Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Shilingi ngapi-Shingapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duYaani wewe ndio umenikoroga kabisa 🤯 Nlikuwaga simpendi mwalimu wangu wa kiswahili alikua anaitwa Sekule kwasababu ya kufinya. Yule mwalimu hapana jamani 🙌🏾 Hadi nimesikia maumivu ya vifinyo vyake upya. Basi na somo nkalichukia completely hata sikumbuki tena kiambishi ndio ki nini 😏
daah pole sana kiongozi.Yaani wewe ndio umenikoroga kabisa [emoji2962] Nlikuwaga simpendi mwalimu wangu wa kiswahili alikua anaitwa Sekule kwasababu ya kufinya. Yule mwalimu hapana jamani [emoji1487] Hadi nimesikia maumivu ya vifinyo vyake upya. Basi na somo nkalichukia completely hata sikumbuki tena kiambishi ndio ki nini [emoji57]
Kuonyesha = kuonya‘Kuonyesha’ siyo sahihi?
afadhali wewe umewaeleza. niliwahi kubishiwa humu.Hata wewe unakosea.
Ndiyo = ndio
Hii ni ya kibunifu zaidi aka Coded, hapa hakuna kilichoharibika, tofauti na ile mifano ya pale juu.2o8- tuonane
P1- pamoja
2100- Tumia
Mkuu ungefuta hii comment wenyewe huwa hawapendi wanaona kama dhihakaUnategemea nini wakati Tanzania failures ndiyo wanaokuwa walimu.
🤣🤣Kwenye salamu ndio nachoka kabisa.
Vijana anamwambia mwenzake oi na yeye anajibu oi.Eti ndio wamesalimiana hapo.
Shukran Wakili Msomi Ngabu, hebu tunaomba utuwekee hapa hizo picha tujifunze zaidi.Sipo nyumbani sasa hivi. Nikirudi nitakuwekea picha ya ukurasa yenye neno ‘onyesha’ na fasıli yake toka kamusi tatu tofauti zilizochapiswa na taasisi tofauti.
Ni vigumu sana mimi kukubali kwamba, wataalamu tofauti wa lugha ya Kiswahili, kutoka taasisi tofauti tofauti, wote wakosee katika kuliweka hilo neno kwenye kamusi walizozichapisha na kuzihariri.
Uzuri wa hizi kamusi, huwa zinachapisha majina ya wataalamu waliohusika katika kuzitengeneza.
Nitakuwekea picha ya kurasa zenye majina yao.
Ni watu wenye shahada za juu za lugha ya Kiswahili. Ni watu waliofanya tafiti na kuandika juu ya lugha ya Kiswahili.
Kwa ufupi, ni wataalamu wa lugha ya Kiswahili. Hivyo, ni watu ambao wanatambulika kama mamlaka katika fani zao.
Wataalamu wa Kiswahili kutoka chuo kikuu cha Oxford, kutoka chuo kikuu cha Nairobi, kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam, wote hawa wakosee katika kuliweka kwenye kamusi hilo neno?
Au siku hizi kamusi siyo kitabu cha mamlaka na marejeo katika kutafuta fasili na maana za maneno?
Anyway, nitarudi na screenshots. Ngoja nimalizie kubeba boksi kwanza.
Bongo fleva pia inachangia sana kuua lugha ya taifaKwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao.
Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii.
Maneno mazuri ya kiswahili yamepindishwa kiasi inaleta kichefuchefu hata kusikiliza. Hapa nitaweka baadhi ya maneno.
Alikuwa = alikua
Kwa hiyo = ko
Baadhi = baazi
kufanikiwa = kujipata
sasa = saivi
Ndio hivyo = ndoivo
Ndio nini = ndonini
serikali = serekali/selekale
yaani = yani
mtaa = kitaa/kitaani
kwa sababu = co
Pasipo kuchukuliwa hatua za makusudi lugha hii inaelekea kupotea.
Chanzo kikuu cha haya ni uholela wa vyombo vya habari hasa habari za mtandaoni.
Nashauri mambo makubwa mawili yafanyike kwa haraka.
Kuwe na takwa la lazima kwa waleta habari kwa jamii wote kuwa na ufaulu mzuri wa lugha hii
vyombo vya habari vyote yaani vya kawaida na mitandaoni lazima visajiliwe kwanza na mamlaka za kiserikali kabla ya kuanza kupeleka habari yoyote kwa jamii.
