Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

Wewee...
Utakosa vizuri kwa Uzembe wako.
Au nikupeleke nyumbani kwenye Kibao Kata?

Huko nako eti Utaogopa.

kokote tu....lol mi ntaenda...chezeya Mwalimu? lakini ukiniambie preference, ndo home kwanz aukanionyeshe kibao kata chachezwaje?
 
JIBU NI SIAFU...
KITENDAWILIIIIIIIIIIIIII
wazungu wawili wanachungulia dirishani!!!!!

umepataaa,
ngoja nikujibu huku nimeziba mackio, makamac puani, pttuuuu,
kitendawiliii
wakutanapo nh marafiki waachanapo ni maadui,
haya jibuni au mnasubiri mtoke lunch kwanza
 
umepataaa,
ngoja nikujibu huku nimeziba mackio, makamac puani, pttuuuu,
kitendawiliii
wakutanapo nh marafiki waachanapo ni maadui,
haya jibuni au mnasubiri mtoke lunch kwanza

nimesahau ngoja nkamuulize mwalimu Madame B
 
Last edited by a moderator:
nimesahau ngoja nkamuulize mwalimu Madame B

Abeee...!!!
Shost asikuletee za kuleta huyo Kijino.

Jibu lake ni Binadamu na Kinyesi.
Unapoenda kujisaidia mnakuwa marafiki na Kinyesi.
Ila ukishamaliza haja tu,unaona Uchafu.

Kitendawiliii....!!!
 
Last edited by a moderator:
Abeee...!!!
Shost asikuletee za kuleta huyo Kijino.

Jibu lake ni Binadamu na Kinyesi.
Unapoenda kujisaidia mnakuwa marafiki na Kinyesi.
Ila ukishamaliza haja tu,unaona Uchafu.

Kitendawiliii....!!!

tegaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
shanga za kiunoni!
kitendawilii i i i
ukiona njigi utadhani njege ukinjona njege utadhani njigi. . . .

Jibu lako ni Ukiona Tui la nazi utadhani maziwa na Ukiona Maziwa utadhani tui la nazi.
Hivyo jibu lako ni Tui la Nazi na Maziwa

Jibu la kitendawili changu umekosaaaa.

Jibu lake ni Kope
 
methali..Asiyefunzwa na ***** amsubirie mama wa kambo,,,,Mtaka cha uvunguni alikosa cha kitandani....Mchagua jembe hajajua faida ya trekta...Tenda wema upate diamond..,Asiyesikia la mkuu ujue kiziwi....kikulacho ujue kina meno.
 
Back
Top Bottom