Kiswahili fasaha kinatoweka

Kwenye salamu ndio nachoka kabisa.
Vijana anamwambia mwenzake oi na yeye anajibu oi.Eti ndio wamesalimiana hapo.
Kuna hii nyingine ya wozaa anayesalimiwa anajibu woza woza
Ni Gani ? Ni Og
Mjomba=Jombaa
Mama =mazaa
Haina shida=Haina kwele
Umeenda nae? =Umetimba nae?

Yapo mengi sana
 
Kwaiyo -ko
Mdogowangu Huwa anatumia Yani niliona smszake kaandika hivo nachefukwa 🥲
Siku Imani ikanishinda nikamwambia km hutak kuandika neno vizuri usinitumie sms
 
Kwaiyo -ko
Mdogowangu Huwa anatumia Yani niliona smszake kaandika hivo nachefukwa 🥲
Siku Imani ikanishinda nikamwambia km hutak kuandika neno vizuri usinitumie sms
‘Kwaiyo-ko’ maana yake nini?
 
mm naww xax bac uminiuz sn = hapo anakwambia mimi nawewe sasa basi (mmeachana) umeniudhi sana

kazi kweli[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Let me see - lemme see.
 
Lakini kamusi si huandikwa na wataalamu wa lugha?

Ina maana wataalamu hao walikosea?

Na siyo kamusi moja tu. Za TUKI zinalo hilo neno ‘onyesha’.

Za Oxford zinalo hilo neno’onyesha’.

Wote hawa wamekosea?
Kama tunavyosema hapa, unaweza kushangazwa sana unapokutana na taasisi kubwa kama TUKI nayo inaboronga Kiswahili.

Wamekosea, hilo si neno sahihi.
 
‘Kwaiyo-ko’ maana yake nini?
Wengi wanafupisha neno KWAHIYO kwa kusema KO.

Ko vipi sasa?

Ko unakuja au?

Hivi ni viswahili vya watu wasio na upeo wa kitaaluma au kielimu A.K.A MANGUMBARU / MABICHWA KOMWE.
 
Wengi wanafupisha neno KWAHIYO kwa kusema KO.

Ko vipi sasa?

Ko unakuja au?

Hivi ni viswahili vya watu wasio na upeo wa kitaaluma au kielimu A.K.A MANGUMBARU / MABICHWA KOMWE.
mkuu ndio najua leo kumbe

bichwa komwe = ngumbaru
 
Shida ilianza pale ambapo VILAZA waliajiriwa kuwa WALIMU.
Walimu wangu shule ya msingi,95% walikua walimu wa upe,yaani hawakufija sekondari,lakini walinifunza kiswahili fasaha na nilielewa,mi nadhani walimu hawana wito tu,wanawaza kuuza bagia kwa watoto na kuwafundisha twisheni mapema asubuhi kabla ya vipindi,tunatoka la pili kuingia la tatu hapakuwa na mtu aliyeshindwa kusoma na kuandik
 
Dunia nzima tupo ivyo, kikubwa mawasiloano
 
Siku hizi walimu wenyewe ni mabishoo halafu ni VILAZA hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…