Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

watu8 said:
Kitendawiliiiiiiiii.......

"Babu akojoapo hupiga kelele..."



Sio kufika M.sh.i.n.d.o kweli?
Haya nawe sikupi mji nakupa Gesti.
Nenda.. Staili Kali G. House,
haya leta jibu watu8..

Hahahah Madame B umekosa bhanaaa...
Gesti siendi ila JIBU ni MVUA
 
Moshi naenda...
Jibu ni Makalio, hiki kitendawili kilikua famous sana utotoni...

Kitendawiliiiiiiiii.......

"Babu akojoapo hupiga kelele..."

lakini me mbna nimekujibu hebu angalia ama hujaelewa nlitumia tafsida!
 
Hahaha hiki nacho kilikua famous sana utotoni
JIBU ni MAVI na NZI

umepata, bna enzi hyo std 6 tulikuwa tunafundshwa na mwl mlemavu anatembea na magongo (RIP) bas mwanafunz m1 akatega hko kitendawili wee acha tuchapwe! mwl alifikir tunammaanisha yeye kwa vile anatembea na magongo kumbe ni kitendawil tu cha kawaida. . .
 
kitendawili. . .
baba mmoja,mama mmoja, watoto weeeengi mpk hawahesabiki!
 
Kitendawiliiiiiiiii

"Zilitazamana na mpaka sasa hazijakutana"
 
ila ni mtamu Madame B au sio........lol

Yani ni mtamu sana ila raha ya kitu ukile kikiwa kizuri.
Hv Kaizer unamjua samaki Bunju?
Yule ndio funga Kazi.
Samaki ana balaa yule.
Ana hisia kama kidume.
Yani ukimgusa tu,huyo katuna,na vi-miba miba vile,
Dah!
Ananikoshaga hapo tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom