Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Kwenye kuandika ni tatizo la shule. Kile kiswahili tunasoma shuleni ndiyo hutatua mambo hayo. Kwenye kuongea sina hakika sana maana wanaweza kutumia herufi hizo zote. Labda wanakuwa hawako familiar na hayo maneno hivyo hawajui ni herufi gani inahitajika.Kote, kwenye kutamka na kuandika.