SoC02 Kiswahili ni Afrika Mashariki, Kiswahili ni Tanzania, Kiswahili ni Amani na Upendo

Stories of Change - 2022 Competition

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
HISTORIA YA KISWAHILI.
Kuna nadharia mbalimbali kuhusiana na historia ya lugha ya Kiswahili. Wapo wanaodai chimbuko la Kiswahili kuwa ni pwani ya Afrika mashariki, wataalamu kama Nae Freeman Granville (1959) kupitia kitabu chake kiitwacho (the medieval of Kiswahili language) anakuja na hoja kuwa Kilwa hata kabla ya karne ya 10 ilikuwa na umuhimu mkubwa kibiashara hivyo basi kulinganana na umuhimu huo wa biashara miongoni mwa wa wabantu wa kilwa na wageni(waarabu) ilipelekea kuibuka kwa lugha moja ambayo ndiyo inasadikika ni Kiswahili leo hii.

download (1).png

Nadharia nyingine ni kama asili ya Kiswahili ni huko Afrika ya magharibi(Kamerun) sababu kuu ni kuwa huko ndiko chimbuko la wabantu kabla ya kutawanyika kutokana na sababu mbalimbali na wapo wataalamu wanaosema kuwa chimbuko la Kiswahili ni Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Nadharia zote zaweza kuwa na mashiko kwa kuwa lugha ya Kiswahili ina maneno ya kibantu, kiarabu na baadhi ya maneno kutoka lugha tofauti kama kireno, kiingereza na kihindi kitu kilichochewa na muingiliano wa watu wa jamii tofauti kutokana na biashara pamoja na ujio wa wakoloni.

UMRI WA LUGHA YA KISWAHILI.
Lugha hii inakadirirwa kuwa na takribani na miaka 800 hadi 1000 toka kuanza kwake katika vituo vya biashara vya pwani ambako wafanyabiashara kutoka uarubuni, uajemi, na uhindi walipokutana na wenyeji wakazi wa Afrika.

Lugha ya Kiswahili iliweza kuzaliwa kutokana na wenyeji wabantu kupokea maneno mengi kutoka lugha tofauti hasa maneno ya kiarabu katika kuwasiliana.

DGd3TobXYAAqQX7.jpg

Kuenea kwa lugha ya kiswahili.
Kupitia biashara na muingiliano wa watu lugha ilianza kuenea sehemu mbalimbali za ulimwengu. wakati wa ukoloni lugha ya Kiswahili iliweza kusanifiwa na kamati ya kimaeneo ya lugha ya Kiswahili kwenye misingi wa lahaja ya unguja.

Kiswahili ni nini?
Kiswahili
ni lugha miongoni mwa lugha takribani elfu saba(7000) zinazozungumzwa ulimwenguni ikiwa inazungumzwa haswa katika eneo la Africa mashariki(Tanzania, Kenya, Uganda, Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo na kaskazini mwa Msumbiji).

Nchi zinazozungumza kiswahili.
Kiswahili ni lugha rasmi ya taifa katika nchi ya Tanzania na kenya. Uganda pia iliwahi kuwa lugha ya taifa wakati wa utawala wa Iddi amin matumizi ya Kiswahili yalipingwa na waganda kutokana na historia ya utawala wa kijeshi.

Mashariki mwa Kongo Kiswahili kimeenea sana na ni moja kati ya lugha nne za kitaifa katika jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo. Nchini Rwanda mnamo tarehe 8 februari 2017 bunge lilifanya Kiswahili kuwa lugha rasmi ya nne baada ya Kinyarwanda, kifaransa na kiingereza.

