Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato!

Kwa umri wako nadhani wakati wa vita ya uganda ulikuwa una akili kidogo.wakati vita ile inapiganwa raisi nyerere alikuwa wapi?
Hakuna aliyepinga ujenzi wa uwanja wa ndege watu wanapinga utaratibu wa ujenzi huo kutopitia bungeni.
Usitukaririshe bwana we

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakubaliana na Pascal kabisa kwenye suala hili. Ikulu rasmi iko Chamwino Dodoma kwa sasa, ambapo hata ya Dar (mahame) ingeweza kutumika kuendeshea shughuli za umma.

Chato ni NYUMBANI KWA RAISI, sio IKULU. Unataka kumaanisha kwamba iwapo mabalozi wana shida na raisi basi wamfuate Chato kuongea nae ana kwa ana?

By the way na gonjwa hili la Corona lililopo sasa, nilitarajia angefika ikulu ya Dodoma kukutana na wadau ili kuangalia namna ya ku mobilize rasilimali za kupambana na gonjwa hili.

Sijasikia serikali imetenga kiasi gani kukabili gonjwa hili, zaidi ya kupokea misaada toka kwa wadau. Raisi kuwa ikulu kwa wakati huu ni muhimu nadhani kuliko kuwa mahali pengine!

..muulize kama Raisi atakayemfuatia Magufuli ataweza kuhamia " ikulu ya chato " na kutekeleza majukumu yake.

..Ikulu ni kwa ajili ya Maraisi wote. Ni mali ya SERIKALI. Makazi binafsi ya Raisi hayawezi kuwa Ikulu.
 
Hatukuona Ikulu ya Butiama .....watu wakiteuliwa na vyombo vikikutana Rasmi
Hatukuona kwa Mkuranga au Makunduchi ikiwa Ikulu
Hatukuona Lupaso au Lushoto Residence ikiwa public
Hatukuona kazi rasmi za Rais Zikifanyika Msoga ....
Hakuna Utetezi hapo
 
Sijakubaliana na Pascal kabisa kwenye suala hili. Ikulu rasmi iko Chamwino Dodoma kwa sasa, ambapo hata ya Dar (mahame) ingeweza kutumika kuendeshea shughuli za umma.

Chato ni NYUMBANI KWA RAISI, sio IKULU. Unataka kumaanisha kwamba iwapo mabalozi wana shida na raisi basi wamfuate Chato kuongea nae ana kwa ana?

By the way na gonjwa hili la Corona lililopo sasa, nilitarajia angefika ikulu ya Dodoma kukutana na wadau ili kuangalia namna ya ku mobilize rasilimali za kupambana na gonjwa hili.

Sijasikia serikali imetenga kiasi gani kukabili gonjwa hili, zaidi ya kupokea misaada toka kwa wadau. Raisi kuwa ikulu kwa wakati huu ni muhimu nadhani kuliko kuwa mahali pengine!
Wewe umtenga kiasi gani kujilinda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale Mikocheni kwa Mwalimu ni Mali UA Serikali??? Au Mwitogo Kule Butiama nako pia??? Mbona alipatumia kuongoza nchi na mambo yakaenda Sawa? Acheni upotoshaji Mkuu wa Nchi Huko na Kazi zinaenda. Mnaomtaka mna yenu na hamtafanikiwa
Tuweke kumbukumbu sawa, Mwitongo palijengwa na JKT baada ya mwalimu kustaafa. Kati ya viongozi wote wastaafu hakuna aliyejenga international airport wilayani kwake. Huu ndio ukweli na hakuna upotoshaji, period.
 
Una umri gani wewe? Aliekuambia palijengwa na JKT ni nani?
 
Wanabodi,

Kiukweli baadhi ya Watanzania ni walalamishi mpaka basi, baada ya rais Magufuli kushinda urais wa Tanzania katika uchaguzi huru, wa haki na wa kidemokrasia, na serikali ikaamua kujenga uwanja wa ndege Chato, kuna watu humu walipinga sana ujenzi wa uwanja huo, mimi ni miongoni mwa wachache tuliounga mkono ujenzi wa uwanja huo
Naunga Mkono Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika! - JamiiForums

Sasa rais Magufuli yuko Chato, watu humu wanaanza tena kupiga kelele, kwanini rais yuko Chato muda mrefu?.

Japo Kiswahili ndio lugha yetu ya taifa, lakini kiukweli Kiswahili ni kigumu hata kwa baadhi ya Waswahili wenyewe, hivyo kwa vile ni mmoja wa Watanzania tuliobahatika kuzaliwa mjini, kukulia mjini, kusomea mjini na sasa tunaishi mjini, Kiswahili ndio lugha yetu kuu, tunakimanya vilivyo.

