Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Kuna hii nyingine ya wozaa anayesalimiwa anajibu woza wozaKwenye salamu ndio nachoka kabisa.
Vijana anamwambia mwenzake oi na yeye anajibu oi.Eti ndio wamesalimiana hapo.
Ni Gani ? Ni Og
Mjomba=Jombaa
Mama =mazaa
Haina shida=Haina kwele
Umeenda nae? =Umetimba nae?
Yapo mengi sana