Map-of-East-African-countries-Source-United-Nations-43.png

Mafanikio ya kiswahili.
Tarehe 23 mwezi novemba mwaka 2021 shirika la umoja wa mataifa la elimu,sayansi na utamaduni UNESCO lilitangaza rasmi tarehe 7 ya julai kila mwaka kuwa siku ya kiswahili duniani.

download.png

Ni moja katika hatua muhimu za mafanikio ya Kiswahili katika anga za kimataifa. Katika azimio hilo lenye kurasa tatu, inaelezwa kuwa uamuzi huo unatokana na uamuzi wa kikao cha 212 cha bodi utendaji ya UNESCO kwa kutumia misingi mikuu kumi ambayo ni:

1. Kiswahili ni mawasiliano.

2. Wazungumzaji wa Kiswahili duniani.

3. Kiswahili Afrika mashariki, kati na kusini.

4. Kiswahili na kufanikisha SDGs(Sustainable Development Goals) na AcFTA(Africa Continental Free Trade Area)

5. Kiswahili katika idhaa za umoja wa mataifa.

6. Umoja wa mataifa na matumizi ya lugha zaidi ya moja.

7. Kiswahili na utajiri katika utofauti wa kiisimu.

8. Kiswahili ni lugha rasmi ya SADC(Southern African Development Community)

9. Kwa nini 7/7 na si tarehe nyingine. Tarehe 7/7/1954 nisiku ambayo chama cha TANGANYIKA AFRICAN NATIONAL UNION(TANU) chini ya hayati mwalimu julias kambarage nyerere,rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilipitisha Kiswahili kama lugha ya kuunganisha harakati za ukombozi.

10. Maadhimisho ya siku ya Kiswahili duniani

Mafanikio mengine ni kama
  • Kuwepo kwa vyombo vya habari kama televisheni,redio na hata magazeti kuanzia ngazi ya kitaifa mpaka kimataifa vinavyotumia lugha ya Kiswahili kuwasilisha maudhui kwa hadhira.
  • Kuwa lugha ya afrika ambayo ni lugha rasmi katika serikali ya Tanzania na jumuiya ya afrika mashariki.
  • Kuanzishwa kwa kozi mbalimbali za Kiswahili katika ngazi ya shahada katika vyuo vya elimu ya juu kitaifa na kimataifa.
  • Tanzania kuna lugha zaidi ya 100 lakini Kiswahili kinazungumzwa na asilimia 90 ya idadi ya watu na ni moja ya nguzo muhimu inayounganisha makabila 130.
  • Kutumika katika mikutano mikubwa ya kimataifa kama lugha ya majadiliano.
  • Lugha ya Kiswahili kutumika kwenye sanaa kama maigizo,miziki, ushairi na uandishi na kupelekea kazi hizo kufanya vizuri kitaifa na kimataifa.

Idadi ya wazungumzaji wa Kiswahili ulimwenguni.
Katika makala ya umoja wa mataifa(UN) mkurugenzi mkuu wa shirika la umoja wa mataifa la elimu,sayansi na utamaduni (UNESCO) Audrey azoulay amesema ikiwa na wazungumzaji kati ya milioni 120 hadi 150 lugha ya Kiswahili ni moja ya lugha zinazoshamiri kuvuka mipaka ya inamozungumzwa.

Inakadiriwa lugha ya Kiswahili ina idadi ya watu kati ya milioni 100 mpaka 200

Kuendeleza na kukuza lugha ya Kiswahili.
Ni jukumu la kila mtu kuendeleza na kukuza lugha ya Kiswahili. sisi kama watanzania tunapaswa kupenda na kujivunia lugha yetu kwa maana ni sehemu muhimu wa utambulisho wetu kimataifa

Je tunaweza kufanya nini ili kuendeleza na kukuza lugha ya Kiswahili?

  • Kuweka msisitizo juu ya matumizi ya lugha ya Kiswahili kwenye mitaala ya elimu na shughuli za kiserikali.
  • Uanzishwaji wa majukwaa ya kimtandao yatayowakutanisha wazungumzaji wa Kiswahili popote walipo duniani.
  • Kuzalisha wataalamu wa Kiswahili wenye uadilifu wa hali ya juu watakaoweza kufundisha Kiswahili kimataifa.
  • Kuyapa nguvu ya kifedha na rasilimali watu taasisi na mabaraza ya Kiswahili.
  • Kusisitiza matumizi ya Kiswahili fasaha kwenye vyombo vya habari kama magazeti, televisheni na radio.
  • Kutengeneza kazi za sanaa zenye ubora wa kimataifa lugha ya Kiswahili.
  • Kuongeza ushirikano na mataifa mengine katika nyaja ya biashara na ujirani mwema.