Tuungane pamoja kuinusuru tunu yetu kuu ya lugha ya kiswahili
Dah! Kutoka mbeba maboksi mpaka wakili msomi! Umenipendelea sana. Usomi huo mi mbeba maboksi niutoe wapi? 😀Shukran Wakili Msomi Ngabu, hebu tunaomba utuwekee hapa hizo picha tujifunze zaidi.
Lakini pia nikutonye sikio kwamba, hata watu wenye elimu za juu sana wanaweza kufanya makosa ya kijinga sana mpaka ukashangaa.
Ninaheshimu elimu zao na kwa kweli ninakiri ni watu manguli mno wa Lugha, lakini makosa ya kimaskhara kwenye kazi zao ni jambo la kutarajia kwa wakati mwingi.
Hao oxford nadhani wananakili taarifa kutoka TUKI na taasisi zingine za elimu ya Kiswahili na kuzifanyia uhariri kidogo, kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wa kubeba na makosa yaliyomo.
Wakili Msomi Ngabu umeupiga mwingi mno hapa, ndio maana nimekutunuku uwakili bila kupitia mafunzo ya Law School.Dah! Kutoka mbeba maboksi mpaka wakili msomi! Umenipendelea sana. Usomi huo mi mbeba maboksi niutoe wapi? 😀
Hata hivyo, ahadi ni deni. Nimechoka kama mbwa, lakini naamini katika kutimiza ahadi.
Haya, twende kazi;
Kama nilivyosema hapo awali, maneno yote mawili, ‘onesha’ na ‘onyesha’, ni sahihi.
Neno sahihi katika kuelezea utumikaji wa hayo maneno ni ‘kibadala’ au ‘vibadala’. Kwa kimombo nadhani ni ‘alternate’.
Kama picha ya sehemu ya ukurasa inavyoonyesha hapo chini, kibadala ni moja kati ya maneno mawili au zaidi yanayotofautiana kidogo kwenye maandishi au matamashi, lakini yanakuwa na maana sawa; onyesha/ onesha. Na unakumbuka niliongelea mambo ya lahaja? Hata wao watu wa TATAKI wamelizungumzia hilo [2009 walibadili jina kutoka TUKI]. TATAKI ni Taasisi ya Taaluma za Kiswahili.
View attachment 2967852
Uzuri wa hizi kamusi za siku hizi, huwa zina maelezo mazuri sana kuhusu masuala ya lugha.
Kwa mfano, moja ya hizi kamusi nilizonazo ina orodha kabisa ya vibadala vya maneno na mojawapo ya hayo maneno ni ‘onyesha’ na ‘onesha’.
View attachment 2967856
Huu hapa ukurasa yaliyopo hayo maneno.
View attachment 2967857
Hapa chini ni kipande cha ukurasa wa kamusi ya Kiswahili sanifu tu. Yaani Kiswahili peke yake.
Angalia hayo maneno ‘onesho’ na ‘onesha’ utaona yakifuatiwa na neno ‘pia’ “onyesho “ na “onyesha”.
View attachment 2967860
Hiyo’pia’ maana yake ni kwamba hicho kibadala cha hilo neno, nacho ni sahihi pia!
Tukienda kwenye kamusi ya Kiingereza.- Kiswahili, neno ‘show’ wao wamelitafsiri kama ‘onyesho’.
View attachment 2967870
Hii hapa orodha ya watu waliohusika kuzitengeneza hizi kamusi. Wachache kati yao nafahamiana nao. Ni watu wanaoaminika kwa uwezo wao kwenye fani yao.
View attachment 2967871
Haya bana, baadaye. Nimechoka kama mbwa koko leo.
✌️
😂😂 staki unijambie mdomomni😂😂si uje
Unaogopa nini 😂😂😂😂😂 staki unijambie mdomomni😂😂
Hahahaha
[emoji36][emoji36]Kwakweri habali hii inakela sana sipendi kiswahiri kikichezewa hivyo ndo mahana najitorea kufundisha kiswahiri
harufu ya ushuzi jana si umekula mayai ya kutosha😂😂Unaogopa nini 😂😂😂