Wengi wasiojua Kiswahili barabara, wanadhani Ikulu ni eneo rasmi specific la makazi ya rais kuishi na kufanyia shughuli zake kama ilivyo Ikulu ya Magogoni au Ikulu ya Chamwino, kumaanisha rais asipokuwa Ikulu ya Magogoni au Chamwino, akiwa pengine popote, anakuwa hayuko kazini, hivyo huku kwenye mitandao ya kijamii sasa kuna kelele za watu kutaka kulazimisha lazima wamuone rais Magufuli na kumsikia akitokea ama Ikulu ya Magogoni, au Ikulu ya Chamwino.

Ikulu sio eneo lolote specific, bali eneo lolote la makazi rasmi ya rais ambapo anaweza kutimiza majukumu yake ya urais, hivyo kwa Tanzania tuna ikulu ya Magogoni, Ikulu ya Chamwino, Ikulu ndogo ya Lushoto na karibu kila mkoa kuna Ikulu ndogo kama ya Arusha, Tanga, Morogoro, Moshi, Iringa, etc, na mikao ambayo haina Ikulu ndogo, then kuna state lodge.

Enzi za Nyerere aliamua yeye hakai Ikulu bali aliishi Msasani, kama angeamua kufanyia kazi zozote za urais hapo Msasani, then pangekuwa ni ikulu ya Msasani. Mwalimu Nyerere alikuwa anakwenda likizo Butiama, wakati akiwa Butiama, akiamua kufanya majukumu yoyote ya kirais, then hapo Butiama panakuwa ni Ikulu ya Butiama.

Kwa muda sasa rais Magufuli yuko kijijini kwake Chato, kwa vile huko Chato anatimiza majukumu yake yote ya urais, then hapo Chato ni ikulu ya Chato, as long as mambo yote yanakwenda, hizi kelele za watu kutaka kumuona rais Magufuli akiwa ikulu ya Magogoni au ikulu ya Chamwino za nini?.

Hii ni press release ya leo
View attachment 1426440
Hitimisho.
Watanzania wazalendo watapenda kumuona rais wao akitimiza majukumu yake ya urais akiwa popote na tungependa rais wetu awe free kukaa mahali popote anapopenda as long as it takes.
Kuna watu wenye akili fupi wanadhani uwepo wa rais Magufuli Chato ni kuikimbia Corona, it's not!, kwa sisi ambao ka Kolona ni kaugonjwa kadogo ambacho hakatishi na tusitishane, ikitokea ka kolona kamekuja, kametukuta watu tuko kwenye vacations zetu, hatuwezi kukatisha vacations zetu kwasababu ya ka kolona na wala hatuwezi kukuambia ka Kolona!.
Watanzania tupunguzeni kulalamika!, Chato ni kijijini kwa rais Magufuli na ni nyumbani kwa rais Magufuli, akiwa likizo au mapumzikoni mjini Chato anakuwa amepumzika kwake kama Mwalimu Nyerere alivyokuwa ana pumzika Butiama, Mkapa Mwinyi pale Mikocheni, Mkapa Masasi, Kikwete Msoga na sasa Magufuli Chato.

Lakini rais akifanya majukumu yake yoyote ya kiraisi akiwa eneo fulani, ikiwemo kuteua, kuapisha, kulihutubia taifa, kukutana na wakuu wa ulinzi na usalama au kuendesha cabinet, then eneo hilo linageuka ni Ikulu!. Hii ni Ikulu ya Chato!.

Paskali
Rejea
Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike - JamiiForums

Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!. - JamiiForums

Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri, pia tupongeze!. - JamiiForums

Paschal Mayalla: Acheni kulalamika, kubalini mafanikio ya Serikali - JamiiForums
Wandugu, hapa nafanya tuu follow up ya Corona nikipitia kujikumbusha niliwahi kuandika nini au kusema nini kuhusu Corona na hiki kinacho endelea sasa. Corona is real tusifanye masihara, tujilinde kwa kufuata ushauri wa kitaalamu.

Kila Jumamosi asubuhi kuanzia saa 1:30 hadi saa 3:00 asubuhi , Star TV, huwa ninakuwa live kwenye kipindi cha TV cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho huwa kinatangwa live na Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi, kwa Jumamosi ya kesho, mgeni wetu ni Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe tukijadili kuhusu athari za Corona kwenye sekta ya Habari, nini kifanyike.

Ukipata nafasi karibu utufuatilie.

P
 
Kuwa mstaarabu,wewe ni mtu mzima na haya unayofanya ni utoto!Nani amekwambia tunataka kuona nyuzi zako ukurasa mzima wa JF?Unakera bhana,umeshafungua uzi ukatoa habari inatosha!Huu ni uhuni
 
Wanabodi,

Kiukweli baadhi ya Watanzania ni walalamishi mpaka basi, baada ya rais Magufuli kushinda urais wa Tanzania katika uchaguzi huru, wa haki na wa kidemokrasia, na serikali ikaamua kujenga uwanja wa ndege Chato, kuna watu humu walipinga sana ujenzi wa uwanja huo, mimi ni miongoni mwa wachache tuliounga mkono ujenzi wa uwanja huo
Naunga Mkono Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika! - JamiiForums

Sasa rais Magufuli yuko Chato, watu humu wanaanza tena kupiga kelele, kwanini rais yuko Chato muda mrefu?.