Hitimisho
  • Kiswahili ni Afrika mashariki
  • Kiswahili ni Tanzania
  • Kiswahili ni ustaarabu
  • Kiswahili ni amani
  • Kiswahili ni ushirikiano
  • Kiswahili ni harakati

Marejeo

PICHA. Kwa msaada wa Google.
 
Upvote 219

Attachments

  • Screenshot_20220807-123348.jpg
    Screenshot_20220807-123348.jpg
    71.5 KB · Views: 11
Wazungumzaji wa lugha ya kiswahili ni zaidi ya mil 150. Chukulia mfano, Tanzania, Kenya, Kongo na Burundi zote hizi kiswahili kinatumika sana. Ongeza Uganda na Rwanda ambao kiswahili kinazunguzwa japo kwa kulazimisha
 
Idadi ya wanaozungumza yaweza kuwa zaidi ya watu milioni 150 au chini ya hapo Kwa vile hakuna tafti iliyo rasmi tunabaki na makadilio.

Kwa Afrika ya mashariki ukitoa Tanzania, Kenya na Congo nchi zilizobaki Bado idadi ya wazungumzaji wa kiswahili ipo chini sana.
 
Kiswahili ndio lugha yetu mama kabisa kwa asilimia kubwa ya sisi watanzania,bado kina changamoto ya baadhi ya watanzania kudharau wengine wasiojua kiingereza au wale wanaoongea 'blocken english'

Kuna kitu kinatakiwa kifundishwe mashuleni cha uzalendo wa kupenda vyetu kwanza,mojawapo ni lugha hii adhim na adim Afrika ya kiswahili.

Mitaala ya lugha hii iwe ni rafiki yenye kumfanya mwanafunzi akimbilie kukisoma kiswahili.

Huko vyuoni pia lifundishwe hata kwenye masomo yasiyo ya kiswahili ili kuwapa uelewa zaidi wanafunzi kuliko kukaririshwa masomo kwa lugha za kigeni
 
Nakubaliana na wewe Inabidi tuwekeze nguvu na kuweka misingi imara kwenye ngazi zote za elimu kuanzia msingi mpaka elimu ya juu kuhakikisha kiswahili kinapewa hadhi na kipaumbele kwanza ndipo lugha nyingine zifuate.
 
HISTORIA YA KISWAHILI.
Kuna nadharia mbalimbali kuhusiana na historia ya lugha ya Kiswahili. Wapo wanaodai chimbuko la Kiswahili kuwa ni pwani ya afrika mashariki, wataalamu kama Nae Freeman Granville (1959) kupitia kitabu chake kiitwacho (the medieval of Kiswahili language) anakuja na hoja kuwa Kilwa hata kabla ya karne ya 10 ilikuwa na umuhimu mkubwa kibiashara hivyo basi kulinganana na umuhimu huo wa biashara miongoni mwa wa wabantu wa kilwa na wageni(waarabu) ilipelekea kuibuka kwa lugha moja ambayo ndiyo inasadikika ni Kiswahili leo hii.
View attachment 2311226

Nadharia nyingine ni kama asili ya Kiswahili ni huko afrika magharibi(kamerun) sababu kuu ni kuwa huko ndiko chimbuko la wabantu kabla ya kutawanyika kutokana na sababu mbalimbali na wapo wataalamu wanasema kuwa chimbuko la Kiswahili ni jamhuri ya kidemokrasia ya congo.

Nadharia zote zaweza kuwa na mashiko kwa kuwa lugha ya Kiswahili ina maneno ya kibantu, kiarabu na baadhi ya maneno kutoka lugha tofauti kama kireno, kiingereza na kihindi kitu kilichochewa na muingiliano wa watu wa jamii tofauti kutokana na biashara pamoja na ujio wa wakoloni.

