Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato!

Kwa nini yupo Chato ?Ama kweli hata Trump angeamua kweda Florida? basi Florida ingekuwa ikulu 🗣.
Ila Coronavirus ni mwanaume bwana katudhibitishia kuwa Rais wetu ni mwepesi kama karatasi,hana ujasiri wa kufront line mapambano.
Majaliwa Oyeeeeeeh.
Jiwe ziiii. Jiwe mdomoni tu,mbele ya Covid 19 hakuna cha jiwe.
Asante China.
 
Unajua Paskali watu wengine hawajauelewa ule ujumbe wa COVID-19: #Stay Home and #Stay safe and spend your time creatively at home.
 
Wakati wa matatizo ndipo kiongozi husimama mbele kutuonesha njia,kututia moyo,kutuunganisha vyema na kupambania ushindi ajabu tatizo likitokea kiongozi yule hukaa nyuma,hujibanza mbali na haongei zaidi huwasukumiza wasaidizi wake frontifedi!! Tuliona toka enzi za tetemeko,misiba ilipotokea
Duniani kote viongozi wajuu wamekuwa majasiri kwa kutoa miongozo na kuwa karibu na wananchi!! Hongera kwao viongozi hao shupavu siyo vizuri wakati wa kuomba kazi unazururaaaa na kuongea kila saa lkn ikifika kazi yenyewe kupamba moto unajificha wala huongei unashindwa hata na babu museveni bana chyaa....waswahili walisema kuvaa gwanda za jeshi rahisi lakini kuzitendea kazi ni balaa
 
Nadhani umekosea kuutaja huo ugonjwa: Huo ni "kaugonjwa kadogo kadogo sana kanaitwa KOLONA"
 
Jamaa anasema kaugonjwa kadogo tusitishike halafu yeye kalala mbele,hapana!Hapa ndipo watu wanamkumbusha kurudi ikulu kupiga kazi!
 
Kaka Pascal Mayalla kuongoza hawa viumbe wa leo ni kazi sana maana kila utakachakifanya watainuka kukupinga. Na pia kumbuka mti wenye matunda ndio huo unaopigwa mawe
 
Uchaguzi ulikuwa wa huru na haki kwa kigezo kipi? Na unafahamu fika kwamba matokeo ya Uchaguzi kule zanzibar yalifutwa kwa figisu kibao!! Na hata huku bara bado vyama vililalamika na kutoa waraka kwamba hawamtambui rais aliyetangazwa na Tume....Acha unafki faza hata kama kujipendekeza huko kumezidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katoka nduki hatari kwenda kujificha!Halafu alivyo mnafiki anasema tupige kazi kwamba Corona ni kaugonjwa kadogo,aje tupige kazi wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…