Kiswahili hakiwezi kukua vizuri Kama Sisi bado ni maskini

Kiswahili hakiwezi kukua vizuri Kama Sisi bado ni maskini

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Kikawaida hakuna mtu anayependa kujifunza lugha ya maskini au utamaduni wake isipokuwa tu labda kwa sababu za kiutafiti na kiakademia.

Hata masIkini mwenyewe huionea aibu lugha yake na utamaduni wake hivyo kuikwepa katika matumizi yake ya kila siku Kama vile elimu nakadhalika.

Hapantunaweza kutengeneza nadharia kuwa "ukiona dola yeyote inatumia lugha ya watu wengine katika mambo Muhimu wakati ingali na lugha yake sababu kuu huwa ni kuwa dola hiyo ni duni kiuchumi"

Ili lugha ya Kiswahili ikue kwa sababu za kiuchumi nilazima dola za kiswahili zikue kiuchumi ambapo zitalazimisha watu wa dola nyingine kujifunza lugha hii kwa ulazima. Karibu katika mjadala
 
Back
Top Bottom