UMRI WA LUGHA YA KISWAHILI.
Lugha hii inakadirirwa kuwa na takribani na miaka 800 hadi 1000 toka kuanza kwake katika vituo vya biashara vya pwani ambako wafanyabiashara kutoka uarubuni, uajemi, na uhindi walipokutana na wenyeji wakazi wa Afrika. Lugha ya Kiswahili iliweza kuzaliwa kutokana na wenyeji wabantu kupokea maneno mengi kutoka lugha tofauti hasa maneno ya kiarabu katika kuwasiliana.
View attachment 2311228
Kuenea kwa lugha ya kiswahili.
Kupitia biashara na muingiliano wa watu lugha ilianza kuenea sehemu mbalimbali za ulimwengu. wakati wa ukoloni lugha ya Kiswahili iliweza kusanifiwa na kamati ya kimaeneo ya lugha ya Kiswahili kwenye misingi wa lahaja ya unguja.

Kiswahili ni nini?
Kiswahili
ni lugha miongoni mwa lugha takribani elfu saba(7000) zinazozungumzwa ulimwenguni ikiwa inazungumzwa haswa katika eneo la Africa mashariki(Tanzania, kenya, Uganda, jamhuri ya kidemokrasia ya kongo na kaskazini mwa msumbiji).

Nchi zinazozungumza kiswahili.
Kiswaahili ni lugha rasmi ya taifa katika nchi ya Tanzania na kenya. Uganda pia iliwahi kuwa lugha ya taifa wakati wa utawala wa Iddi amin matumizi ya Kiswahili yalipingwa na waganda kutokana na historia ya utawala wa kijeshi.

Mashariki mwa kongo Kiswahili kimeenea sana na ni moja kati ya lugha nne za kitaifa katika jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo. Nchini Rwanda mnamo tarehe 8 februari 2017 bunge lilifanya Kiswahili kuwa lugha rasmi ya nne baada ya Kinyarwanda, kifaransa na kiingerza.
View attachment 2311232
Mafanikio ya kiswahili.
Tarehe 23 mwezi novemba mwaka 2021 shirika la umoja wa mataifa la elimu,sayansi na utamaduni UNESCO lilitangaza rasmi tarehe 7 ya julai kila mwaka kuwa siku ya kiswahili duniani.
View attachment 2311233
Ni moja katika hatua muhimu za mafanikio ya Kiswahili katika anga za kimataifa. Katika azimio hilo lenye kurasa tatu, inaelezwa kuwa uamuzi huo unatokana na uamuzi wa kikao cha 212 cha bodi utendaji ya UNESCO kwa kutumia misingi mikuu kumi ambayo ni

1. Kiswahili ni mawasiliano.

2. Wazungumzaji wa Kiswahili duniani.

3. Kiswahili afrika mashariki, kati na kusini.

4. Kiswahili na kufanikisha SDGs na AcFTA.

5. Kiswahili katika idhaa za umoja wa mataifa.

6. Umoja wa mataifa na matumizi ya lugha zaidi ya moja.

7. Kiswahili na utajiri katika utofauti wa kiisimu.

8. Kiswahili ni lugha rasmi ya SADC.

9. Kwa nini 7/7 na si tarehe nyingine. Tarehe 7/7/1954 nisiku ambayo chama cha TANGANYIKA AFRICAN NATIONAL UNION(TANU) chini ya hayati mwalimu julias kambarage nyerere,rais wa kwanza wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kilipitisha Kiswahili kama lugha ya kuunganisha harakati za ukombozi.

10. Maadhimisho ya siku ya Kiswahili duniani

Mafanikio mengine ni kama

  • Kuwepo kwa vyombo vya habari kama televisheni,redio na hata magazeti kuanzia ngazi ya kitaifa mpaka kimataifa vinavyotumia lugha ya Kiswahili kuwasilisha maudhui kwa hadhira.
  • Kuwa lugha ya afrika ambayo ni lugha rasmi katika serikali ya Tanzania na jumuiya ya afrika mashariki.
  • Kuanzishwa kwa kozi mbalimbali za Kiswahili katika ngazi ya shahada katika vyuo vya elimu ya juu kitaifa na kimataifa.
  • Tanzania kuna lugha zaidi ya 100 lakini Kiswahili kinazungumzwa na asilimia 90 ya idadi ya watu na ni moja ya nguzo muhimu inayounganisha makabila 130
  • Kutumika katika mikutano mikubwa ya kimataifa kama lugha ya majadiliano.
  • Lugha ya Kiswahili kutumika kwenye sanaa kama maigizo,miziki, ushairi na uandishi na kupelekea kazi hizo kufanya vizuri kitaifa na kimataifa.

