia shughuli zake kama ilivyo Ikulu ya Magogoni au Ikulu ya Chamwino, kumaanisha rais asipokuwa Ikulu ya Magogoni au Chamwino, akiwa pengine popote, anakuwa hayuko kazini, hivyo huku kwenye mitandao ya kijamii sasa kuna kelele za watu kutaka kulazimisha lazima wamuone rais Magufuli na kumsikia akitokea ama Ikulu ya Magogoni, au Ikulu ya Chamwino.

Ikulu sio eneo lolote specific, bali eneo lolote la makazi rasmi ya rais ambapo anaweza kutimiza majukumu yake ya urais, hivyo kwa Tanzania tuna ikulu ya Magogoni, Ikulu ya Chamwino, Ikulu ndogo ya Lushoto na karibu kila mkoa kuna Ikulu ndogo kama ya Arusha, Tanga, Morogoro, Mishi, Iringa, etc.

Enzi za Nyerere aliamua yeye hakai Ikulu bali aliishi Msasani, kama angeamua kufanyia kazi zozote za urais hapo Msasani, then pangekuwa ni ikulu ya Msasani. Mwalimu Nyerere alikuwa anakwenda likizo Butiama, wakati akiwa Butiama, akiamua kufanya majukumu yoyote ya kirais, then hapo Butiama panakuwa ni Ikulu ya Butiama.

Kwa muda sasa rais Magufuli yuko kijijini kwake Chato, kwa vile huko Chato anatimiza majukumu yake yote ya urais, then hapo Chato ni ikulu ya Chato, as long as mambo yote yanakwenda, hizi kelele za watu kutaka kumuona rais Magufuli akiwa ikulu ya Magogoni au ikulu ya Chamwino za nini?.

Hii ni press release ya leo
View attachment 1426440
Hitimisho.
Watanzania wazalendo watapenda kumuona rais wao akitimiza majukumu yake ya urais akiwa popote na tungependa rais wetu awe free kukaa mahali popote anapopenda as long as it takes.
Kuna watu wenye akili fupi wanadhani uwepo wa rais Magufuli Chato ni kuikimbia Corona, it's not!, kwa sisi ambao ka Corona ni kaugonjwa kadogo ambacho hakatishi na tusitishane, hatuwezi kukuambia ka Corona!.
Tupunguzeni kulalamika!

Paskali
Rejea
Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike - JamiiForums

Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!. - JamiiForums

Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri, pia tupongeze!. - JamiiForums

Paschal Mayalla: Acheni kulalamika, kubalini mafanikio ya Serikali - JamiiForums
We understand,he is teleworking,yaani watumishi wengine wa umma anawahiza wapige kazi but yeye anapiga kazi from home,Kama huu si ubinafsi ni nini basi?
 
ajili ya kukomboa uchumi/afya za wananchi wake hasa katika kipindi hiki cha hili janga.Angali Rais wa SA anavyowafariji wananchi wake katika kipindi hiki cha hili jang
Kama una akili safi huwezi kusema habari ya kukomboa uchumi wakati waGONJWA wamejaa Magufuli hostel , Uwanja wa sabasaba ndio quarantine centre. Makonda mwenywe KWA KINYWA CHAKE amesema kuwa WATU WASIJE DAR MAANA DAR WATU WANAPUKUTIKA!
 
Umenena 👏🏽👏🏽👏🏽

Mh. Magufuli ninachompendea ni.. huwa yupo dakika tano mbele ya wengi.. ambao wao wanakuwa nddani ya maboksi wanapiga midomo tu.. hata akili za kuchungulia nje ya maboksi yao hawana.

Mola awe nasi
Hivi amekula chaki miaka mingapi? Au hizi akili zimemrudia baada ya kusukumiziwa ikulu na Lubuva?
 
Malegendary wa utangazaji wakiwa studio R.T.D
Screenshot_20200416-141933-1.jpg
enzi hizo kutoka kushoto ni P.Mayalla a.k.a Njaa, Swedi Mwinyi na Aboubakari Liongo.
 
Attachments

  • Screenshot_20200416-141933.jpg
    Screenshot_20200416-141933.jpg
    76.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom