Kiswahili: Matumizi ya Herufi “L” na “R”

Lakin hawatumii L kwenye R, Hawasemi Laha badala ya Raha hivyo hawachanganyi r na l
Sababu kubwa no kutokana na matamshi kwenye makabila yetu. Mfano kwa wenzetu Wakurya hutumia "r" badala ya "l" kama vile (chakura) badala ya chakula, wari badala ya wali.
 
Huo ni ugonjwa sasa, hata kwenye mambo serious kama anwani za makazi imekuwa shida!
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…