Idadi ya wazungmzaji wa Kiswahili ulimwenguni.
Katika makala ya umoja wa mataifa(un) mkurugenzi mkuu wa shirika la umoja wa mataifa la elimu,sayansi na utamaduni (UNESCO) Audrey azoulay amesema ikiwa na wazungumzaji kati ya milioni 120 hadi 150 lugha ya Kiswahili ni moja ya lugha zinazoshamiri kuvuka mipaka ya inamozungumzwa.

Inakadiriwa lugha ya Kiswahili ina idadi ya watu kati ya milioni 100 mpaka 200

Kuendeleza na kukuza lugha ya Kiswahili.
Ni jukumu la kila mtu kuendeleza na kukuza lugha ya Kiswahili. sisi kama watanzania tunapaswa kupenda na kujivunia lugha yetu kwa maana ni sehemu muhimu wa utambulisho wetu kimataifa

Je tunaweza kufanya nini ili kuendeleza na kukuza lugha ya Kiswahili?

  • Kuweka msisitizo juu ya matumizi ya lugha ya Kiswahili kwenye mitaala ya elimu na shughuli za kiserikali.
  • Uanzishwaji wa majukwaa ya kimtandao yatayowakutanisha wazungumzaji wa Kiswahili popote walipo duniani
  • Kuzalisha wataalamu wa Kiswahili wenye uadilifu wa hali ya juu watakaoweza kufundisha Kiswahili kimataifa.
  • Kuyapa nguvu ya kifedha na rasilimali watu taasisi na mabaraza ya Kiswahili
  • Kusisitiza matumizi ya Kiswahili fasaha kwenye vyombo vya habari kama magazeti, televisheni na radio
  • Kutengeneza kazi za sanaa zenye ubora wa kimataifa lugha ya Kiswahili
  • Kuongeza ushirikano na mataifa mengine katika nyaja ya biashara na ujirani mwema.

Hitimisho
  • Kiswahili ni Afrika mashariki
  • Kiswahili ni Tanzania
  • Kiswahili ni ustaarabu
  • Kiswahili ni amani
  • Kiswahili ni ushirikiano
  • Kiswahili ni harakati

Marejeo

PICHA. GOOGLE.
🤝
 
HISTORIA YA KISWAHILI.
Kuna nadharia mbalimbali kuhusiana na historia ya lugha ya Kiswahili. Wapo wanaodai chimbuko la Kiswahili kuwa ni pwani ya afrika mashariki, wataalamu kama Nae Freeman Granville (1959) kupitia kitabu chake kiitwacho (the medieval of Kiswahili language) anakuja na hoja kuwa Kilwa hata kabla ya karne ya 10 ilikuwa na umuhimu mkubwa kibiashara hivyo basi kulinganana na umuhimu huo wa biashara miongoni mwa wa wabantu wa kilwa na wageni(waarabu) ilipelekea kuibuka kwa lugha moja ambayo ndiyo inasadikika ni Kiswahili leo hii.

View attachment 2311226

Nadharia nyingine ni kama asili ya Kiswahili ni huko afrika magharibi(kamerun) sababu kuu ni kuwa huko ndiko chimbuko la wabantu kabla ya kutawanyika kutokana na sababu mbalimbali na wapo wataalamu wanasema kuwa chimbuko la Kiswahili ni jamhuri ya kidemokrasia ya congo.

Nadharia zote zaweza kuwa na mashiko kwa kuwa lugha ya Kiswahili ina maneno ya kibantu, kiarabu na baadhi ya maneno kutoka lugha tofauti kama kireno, kiingereza na kihindi kitu kilichochewa na muingiliano wa watu wa jamii tofauti kutokana na biashara pamoja na ujio wa wakoloni.