Japo Kiswahili ndio lugha yetu ya taifa, lakini kiukweli Kiswahili ni kigumu hata kwa baadhi ya Waswahili wenyewe, hivyo kwa vile ni mmoja wa Watanzania tuliobahatika kuzaliwa mjini, kukulia mjini, kusomea mjini na sasa tunaishi mjini, Kiswahili ndio lugha yetu kuu, tunakimanya vilivyo.

Wengi wasiojua Kiswahili barabara, wanadhani Ikulu ni eneo rasmi specific la makazi ya rais kuishi na kufanyia shughuli zake kama ilivyo Ikulu ya Magogoni au Ikulu ya Chamwino, kumaanisha rais asipokuwa Ikulu ya Magogoni au Chamwino, akiwa pengine popote, anakuwa hayuko kazini, hivyo huku kwenye mitandao ya kijamii sasa kuna kelele za watu kutaka kulazimisha lazima wamuone rais Magufuli na kumsikia akitokea ama Ikulu ya Magogoni, au Ikulu ya Chamwino.

Ikulu sio eneo lolote specific, bali eneo lolote la makazi rasmi ya rais ambapo anaweza kutimiza majukumu yake ya urais, hivyo kwa Tanzania tuna ikulu ya Magogoni, Ikulu ya Chamwino, Ikulu ndogo ya Lushoto na karibu kila mkoa kuna Ikulu ndogo kama ya Arusha, Tanga, Morogoro, Moshi, Iringa, etc, na mikao ambayo haina Ikulu ndogo, then kuna state lodge.

Enzi za Nyerere aliamua yeye hakai Ikulu bali aliishi Msasani, kama angeamua kufanyia kazi zozote za urais hapo Msasani, then pangekuwa ni ikulu ya Msasani. Mwalimu Nyerere alikuwa anakwenda likizo Butiama, wakati akiwa Butiama, akiamua kufanya majukumu yoyote ya kirais, then hapo Butiama panakuwa ni Ikulu ya Butiama.

Kwa muda sasa rais Magufuli yuko kijijini kwake Chato, kwa vile huko Chato anatimiza majukumu yake yote ya urais, then hapo Chato ni ikulu ya Chato, as long as mambo yote yanakwenda, hizi kelele za watu kutaka kumuona rais Magufuli akiwa ikulu ya Magogoni au ikulu ya Chamwino za nini?.

Hii ni press release ya leo
View attachment 1426440
Hitimisho.
Watanzania wazalendo watapenda kumuona rais wao akitimiza majukumu yake ya urais akiwa popote na tungependa rais wetu awe free kukaa mahali popote anapopenda as long as it takes.
Kuna watu wenye akili fupi wanadhani uwepo wa rais Magufuli Chato ni kuikimbia Corona, it's not!, kwa sisi ambao ka Kolona ni kaugonjwa kadogo ambacho hakatishi na tusitishane, ikitokea ka kolona kamekuja, kametukuta watu tuko kwenye vacations zetu, hatuwezi kukatisha vacations zetu kwasababu ya ka kolona na wala hatuwezi kukuambia ka Kolona!.
Watanzania tupunguzeni kulalamika!, Chato ni kijijini kwa rais Magufuli na ni nyumbani kwa rais Magufuli, akiwa likizo au mapumzikoni mjini Chato anakuwa amepumzika kwake kama Mwalimu Nyerere alivyokuwa ana pumzika Butiama, Mkapa Mwinyi pale Mikocheni, Mkapa Masasi, Kikwete Msoga na sasa Magufuli Chato.

Lakini rais akifanya majukumu yake yoyote ya kiraisi akiwa eneo fulani, ikiwemo kuteua, kuapisha, kulihutubia taifa, kukutana na wakuu wa ulinzi na usalama au kuendesha cabinet, then eneo hilo linageuka ni Ikulu!. Hii ni Ikulu ya Chato!.

Paskali
Rejea
Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike - JamiiForums

Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!. - JamiiForums

Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri, pia tupongeze!. - JamiiForums

Paschal Mayalla: Acheni kulalamika, kubalini mafanikio ya Serikali - JamiiForums
Sina hakika, ila nilibaini karibu kila mkoa niliowahi kutembelea ulikuwa na Ikulu ndogo.

Sioni ukakasi sana "mwamba" kuwa Kwao. Home ni home tu mazee.

Wengine tuonapo mambo yamekuwa ndivyo sivyo huwa tunarudi nyumbani kuyajenga then tunarejea kwenye mapambano.

Sio issue sana.

mkuu Pascal Mayalla naona unatumia gear ya Mwigulu Nchemba.

kazana mwanangu - who knows? hata kama ukiwa DC kwa miezi 4 iliyobaki utaziba mashimo mengi ya kutosha tu kiuchumi!
 
Back
Top Bottom