Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umekosaaa, jibu ni tumbo na kitovu.
Kitendawiliii
ukoo wetu hatuishi safari
JIBU NI SIAFU...
KITENDAWILIIIIIIIIIIIIII
wazungu wawili wanachungulia dirishani!!!!!
Charm shost,
Tunakunywa Mtori bhana,
Hvi vitendawili sio mwake bhana.
pole mpenzi hahahaa......
Wewee...
Utakosa vizuri kwa Uzembe wako.
Au nikupeleke nyumbani kwenye Kibao Kata?
Huko nako eti Utaogopa.
JIBU NI SIAFU...
KITENDAWILIIIIIIIIIIIIII
wazungu wawili wanachungulia dirishani!!!!!
umepataaa,
ngoja nikujibu huku nimeziba mackio, makamac puani, pttuuuu,
kitendawiliii
wakutanapo nh marafiki waachanapo ni maadui,
haya jibuni au mnasubiri mtoke lunch kwanza
Abeee...!!!
Shost asikuletee za kuleta huyo Kijino.
Jibu lake ni Binadamu na Kinyesi.
Unapoenda kujisaidia mnakuwa marafiki na Kinyesi.
Ila ukishamaliza haja tu,unaona Uchafu.
Kitendawiliii....!!!
Bibi yangu yupo juu ya Matuta anapeta Ufuta
shanga za kiunoni!
kitendawilii i i i
ukiona njigi utadhani njege ukinjona njege utadhani njigi. . . .
umepata, kumbuka ukitoa jibu nawe unatega!
Kozi mwana mandanda.................,ukiona zinduna................,bura yangu si..........