UMRI WA LUGHA YA KISWAHILI.
Lugha hii inakadirirwa kuwa na takribani na miaka 800 hadi 1000 toka kuanza kwake katika vituo vya biashara vya pwani ambako wafanyabiashara kutoka uarubuni, uajemi, na uhindi walipokutana na wenyeji wakazi wa Afrika.

Lugha ya Kiswahili iliweza kuzaliwa kutokana na wenyeji wabantu kupokea maneno mengi kutoka lugha tofauti hasa maneno ya kiarabu katika kuwasiliana.

View attachment 2311228
Kuenea kwa lugha ya kiswahili.
Kupitia biashara na muingiliano wa watu lugha ilianza kuenea sehemu mbalimbali za ulimwengu. wakati wa ukoloni lugha ya Kiswahili iliweza kusanifiwa na kamati ya kimaeneo ya lugha ya Kiswahili kwenye misingi wa lahaja ya unguja.

Kiswahili ni nini?
Kiswahili
ni lugha miongoni mwa lugha takribani elfu saba(7000) zinazozungumzwa ulimwenguni ikiwa inazungumzwa haswa katika eneo la Africa mashariki(Tanzania, kenya, Uganda, jamhuri ya kidemokrasia ya kongo na kaskazini mwa msumbiji).

Nchi zinazozungumza kiswahili.
Kiswaahili ni lugha rasmi ya taifa katika nchi ya Tanzania na kenya. Uganda pia iliwahi kuwa lugha ya taifa wakati wa utawala wa Iddi amin matumizi ya Kiswahili yalipingwa na waganda kutokana na historia ya utawala wa kijeshi.

Mashariki mwa kongo Kiswahili kimeenea sana na ni moja kati ya lugha nne za kitaifa katika jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo. Nchini Rwanda mnamo tarehe 8 februari 2017 bunge lilifanya Kiswahili kuwa lugha rasmi ya nne baada ya Kinyarwanda, kifaransa na kiingereza.

View attachment 2311232

Mafanikio ya kiswahili.
Tarehe 23 mwezi novemba mwaka 2021 shirika la umoja wa mataifa la elimu,sayansi na utamaduni UNESCO lilitangaza rasmi tarehe 7 ya julai kila mwaka kuwa siku ya kiswahili duniani.

View attachment 2311233

Ni moja katika hatua muhimu za mafanikio ya Kiswahili katika anga za kimataifa. Katika azimio hilo lenye kurasa tatu, inaelezwa kuwa uamuzi huo unatokana na uamuzi wa kikao cha 212 cha bodi utendaji ya UNESCO kwa kutumia misingi mikuu kumi ambayo ni:

1. Kiswahili ni mawasiliano.

2. Wazungumzaji wa Kiswahili duniani.

3. Kiswahili afrika mashariki, kati na kusini.

4. Kiswahili na kufanikisha SDGs na AcFTA.

5. Kiswahili katika idhaa za umoja wa mataifa.

6. Umoja wa mataifa na matumizi ya lugha zaidi ya moja.

7. Kiswahili na utajiri katika utofauti wa kiisimu.

8. Kiswahili ni lugha rasmi ya SADC.

9. Kwa nini 7/7 na si tarehe nyingine. Tarehe 7/7/1954 nisiku ambayo chama cha TANGANYIKA AFRICAN NATIONAL UNION(TANU) chini ya hayati mwalimu julias kambarage nyerere,rais wa kwanza wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kilipitisha Kiswahili kama lugha ya kuunganisha harakati za ukombozi.

10. Maadhimisho ya siku ya Kiswahili duniani

Mafanikio mengine ni kama
  • Kuwepo kwa vyombo vya habari kama televisheni,redio na hata magazeti kuanzia ngazi ya kitaifa mpaka kimataifa vinavyotumia lugha ya Kiswahili kuwasilisha maudhui kwa hadhira.
  • Kuwa lugha ya afrika ambayo ni lugha rasmi katika serikali ya Tanzania na jumuiya ya afrika mashariki.
  • Kuanzishwa kwa kozi mbalimbali za Kiswahili katika ngazi ya shahada katika vyuo vya elimu ya juu kitaifa na kimataifa.
  • Tanzania kuna lugha zaidi ya 100 lakini Kiswahili kinazungumzwa na asilimia 90 ya idadi ya watu na ni moja ya nguzo muhimu inayounganisha makabila 130
  • Kutumika katika mikutano mikubwa ya kimataifa kama lugha ya majadiliano.
  • Lugha ya Kiswahili kutumika kwenye sanaa kama maigizo,miziki, ushairi na uandishi na kupelekea kazi hizo kufanya vizuri kitaifa na kimataifa.

Idadi ya wazungmzaji wa Kiswahili ulimwenguni.
Katika makala ya umoja wa mataifa(un) mkurugenzi mkuu wa shirika la umoja wa mataifa la elimu,sayansi na utamaduni (UNESCO) Audrey azoulay amesema ikiwa na wazungumzaji kati ya milioni 120 hadi 150 lugha ya Kiswahili ni moja ya lugha zinazoshamiri kuvuka mipaka ya inamozungumzwa.

Inakadiriwa lugha ya Kiswahili ina idadi ya watu kati ya milioni 100 mpaka 200

Kuendeleza na kukuza lugha ya Kiswahili.
Ni jukumu la kila mtu kuendeleza na kukuza lugha ya Kiswahili. sisi kama watanzania tunapaswa kupenda na kujivunia lugha yetu kwa maana ni sehemu muhimu wa utambulisho wetu kimataifa

Je tunaweza kufanya nini ili kuendeleza na kukuza lugha ya Kiswahili?

  • Kuweka msisitizo juu ya matumizi ya lugha ya Kiswahili kwenye mitaala ya elimu na shughuli za kiserikali.
  • Uanzishwaji wa majukwaa ya kimtandao yatayowakutanisha wazungumzaji wa Kiswahili popote walipo duniani
  • Kuzalisha wataalamu wa Kiswahili wenye uadilifu wa hali ya juu watakaoweza kufundisha Kiswahili kimataifa.
  • Kuyapa nguvu ya kifedha na rasilimali watu taasisi na mabaraza ya Kiswahili
  • Kusisitiza matumizi ya Kiswahili fasaha kwenye vyombo vya habari kama magazeti, televisheni na radio
  • Kutengeneza kazi za sanaa zenye ubora wa kimataifa lugha ya Kiswahili
  • Kuongeza ushirikano na mataifa mengine katika nyaja ya biashara na ujirani mwema.

Hitimisho
  • Kiswahili ni Afrika mashariki
  • Kiswahili ni Tanzania
  • Kiswahili ni ustaarabu
  • Kiswahili ni amani
  • Kiswahili ni ushirikiano
  • Kiswahili ni harakati

Marejeo

PICHA. GOOGLE.
Mkuu nimeshavote tayari . Tuko pamoja
 
Pamoja sana. tujivunie yetu lugha adhimu.
Kwangu kura umepata.
Nahimiza na wengine kura wakupigie[emoji120]
Nashukuru sana Kwa mchango wako mkuu. Ni ukweli usio na shaka kuwa kiswahili ni kizuri tuendelee kujivunia na kukipenda.
 
Napigaje kura
Shukrani. Kama unatumia App ya Jamiiforum hakuna option ya kupigia kura. Namna ya kupiga kura unaingia jamiiforum kupitia browser yoyote uliyonayo nakufungua Link

Kiswahili ni Afrika Mashariki, Kiswahili ni Tanzania, Kiswahili ni Amani na Upendo
Utaona sehemu ya kupigia kura imeandikwa vote ukibonyeza hapo unakuwa tayari ushampigia kura BabaMorgan
 
Ipo vizuri
Nashukuru sana. Na pia waweza kupiga kura ili kuweka andiko langu katika nafasi nzuri kuweza kuibuka kidedea.

Jinsi ya kupiga kura unaingia jamiiforum kupitia browser nakufungua Link hapo chini utaona sehemu ya kupigia kura.

Kiswahili ni Afrika Mashariki, Kiswahili ni Tanzania, Kiswahili ni Amani na Upendo

Screenshot_20220818-195331.jpg
 
Back
Top Bottom